Bunge la Ulaya lataka Lissu aachiwe mara Moja. Lamshangaa Rais Samia

Allah Akbar, Asante Mungu peke yetu hatuwezi.Tusaidie
Leo hii mnalamba matapishi waliyotapika wazee wetu? Wazungu wamebadilika leo wanatupenda siyo? Mambwa koko nyie hao wapuuzi hawana uwezo wa kutuingilia. Mbn mnamsifu Traore, wamemfanya nn mpk leo?
 
"Vita dhidi ya TUNDU LISSU , ni vita dhidi yetu, ni vita dhidi ya Wanademokrasia , ni vita dhidi ya Interests za Ulaya na Dunia ya kidemokrasia ".... Bunge la Ulaya !!.

Kuna wajinga ,wajinga, machawa darasa la Saba, watakuja wawaambie Serikali na Dola ya watu wajinga "Sisi ni Nchi huru, hatupaswi kuingiliwa " 🤣🤣

Haya Tuone hao Wachina, Warusi na Wakorea watawasaidia nn!!.

Bunge la Ulaya lamshangaa Samia, lakiri baada ya Magufuli, Samia kushika madaraka wakawa na matumaini ya Kuheshimiwa Kwa misingi ya Demokrasia, Haki na Utawala Bora, lakini wanashangaa kuona Njia ya Samia aloichagia, sio njia ileeee ya Wanademokrasia !!!.

View attachment 3352947
Mungu wabariki Wazungu
 
We kahaba usiye na haya kahamie hiyo nchi inaitwa Ulaya. Hao wabunge ht km ni wa Ulaya waambie hii nchi haiitwi Ulaya. Hao ndio wanaprove Lissu ni kibaraka wao na ni mhaini. Hao ni mbwa km ww mbwa koko
Matusi na Uchawi ndio nguzo ya Masikini
 
IDU ndio ule upuuzi kila mwenyekiti wa chadema ndio anakuwa mwenyekiti wa IDU,acheni kutuona kuwa watanzani wajinga Nyumbu nyie.
Mtatia akili tuu, watekaji na wauaji hamna haki tena ya kuongoza nchi, mnaishia siku za mwisho wenu jiandaeni, ushahidi upo
 
Leo hii mnalamba matapishi waliyotapika wazee wetu? Wazungu wamebadilika leo wanatupenda siyo? Mambwa koko nyie hao wapuuzi hawana uwezo wa kutuingilia. Mbn mnamsifu Traore, wamemfanya nn mpk leo?
Kama alivyo Samia kibaraka wa Wachina, Warusi na madikteta ya Korea kaskazin
 
Viongozi wote wa Afrika ni Vibaraka kama Sio Urusi au Mchina ni Ulaya kwa hiyo tulia
Yaani shida ya watu wa CHADEMA huwa wana jiona wao pekee ndio wanao miliki akiri. Uki wakosoa ni ugoovi. Wanataka democracia lkn hawako tayari kukosolewa.
Kwanamna hii Lissu hafai kuwa kiongozi wa nchi hii maana hadi hapa ishakuwa dhahili ni kibaraka wa Bunge la Ulaya.
Imagine mwamba kama Traole wao wana mpiga vita halafu wana mtete Li
 
Yaani shida ya watu wa CHADEMA huwa wana jiona wao pekee ndio wanao miliki akiri. Uki wakosoa ni ugoovi. Wanataka democracia lkn hawako tayari kukosolewa.
Kwanamna hii Lissu hafai kuwa kiongozi wa nchi hii maana hadi hapa ishakuwa dhahili ni kibaraka wa Bunge la Ulaya.
Imagine mwamba kama Traole wao wana mpiga vita halafu wana mtete Lissu.
...akiri ndio nini!? Wewe ni zero brain, hata lugha yako ya taifa inakushinda!
 
"Vita dhidi ya TUNDU LISSU , ni vita dhidi yetu, ni vita dhidi ya Wanademokrasia , ni vita dhidi ya Interests za Ulaya na Dunia ya kidemokrasia ".... Bunge la Ulaya !!.

Kuna wajinga ,wajinga, machawa darasa la Saba, watakuja wawaambie Serikali na Dola ya watu wajinga "Sisi ni Nchi huru, hatupaswi kuingiliwa " 🤣🤣

Haya Tuone hao Wachina, Warusi na Wakorea watawasaidia nn!!.

Bunge la Ulaya lamshangaa Samia, lakiri baada ya Magufuli, Samia kushika madaraka wakawa na matumaini ya Kuheshimiwa Kwa misingi ya Demokrasia, Haki na Utawala Bora, lakini wanashangaa kuona Njia ya Samia aloichagia, sio njia ileeee ya Wanademokrasia !!!.

View attachment 3352947
Hapana.

Mimi sishangilii kama unavyofanya wewe.
Hii ni vita yetu wenyewe, siyo vita yao.
Wanachoweza kufanya wao ni kuunga juhudi zetu kupambana na hawa wenzetu waliokengeuka.
Siyo jukumu lao kuja hapa kutukomboa sisi.

Sikubaliani na jinsi unavyo shangilia utumwa huu mpya.
Kama hayo maneno ya tafsiri uliyoweka hapo juu ni tafsiri sahihi; napinga kwa nguvu zote ushenzi huo wanaolenga kutuletea hapa.

Ushabiki, kama unao uonyesha kwa hao watu, halafu na kubeza wa hao upande wa pili, unakudhalilisha sana.
 
"Vita dhidi ya TUNDU LISSU , ni vita dhidi yetu, ni vita dhidi ya Wanademokrasia , ni vita dhidi ya Interests za Ulaya na Dunia ya kidemokrasia ".... Bunge la Ulaya !!.

Kuna wajinga ,wajinga, machawa darasa la Saba, watakuja wawaambie Serikali na Dola ya watu wajinga "Sisi ni Nchi huru, hatupaswi kuingiliwa " 🤣🤣

Haya Tuone hao Wachina, Warusi na Wakorea watawasaidia nn!!.

Bunge la Ulaya lamshangaa Samia, lakiri baada ya Magufuli, Samia kushika madaraka wakawa na matumaini ya Kuheshimiwa Kwa misingi ya Demokrasia, Haki na Utawala Bora, lakini wanashangaa kuona Njia ya Samia aloichagia, sio njia ileeee ya Wanademokrasia !!!.

View attachment 3352947
Bunge la Ulaya bado wameshikilia Kamba.
 
Lissu ni puppet (kibaraka) wao. Kupitia kwake akiwa rais nchi yetu itaklrudi kwenye himayayao. Lazima tupambane nao kama walivyopambana na babu zetu akina Mkwawa wa wahehe Mirambo wa wanyamwezi na Kinjekitile wa wagoni etc
 
We kahaba usiye na haya kahamie hiyo nchi inaitwa Ulaya. Hao wabunge ht km ni wa Ulaya waambie hii nchi haiitwi Ulaya. Hao ndio wanaprove Lissu ni kibaraka wao na ni mhaini. Hao ni mbwa km ww mbwa koko
Kibaraka humuoni hapa? Anauza nchi tu, puumbavu zenu

kibaraka.PNG
 
Back
Top Bottom