nicholasmari
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 1,939
- 1,257
Leo hii mnalamba matapishi waliyotapika wazee wetu? Wazungu wamebadilika leo wanatupenda siyo? Mambwa koko nyie hao wapuuzi hawana uwezo wa kutuingilia. Mbn mnamsifu Traore, wamemfanya nn mpk leo?Allah Akbar, Asante Mungu peke yetu hatuwezi.Tusaidie
Mungu wabariki Wazungu"Vita dhidi ya TUNDU LISSU , ni vita dhidi yetu, ni vita dhidi ya Wanademokrasia , ni vita dhidi ya Interests za Ulaya na Dunia ya kidemokrasia ".... Bunge la Ulaya !!.
Kuna wajinga ,wajinga, machawa darasa la Saba, watakuja wawaambie Serikali na Dola ya watu wajinga "Sisi ni Nchi huru, hatupaswi kuingiliwa " 🤣🤣
Haya Tuone hao Wachina, Warusi na Wakorea watawasaidia nn!!.
Bunge la Ulaya lamshangaa Samia, lakiri baada ya Magufuli, Samia kushika madaraka wakawa na matumaini ya Kuheshimiwa Kwa misingi ya Demokrasia, Haki na Utawala Bora, lakini wanashangaa kuona Njia ya Samia aloichagia, sio njia ileeee ya Wanademokrasia !!!.
View attachment 3352947
Nikitukana nitakuwa sawa sawa na wewe.Tukana si ulijifanya unajua lugha wewe Nyumbu ?
Matusi na Uchawi ndio nguzo ya MasikiniWe kahaba usiye na haya kahamie hiyo nchi inaitwa Ulaya. Hao wabunge ht km ni wa Ulaya waambie hii nchi haiitwi Ulaya. Hao ndio wanaprove Lissu ni kibaraka wao na ni mhaini. Hao ni mbwa km ww mbwa koko
We mavi ungekuwa tajiri ungeshinda kuandika uchafu ili upate mkate wako wa siku? We ni maskini wa akiliMatusi na Uchawi ndio nguzo ya Masikini
Mtatia akili tuu, watekaji na wauaji hamna haki tena ya kuongoza nchi, mnaishia siku za mwisho wenu jiandaeni, ushahidi upoIDU ndio ule upuuzi kila mwenyekiti wa chadema ndio anakuwa mwenyekiti wa IDU,acheni kutuona kuwa watanzani wajinga Nyumbu nyie.
Ondoa hicho kifuu juu ya shingo?Kesi ya Lissu iko Mahakamani, Samia Yuko Serikalini. Waende Mahakamani wakamtetee!
Kama alivyo Samia kibaraka wa Wachina, Warusi na madikteta ya Korea kaskazinLeo hii mnalamba matapishi waliyotapika wazee wetu? Wazungu wamebadilika leo wanatupenda siyo? Mambwa koko nyie hao wapuuzi hawana uwezo wa kutuingilia. Mbn mnamsifu Traore, wamemfanya nn mpk leo?
Yaani shida ya watu wa CHADEMA huwa wana jiona wao pekee ndio wanao miliki akiri. Uki wakosoa ni ugoovi. Wanataka democracia lkn hawako tayari kukosolewa.
Kwanamna hii Lissu hafai kuwa kiongozi wa nchi hii maana hadi hapa ishakuwa dhahili ni kibaraka wa Bunge la Ulaya.
Imagine mwamba kama Traole wao wana mpiga vita halafu wana mtete Li
...akiri ndio nini!? Wewe ni zero brain, hata lugha yako ya taifa inakushinda!Yaani shida ya watu wa CHADEMA huwa wana jiona wao pekee ndio wanao miliki akiri. Uki wakosoa ni ugoovi. Wanataka democracia lkn hawako tayari kukosolewa.
Kwanamna hii Lissu hafai kuwa kiongozi wa nchi hii maana hadi hapa ishakuwa dhahili ni kibaraka wa Bunge la Ulaya.
Imagine mwamba kama Traole wao wana mpiga vita halafu wana mtete Lissu.
Hapana."Vita dhidi ya TUNDU LISSU , ni vita dhidi yetu, ni vita dhidi ya Wanademokrasia , ni vita dhidi ya Interests za Ulaya na Dunia ya kidemokrasia ".... Bunge la Ulaya !!.
Kuna wajinga ,wajinga, machawa darasa la Saba, watakuja wawaambie Serikali na Dola ya watu wajinga "Sisi ni Nchi huru, hatupaswi kuingiliwa " 🤣🤣
Haya Tuone hao Wachina, Warusi na Wakorea watawasaidia nn!!.
Bunge la Ulaya lamshangaa Samia, lakiri baada ya Magufuli, Samia kushika madaraka wakawa na matumaini ya Kuheshimiwa Kwa misingi ya Demokrasia, Haki na Utawala Bora, lakini wanashangaa kuona Njia ya Samia aloichagia, sio njia ileeee ya Wanademokrasia !!!.
View attachment 3352947
Mbowe alikuwa DUA na siyo IDU RekebishaIDU ndio nini ?hata Mbowe alikuwa ni Mwenyekiti wake ,ushuzi mtupu,
Bunge la Ulaya bado wameshikilia Kamba."Vita dhidi ya TUNDU LISSU , ni vita dhidi yetu, ni vita dhidi ya Wanademokrasia , ni vita dhidi ya Interests za Ulaya na Dunia ya kidemokrasia ".... Bunge la Ulaya !!.
Kuna wajinga ,wajinga, machawa darasa la Saba, watakuja wawaambie Serikali na Dola ya watu wajinga "Sisi ni Nchi huru, hatupaswi kuingiliwa " 🤣🤣
Haya Tuone hao Wachina, Warusi na Wakorea watawasaidia nn!!.
Bunge la Ulaya lamshangaa Samia, lakiri baada ya Magufuli, Samia kushika madaraka wakawa na matumaini ya Kuheshimiwa Kwa misingi ya Demokrasia, Haki na Utawala Bora, lakini wanashangaa kuona Njia ya Samia aloichagia, sio njia ileeee ya Wanademokrasia !!!.
View attachment 3352947
IDU ni noma sana aiseeMbowe alikuwa DUA na siyo IDU Rekebisha
Nilidhani mamaku kumbe makupaIDU ndio ule upuuzi kila mwenyekiti wa chadema ndio anakuwa mwenyekiti wa IDU,acheni kutuona kuwa watanzani wajinga Nyumbu nyie.
Kibaraka humuoni hapa? Anauza nchi tu, puumbavu zenuWe kahaba usiye na haya kahamie hiyo nchi inaitwa Ulaya. Hao wabunge ht km ni wa Ulaya waambie hii nchi haiitwi Ulaya. Hao ndio wanaprove Lissu ni kibaraka wao na ni mhaini. Hao ni mbwa km ww mbwa koko