Bunge la Ulaya latishia kuinyima misaada Tanzania

Hela ya uchaguzi serikali ilishasema inatokana na mapato ya ndani kwa mwaka huu,
Hivyo watafute gepu lingine labda,
Kikubwa ushindani wa kweli chadema ashiriki na hoja zao wakae mezani
 
Kum wewe!! kaa pembeni tumeshafanya bajeti na uchaguzi tunaugharamia sisi wenyewe. Wafuate kwao mabwana zako kama inakuuma sana kufanya sisi uchaguzi
..wewe ning'iniza mapumbu tu na kutoa povu utadhani hizo hela unasema unatoa mfukoni mwako masikini wahedi.
 
Nasoma hapa comment kuna "mazezeta ya mama" yashaibuka kuwa waambieni hatutaki pesa zao za masharti ukiwauliza masharti gani wanasema ni ushoga hii ndio agenda yao miaka na miaka .

Halafu kesho mama yao akienda kukopa wanageuza story eti hao ni marafiki wa maendeleo.

CCM huko idadi ya mazezeta inaongezeka kila siku badala ya kupungua !
 
Hapo sio hizo pesa pekee za uchaguzi walizoomba kukataliwa kwamba ndio kama kikwazo wanachotoa, hii ina maana EU hawatoutambua huo uchaguzi ndicho wana maanisha, na kitakachotokea ni kuanza kuishi kama Iran.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…