Bunge la Ulaya latishia kuinyima misaada Tanzania

..ona ujinga wako..nchi kuzungumziwa kwa mwelekeo hasi kwako unaona sifa, foreign policy yao ikifeli na china ikifaulu wewe unapata nini..
 
Mmmh mkuu yaani Dolla milioni 8 tu ndo za uchaguzi? Hizo si hata Bakhresa akijikuna zinadondoka?

Utakuwa umefanya typo, tulia uandika vizuri
 
Midomo ya kwao, muda wa kwao, hakuna namna tunaweza kuwapangia cha kuongea. Lakini hawana uwezo wa kufanya lolote kwa nchi huru kama Tanzania
Tanzania siyo nchi huru; ndiyo maana waTanzania wenyewe wataikomboa nchi hii kutoka kwa Genge linalolazimisha kuwatawala waTanzania.

Haya ni mapambano yetu wenyewe, tutamalizana hapa hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…