Bunge la Umoja wa Nchi za Ulaya (EU) lapitisha maazimio kumtoa Museveni madarakani muda wowote

Hujui maana ya utumwa. Ingekuwa una maana hiyo then wazungu ndiyo watumwa zaidi kwa kuwa wao ndiyo wanatoa almost everything wanatoa kwenye. Lakini kwa kuwa ni mtumwa wa wazungu kiakili then hutatambua mkuu!!
Wewe ndo mtumwa wa kwanza nimekwambia...hujui maana ya utumwa na hutaweza kunielewa
 
utachoka tu mkuu kuwaelimisha hawa mashabiki wasioelewa mambo ya kimataifa, wanashangilia wakidhani ni simple kama kula sato na udagga.
Naye akasema farijianeni kwa maneno hayo kwa sababu hamjui lini mzungu atakuja nchini mwenu.
 
Hujui maana ya utumwa. Ingekuwa una maana hiyo then wazungu ndiyo watumwa zaidi kwa kuwa wao ndiyo wanatoa almost everything wanatoa kwenye. Lakini kwa kuwa ni mtumwa wa wazungu kiakili then hutatambua mkuu!!
Wewe ndo mtumwa wa kwanza nimekwambia...hujui maana ya utumwa na hutaweza kunielewa
 
Kwa mantiki hiyo kwa sababu hakuna msemaji wa hao wa tz ndo tuyaache ya tokee na nchi jirani

Zama zimebadilika si kila homa ni malaria mkuu
 
Naye akasema farijianeni kwa maneno hayo kwa sababu hamjui lini mzungu atakuja nchini mwenu.
mwanaume na mbo.o yako unalilia wazungu waje? una tofauti gani na mkeo? au wote mnawategemea wazungu waje?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
hatetei ila anakuelewesheni nyie wapiga tarumbeta mnaoshangilia bila kushirikisha uhalisia.
Wewe unajua nini kuhusu mikataba ya kimataifa au unapiga kelele tu??

Haujui kuwa UN CHARTER inatoa mamlaka ya nchi kuvamiwa kijeshi na nchi nyingine endapo kuna uvunjifu wa amani na kukiukwa kwa haki za binadamu?

Au unapiga makelele kama poyoyo tu?

Tuwekee hiyo mikataba ya kidiplomasia inayokinzana na provisions za UN CHARTER kuhusu uvamizi wa nchi kijeshi.

Shut up, little lay man.
 
Nikimtafakari Saddam,. Mubarak , . Gaddari. Huwa naona Hawa jamaa lolote wanaliweza. Suala no kukuamlia tuu wakiamua. Hamna kitu wanashindwa.
Gadaffi na jeshi lake uchwara walipoteana kama panya.

Hivi vijidikteta vya Afrika huwa vinaweza kupambana na wananchi wasio na silaha tu.

Wale walinzi wa Gadafi sijui wako wapi siku hizi. Hahahaaaa
 
weka hiyo UN charter inayotoa uhalali wa mataifa binafsi ( not UN petition) kuvamia au kuingilia taifa huru na kuondoa utawala wa kidemokrasia. tuanzie hapo kwanza usipaniki.
 
Hawa wazungu kuna jambo wanalitafuta Africa ya Mashariki. " Destabilization of East Africa". Ndugu zangu tuwe makini sana tena sana.
Asee kama kweli Museveni alihusika na yalomkuta Bob wine na kifo cha Kirumira ni heli hao wazungu wafanye lolote tu na hali yoyote itayotokea sawa tu. Sasa tutaishi hivi watu Wa East Africa hadi lini?
 
naona half life ya mu7 inazidi kupungua katika uraisi
 
weka hiyo UN charter inayotoa uhalali wa mataifa binafsi ( not UN petition) kuvamia au kuingilia taifa huru na kuondoa utawala wa kidemokrasia. tuanzie hapo kwanza usipaniki.
THE UN CHARTER, CHAPTER SEVEN; ACTION WITH RESPECT TO THREATS TO THE PEACE, BREACHES OF THE PEACE, AND ACTS OF AGGRESSION. (Uvunjifu wa amani, uvamizi wa kijeshi Vs ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu)

Nchi itapewa vikwazo vya kiuchumi kama onyo la kwanza, na itavamiwa kijeshi kama vikwazo vya uchumi havitafanya kazi. (ARTICLES 42-43)

Haya , tuwekee hivyo vimikataba vyako vya kidiplomasia unavyovipigia kelele.
 
acha kujifanya unajua kutafsiri weka in english a whole charter, pia uweke ni jeshi gani lenye mamlaka ya kuvamia nchi kusudiwa, na uje ulinganishe na hali ya Uganda ilivyo.
 
Asee kama kweli Museveni alihusika na yalomkuta Bob wine na kifo cha Kirumira ni heli hao wazungu wafanye lolote tu na hali yoyote itayotokea sawa tu. Sasa tutaishi hivi watu Wa East Africa hadi lini?
Hichi kibabu museven kimefanya kitu kinachoitwa WIDESPREAD AND SYSTEMATIC ATTACKS AGAINST CIVILIANS.

Hii ndio ground iliyoafikiwa na UN RESOLUTION katika kumng'oa Gadaffi.

Humanitarian intervention following gross violation of Human Rights.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…