kila kitu kinamipaka, tumesaini mikataba kibao ya kidiplomasia na vitu kama hivoo, hakuna sehemu inayoruhusu hao wazungu kuwaingilia waafrika watakavyo wao, it has to start somewhere ndo wao waweze kuingilia, in case ya Uganda hakuna hizo mambo... Nchi zote hizo ulizozitaja kuna sehemu zilianzia na kuna extent ilifikia serikali zilikua out of control ikifika that point ndio tuzungumzie sasa ya kumtoa mtu madarakani lakini sio sakata hili linaloendelea Uganda,hapana.
Halafu Swala la hizo nchi za kiarabu ni Revolutionary Move ambayo ilitokea almost nchi zote za kaskazini,