Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kila kitu kinamipaka, tumesaini mikataba kibao ya kidiplomasia na vitu kama hivoo, hakuna sehemu inayoruhusu hao wazungu kuwaingilia waafrika watakavyo wao, it has to start somewhere ndo wao waweze kuingilia, in case ya Uganda hakuna hizo mambo... Nchi zote hizo ulizozitaja kuna sehemu zilianzia na kuna extent ilifikia serikali zilikua out of control ikifika that point ndio tuzungumzie sasa ya kumtoa mtu madarakani lakini sio sakata hili linaloendelea Uganda,hapana.To some extent nakubaliana na wewe. Watanzania wangeandamana ingeleta alarm katika jumuiya ya kimataifa.
Ila nakupinga unaposema wazungu hawawezi kufanya watakalo. Wanajua kwamba kila nchi ina sovereignty yake, hivyo hawawezi kuja kwa jinsi ya kawaida.
Wakati kichaa jiwe ana jeshi la "watu wasiojulikana" wazungu hutumia "mercenaries" wanaosababisha chaos chini ya mwamvuli wa "waasi"
Rejea situation ya russia, ukraine na crimea. Rejea waasi wa libya. Rejea waasi wa syria ambao kama sio urusi marekani angeshamtoa assad.
Ni nchi gani wazungu walifanya hila ya kumtoa rais ambaye hana hata miaka 5 madarakani? Rekodi zinaonyesha huwa wanadili nyuma ya pazia na wale waliokaa muda mrefu. Hili la hapa kwetu tuendelee kujifurahisha kwa kusema watakuja pia. Siasa za afrika wanazijua.To some extent nakubaliana na wewe. Watanzania wangeandamana ingeleta alarm katika jumuiya ya kimataifa.
Ila nakupinga unaposema wazungu hawawezi kufanya watakalo. Wanajua kwamba kila nchi ina sovereignty yake, hivyo hawawezi kuja kwa jinsi ya kawaida.
Wakati kichaa jiwe ana jeshi la "watu wasiojulikana" wazungu hutumia "mercenaries" wanaosababisha chaos chini ya mwamvuli wa "waasi"
Rejea situation ya russia, ukraine na crimea. Rejea waasi wa libya. Rejea waasi wa syria ambao kama sio urusi marekani angeshamtoa assad.
Hahahahaa sikujua kuna watu wanatetea udikteta.kila kitu kinamipaka, tumesaini mikataba kibao ya kidiplomasia na vitu kama hivoo, hakuna sehemu inayoruhusu hao wazungu kuwaingilia waafrika watakavyo wao, it has to start somewhere ndo wao waweze kuingilia, in case ya Uganda hakuna hizo mambo... Nchi zote hizo ulizozitaja kuna sehemu zilianzia na kuna extent ilifikia serikali zilikua out of control ikifika that point ndio tuzungumzie sasa ya kumtoa mtu madarakani lakini sio sakata hili linaloendelea Uganda,hapana.
Halafu Swala la hizo nchi za kiarabu ni Revolutionary Move ambayo ilitokea almost nchi zote za kaskazini,
Labda ww na familia yakoNi watu wachache sana ikiwemo wewe ndio amuoni juhudi anazofanya Mheshimiwa Raisi....
Ila kwa ufupi tu, jua nyuma yake kuna watu wengi sana wanaunga juhudi zake...
Uganda sio mara ya kwanza kuwekewa vikwazo vya kiuchumi lakini bado wanapeta, Zimbabwe sio mara ya kwanza kuwekewa vikwazo vya kiuchumi lakini bado wanapeta.Hivi bila uchumi imara unaweza kuwatunishia Misuli wazungu? Bajeti tegemezi, technology bado tegemezi halafu utegemee kushindana nao kweli?
Hujui kitu wewe endelea kuota mkuu...Labda ww na familia yako
Kwa sababu zipi labda!?? Na kwanza aliyepo madarakani kwa sasa ni CCM au Magufuli!?Naomba na vuguvugu la Afrika Mashatiki lianze tumuondoe Mkoloni CCM.
Unatesa wananchi wako, unawauwa kikatili halafu watu wakuangalie tuu? Hata wewe tesa na kuuwa mtoto wako halafu uje na story za uhuru nyumbani kwako .....Uganda sio mara ya kwanza kuwekewa vikwazo vya kiuchumi lakini bado wanapeta, Zimbabwe sio mara ya kwanza kuwekewa vikwazo vya kiuchumi lakini bado wanapeta.
Na Swala hapa sio kutunishiana isuli na wazungu swala hapa ni kama hawa watu wanahaki yakumu overthrown yeyote watakae bila kuzingatia mipaka ya umoja wa mataifa iliyowekwa.
Upuuzi kama huu ndio laana kuu kama kuna mwafrika yeyote ana ushangilia walahi!Wanaume kazin
Wabunge wa Bunge la uingereza katika mijadala mkali wa kumuondoa Mseven,
Mwasia
Video
wananchi gani wameteswa wa Uganda!?? Makaburi yapo wapi yanayoonyesha ukatili huo alioufanya Museveni wa kuuwa wananchi wa Uganda!??Unatesa wananchi wako, unawauwa kikatili halafu watu wakuangalie tuu? Hata wewe tesa na kuuwa mtoto wako halafu uje na story za uhuru nyumbani kwako .....
sudani wanachukua mafuta jimbo la dafuu.hivyo raisi kesi imeishaNdugu yangu yaaani isalimike kujadiliwa DRC,Burundi,Zimbabwe,Sudan ambayo Rais wake bado anakesi na anahitajika ICC mpaka leo hajakamatwa ije kuingiliwa Uganda!?
Waanze na wapalestina na nchi nyingine ambazo wadhungu wanazinyanyasa!Unatesa wananchi wako, unawauwa kikatili halafu watu wakuangalie tuu? Hata wewe tesa na kuuwa mtoto wako halafu uje na story za uhuru nyumbani kwako .....
TrueNdugu yangu yaaani isalimike kujadiliwa DRC,Burundi,Zimbabwe,Sudan ambayo Rais wake bado anakesi na anahitajika ICC mpaka leo hajakamatwa ije kuingiliwa Uganda!?
WADHUNGU NI KWA MASLAHI YAO TU, HAWANA HABARI NA KUMSAIDIA MTU MWEUSI KATIKA JAMBO LOLOTE!
WAO WANAANGALIA KUUZA SILAA!
AMKENI VIJANA WADOGO WALAHI!