Bunge la Urusi limekubali maombi ya maeneo pendwa, sasa sheria kulinda eneo hilo

Sasa hiyo Winter kabla ya Gesi kwa karne nyingi wamesurvive vipi? Kumbuka kwasasa wanapambana na Ukraine pia ambae majira na hali ya hewa ya Winter ni sehemu ya maisha yao pia

Mnazungumzia Winter in advantage ya Urusi mnasahau kuwa ww2 Urusi alikuwa na sapoti kubwa sana ya Supa Power wa karne hiyo na pia logistic kubwa sababu akuvamia alivamiwa nyumbani. Na sasa anapigana akiwa kavamia
 
Sheria ya bunge haizuii kile kinachoendelea muda huu kule Donbas., ni makaratasi tu, mtalizana kwa aibu mara hii

 
Watu watavurumishwa kule wanatolewa jasho daily unaleta mizaha hapa ya sheria sheria hizo ni za kwake yeye sio za dunia
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Hivi una rank gani hapo FSB?
 
hahaaaa unaongea kana kwamba Urusi ndo ilivamia na imetulia haijajibu mapigo , kumbe ni opposite , acharuke mara ngap wakat waliingia had kiev
 
iyo bado siyo total war ni SMO kwa wanaolijua vizuri jeshi la Russia awataki hata kutia pua zao kinachosubiriwa ni saini ya putini tu sheria zianze kufanya kazi .
wenzio sio vichaa kama Urusi , wanapigana huku maisha yanaendelea , Putin yupo bize anakimbiza vijana kuwapeleka Ukraine
 
kuwa ww unaevaa chupi made in chuna unajua kuliko wanaokupangia bajeti ?
 
hahaaaa unaongea kana kwamba Urusi ndo ilivamia na imetulia haijajibu mapigo , kumbe ni opposite , acharuke mara ngap wakat waliingia had kiev

Nilisha kwambia kwamba convoy ya kwenda Kiev ilikuwa designed maksudi kama DECOY ya kuzuga majeshi ya Ukraine ili yaondoke kusini mashariki mwa Ukraine kuja kuongeza ulizi kwenye jiji na viunga vya Kiev - a very clever ploy by Russian military, na kweli majeshi yalihamishwa fasta kutoka kusini kuja Kiev hivyo kusini pakabaki na wanajeshi wachache tu, mbinu hizo zilisaidia jeshi la Urusi kutotumia wanajeshi wengi na nguvu nyingi kuteka majimbo hayo ya kusini mashariki.
 

Msiwe mnarudia rudia propaganda za MSM,usanii tu masaa yote - kwa taarifa yako Urusi ingeshinda WW2 with or without USA help - yaani US inajisifia kwa kupeleka samaki na nyama za makopo, milipuko na ndege chache za kubeba mizigo basi - USA ilitoa misaada wakati Russia ilisha jitosheleza karibu katika kila nyanja zote za vita, contribution ya USA kwenye war effort in Russia mara zote huwa highly exaggerated.
 
Tatizo lako huwa unadhani ni wewe peke yako ndiyo una access na kusoma taarifa mbali mbali na kwamba unatusomea sisi vipofu.Hapo tu ndipo unapofail Mkuu.
 
iyo bado siyo total war ni SMO kwa wanaolijua vizuri jeshi la Russia awataki hata kutia pua zao kinachosubiriwa ni saini ya putini tu sheria zianze kufanya kazi .
Ndicho nionacho hata mimi,ila ngoja tuendelee kubishana mkuu, mana kubishana kuna raha yake pia
 
Watu watavurumishwa kule wanatolewa jasho daily unaleta mizaha hapa ya sheria sheria hizo ni za kwake yeye sio za dunia
Pambana na hali zenu pamoja na mabeberu wale wa ulaya na Amerika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…