Sahihi kwakuwa wewe umesema au?Bunge halina watu kabisaa...Mpina yupo sahihi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sahihi kwakuwa wewe umesema au?Bunge halina watu kabisaa...Mpina yupo sahihi
Mwenye mtaji wa Tsh 1 Million kwani hawezi kukopa benki? Je kaleta sukari au hajaleta kwa huo mtaji wa Tsh 1. Million? unataka ng'ombe au mlio wa ng'ombe? Hussein Bashe wakomesheChawa huna akili siku zote, kwanini hiyo leseni msiwape wenye experience ya uagizaji sukari unaenda kuwapa wa stationery?
Issue zipo nyingi tu; mtaji waliutoa wapi?
Unaziacha kampuni zenye mitaji kufanya hiyo kazi, unaenda kumpa mwenye mtaji wa 1million, mafisadi msio na akili.
Kwanini mkagoma kukutana na viongozi wa viwanda vya kuzalisha sukari waliokuwa tayari kuagiza sukari? mkawakwepa mpaka wakataka kuonana na Samia wasijue Samia mwenyewe nae ni mwizi vile vile!.
Luhaga Mpina hana hoja yeyote zaidi ya WIVU dhidi ya walio kwenye madaraka. Sisi kama wananchi tulichotaka ni Bei ya Sukari iteremke.Vichekesho vya bunge letu linalowatetea makuwadi wa biashara halamu na kumkandamiza msema kweli, hivi wanadhani hizo nafasi walizonazo watakuwa nazo milele? Elimu ya mtu mweusi bado haijawa mkombozi katika maeneo mengi ya uongozi, hivi inawezekaje mtu ni Phd holder halafu anakuwa na mawazo ya dhuluma, uzandiki, unafiki, uongo na chuki zisizo na maana, huyu Spika aliyewekwa kwa ajili ya maslahi ya viongozi lazima atambuwe kwamba Uongozi ni koti la kuazima, katika kiti anachoketi zama zile alikuwepo JOB wa Kongwa leo amegeuka na kuwa msikilizaji baadala ya kuwa mtoa amri, kuna wakati watu wanaotuzunguka wanapozungumza kuhusu wewe na madhaifu uliyonayo unapaswa kuwasikiliza kwa umakini sana, kilichofanywa na MPINA, alishawahi kukifanya Zitto Kabwe mwana wa Kigoma, na bunge likamsimamisha lkn baadae ukweli ukafahamika, Bunge linalokuwa mtetezi kwa maovu ya serikali halipaswi kuitwa Bunge la wananchi, badala ya kuisimamia serikali, bunge linakuwa mtetezi wa serikali hivi hivi huu muhimili wa Bunge kazi zake ni zipi kama wameamuwa kushirikiana na Serikali kwa ajili ya kuyabeba maovu ya Serikali? Aliyewahi kusema AFRIKA inahitaji kutawaliwa tena alikuwa yuko sahihi kwa asilimia 100%, yanayotokea katika nchi hii ya wasakatonge na wagonga meza Idodomya ni aibu kwa kweli.
So, unampa kwanza deal asilo timiza vigezo, kisha ndio anaenda bank kutafuta mkopo huku ukiwaacha wenye viwanda vya sukari ambao tayari walikuwa na vigezo hivyo?Mwenye mtaji wa Tsh 1 Million kwani hawezi kukopa benki? Je kaleta sukari au hajaleta kwa huo mtaji wa Tsh 1. Million? unataka ng'ombe au mlio wa ng'ombe? Hussein Bashe wakomeshe
Acha uongoHayo ni Maigizo ya CCM wakikaribia uchaguzi. Kumtoa mtu wao kafara ili awe mgombea wa urais wa upinzani halafu baada ya uchaguzi anarudi ccm.
Chadema, Act msiingie kwenye huo mtego. 2025 Tundu lissu achukue fomu ya urais.
Ohoo!Msiingie mtego, mtapigwa za uso 🤣
Hilo ni genge la wahuni tupuCcm ukiwaambia ukweli huwa wanakuchukia sana.
Walikuwa na vibali kuanzia Novemba 2023 lakini hadi Februari walikuwa hawajaleta hata Kilo moja. Ulitaka Hussein Bashe awachekee? Kama kuna masuala ya rushwa basi wewe kama whistle blower sheria inakuruhusu kupeleka TKUKURU. PELEKASo, unampa kwanza deal asilo timiza vigezo, kisha ndio anaenda bank kutafuta mkopo huku ukiwaacha wenye viwanda vya sukari ambao tayari walikuwa na vigezo hivyo?
- Huioni rushwa hapo?
Ajabu kwa akili yako chawa huoni huo ujinga ndio kwanza unamsifia Bashe na wizi wake. Poor mind.
Do world, migomo ya wajasiriamali,Ubadhirifu na Rushwa,ngorongoro mwisho Mabaka yatatishia kwa migogoro ya wao kwa wao hadi ataona Bora atulie!Nangoja kuona Samia itatumiwa gear ipi Hadi asigombee 2025.
Nina uhakika 100% hagombei ila sijajua itafanywafanywaje Hadi asiwe mgombea. Kwa drama hizi za Mpina (waziri mstaafu) naona 2025 inachelewa.
Yanajikosha tuHii aibu betina sijui ataifuta kwa lipi maana wamejichafua na watu wamewaona ni maamfisadi