zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Vipi si mlisema ana ushahidi, yako wapi sasa? Hivi mnaamini sukuma gang kweli?Hawezi kugombea Urais , MPINA anafaa kua Waziri Mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi si mlisema ana ushahidi, yako wapi sasa? Hivi mnaamini sukuma gang kweli?Hawezi kugombea Urais , MPINA anafaa kua Waziri Mkuu
Kamati Maadili, Haki na Madaraka ya Bunge imewasilisha bungeni taarifa ya kamati hiyo kuhusu tuhuma za Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina, jijini Dodoma leo Juni 24, 2024
Mbunge wa Mtera, Livingstone Joseph Lusinde amesema kutokana na tuhuma zinazomkabili Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kuhusu kumtuhumu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kuwa alilidanganya Bunge kuhusu sakata la Uagizaji wa Sukari, anatakiwa kufungiwa kuhudhuria vikao 15 vya Bunge
Ameyasema hayo Bungeni baada ya Mwenyekiti wa Kamati Maadili, Haki na Madaraka ya Bunge, Ally Makoa kuwasilisha Bungeni Taarifa ya Kamati kuhusu tuhuma hizo, leo Juni 24, 2024
---
"Mheshimiwa Luhaga Mpina (Mbunge wa Kisesa) alimtuhumu Mheshimiwa Waziri (Hussein Bashe, Waziri wa Kilimo) kuwa amelidanganya Bunge kwa kusema wamebadili kanuni za Nation Food Reserve Agency (NFRA) kuruhusu NFRA kuwa na mandate ya kuingiza sukari wakati hakuna tangazo la serikali lililotangazwa kuipa NFRA mandate ya kuingiza sukari, Waziri (Hussein Bashe, Waziri wa Kilimo) aliieleza kamati kuwa walitumia sheria ya usalama wa chakula sura ya 249 kukabiliana na uhaba wakati wa dharura kupitia NFRA ambapo alisema kuwa wameanza mchakato wa kubadilisha sheria ili NFRA waruhusiwe kuagiza, kuhifadhi na kusambaza sukari hata kwa kipindi kisicho cha dharura na mchakato huo ulianza kwa kutoa tangazo serikalini namba 225 (b) la tarehe 01 Aprili 2024" -Makoa
"Kamati ilipitia kifungu cha 14 cha sheria ya tasnia ya sukari kuhusu wanaoruhusiwa kuingiza sukari na kupitia kifungu cha 15 cha sheria ya usalama wa chakula ya mwaka 1991 na kubaini kuwa wakati wa dharura kama ilivyojitokeza sheria ya usalama wa chakula inakuwa na nguvu zaidi kuliko sheria ya tasnia ya sukari" -Makoa
"Kamati ilipata nafasi ya kujiridhisha kuhusu GN namba 25 (b) ya tarehe 01 Aprili 2024 na kupitia muswada wa sheria ya fedha iliona mapendekezo ya marekebisho yaliyoelezwa na Waziri kupitia kumbukumbu za Bunge na maelezo ya Waziri kamati ilikuwa na maoni kuwa hakuna uwongo uliozungumzwa na kwamba hakuna ukiukwaji wowote wa sheria uliofanywa" -Makoa
Ni sehemu ya maelezo ya Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Haki, maadili na madaraka ya Bunge Ally Makoa akiwasilisha Bungeni kuhusu tuhuma zilizotolewa na Mbunge wa Kisesa (CCM) Luhaga Mpina dhidi ya Waziri wa Kilimo Hussein Bashe.
WABUNGE WAKUBALIANA KUMFUNGIA MPINA VIKAO 15 VYA BUNGE
Luhaga Mpina, Mbunge wa Kisesa amefungiwa kuhudhuria vikao 15 vya Bunge kuanzia Juni 24, 2024 kwa kosa la kukiuka Kanuni za Bunge, kudharau Mamlaka ya Spika na mwenendo wa shughuli za Bunge, atarejea Bungeni katika kikao cha pili cha Novemba, 2024
Mpina ametiwa hatiani baada ya kuzungumza na Wanahabari kuhusu ushahidi aliouwasilisha kwa Spika kabla ushahidi huo haujawasilishwa mezani au kupewa idhini na Bunge kufanya hivyo
Awali, Mpina alidai Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe alilidanganya Bunge kuhusu Uagizaji wa sukari Nchini
Spika wa Bunge, Tulia Ackson amesema Mpina hatakiwi kufika eneo la Bunge wala kujihusisha na shughuli zozote za Bunge wakati wa adhabu yake
PIA SOMA
- Spika Tulia amburuza Luhaga Mpina Kamati ya Maadili
- Luhanga Mpina apewa siku 10 na Spika kuleta ushahidi wa Bashe kulidanganya Bunge
- Luhaga Mpina: Usambazaji wa sukari haukuwa ukifanywa na mfanyabiashara mmoja wa Mwanza pekee, Waziri Bashe alidanganya
- Luhaga Mpina amshukia Waziri Bashe, adai amelidanganya Bunge, awataja Magufuli, Rais Samia
Kila anayekosana na ccm anazosifa za kuwa rais?Anataka agombee urais kupitia chadema, ndio sharti la kujiunga huko, Lissu anasema atagombea yeye, hicho ndio kikwazo pekee
Ila tuseme tu tuna bunge la hovyo.Kwa mujibu wa Kanuni ya Bunge #84 (3) (a) ya mwaka 2023 amekutwa na hatia na Kamati ya Hadhi na Madaraka ya Bunge.
Tuendelee kufuatilia bunge
≈=====================
"Mheshimiwa Luhaga Mpina (Mbunge wa Kisesa) alimtuhumu Mheshimiwa Waziri (Hussein Bashe, Waziri wa Kilimo) kuwa amelidanganya Bunge kwa kusema wamebadili kanuni za Nation Food Reserve Agency (NFRA) kuruhusu NFRA kuwa na mandate ya kuingiza sukari wakati hakuna tangazo la serikali lililotangazwa kuipa NFRA mandate ya kuingiza sukari, Waziri (Hussein Bashe, Waziri wa Kilimo) aliieleza kamati kuwa walitumia sheria ya usalama wa chakula sura ya 249 kukabiliana na uhaba wakati wa dharura kupitia NFRA ambapo alisema kuwa wameanza mchakato wa kubadilisha sheria ili NFRA waruhusiwe kuagiza, kuhifadhi na kusambaza sukari hata kwa kipindi kisicho cha dharura na mchakato huo ulianza kwa kutoa tangazo serikalini namba 225 (b) la tarehe 01 Aprili 2024" -Makoa
"Kamati ilipitia kifungu cha 14 cha sheria ya tasnia ya sukari kuhusu wanaoruhusiwa kuingiza sukari na kupitia kifungu cha 15 cha sheria ya usalama wa chakula ya mwaka 1991 na kubaini kuwa wakati wa dharura kama ilivyojitokeza sheria ya usalama wa chakula inakuwa na nguvu zaidi kuliko sheria ya tasnia ya sukari" -Makoa
"Kamati ilipata nafasi ya kujiridhisha kuhusu GN namba 25 (b) ya tarehe 01 Aprili 2024 na kupitia muswada wa sheria ya fedha iliona mapendekezo ya marekebisho yaliyoelezwa na Waziri kupitia kumbukumbu za Bunge na maelezo ya Waziri kamati ilikuwa na maoni kuwa hakuna uwongo uliozungumzwa na kwamba hakuna ukiukwaji wowote wa sheria uliofanywa" -Makoa
Ni sehemu ya maelezo ya Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Haki, maadili na madaraka ya Bunge Ally Makoa akiwasilisha Bungeni kuhusu tuhuma zilizotolewa na Mbunge wa Kisesa (CCM) Luhaga Mpina dhidi ya Waziri wa Kilimo Hussein Bashe
-----
Kamati Maadili, Haki na Madaraka ya Bunge imewasilisha bungeni taarifa ya kamati hiyo kuhusu tuhuma za Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina, jijini Dodoma leo Juni 24, 2024
Mbunge wa Mtera, Livingstone Joseph Lusinde amesema kutokana na tuhuma zinazomkabili Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kuhusu kumtuhumu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kuwa alilidanganya Bunge kuhusu sakata la Uagizaji wa Sukari, anatakiwa kufungiwa kuhudhuria vikao 15 vya Bunge
Ameyasema hayo Bungeni baada ya Mwenyekiti wa Kamati Maadili, Haki na Madaraka ya Bunge, Ally Makoa kuwasilisha Bungeni Taarifa ya Kamati kuhusu tuhuma hizo, leo Juni 24, 2024
---
"Mheshimiwa Luhaga Mpina (Mbunge wa Kisesa) alimtuhumu Mheshimiwa Waziri (Hussein Bashe, Waziri wa Kilimo) kuwa amelidanganya Bunge kwa kusema wamebadili kanuni za Nation Food Reserve Agency (NFRA) kuruhusu NFRA kuwa na mandate ya kuingiza sukari wakati hakuna tangazo la serikali lililotangazwa kuipa NFRA mandate ya kuingiza sukari, Waziri (Hussein Bashe, Waziri wa Kilimo) aliieleza kamati kuwa walitumia sheria ya usalama wa chakula sura ya 249 kukabiliana na uhaba wakati wa dharura kupitia NFRA ambapo alisema kuwa wameanza mchakato wa kubadilisha sheria ili NFRA waruhusiwe kuagiza, kuhifadhi na kusambaza sukari hata kwa kipindi kisicho cha dharura na mchakato huo ulianza kwa kutoa tangazo serikalini namba 225 (b) la tarehe 01 Aprili 2024" -Makoa
"Kamati ilipitia kifungu cha 14 cha sheria ya tasnia ya sukari kuhusu wanaoruhusiwa kuingiza sukari na kupitia kifungu cha 15 cha sheria ya usalama wa chakula ya mwaka 1991 na kubaini kuwa wakati wa dharura kama ilivyojitokeza sheria ya usalama wa chakula inakuwa na nguvu zaidi kuliko sheria ya tasnia ya sukari" -Makoa
"Kamati ilipata nafasi ya kujiridhisha kuhusu GN namba 25 (b) ya tarehe 01 Aprili 2024 na kupitia muswada wa sheria ya fedha iliona mapendekezo ya marekebisho yaliyoelezwa na Waziri kupitia kumbukumbu za Bunge na maelezo ya Waziri kamati ilikuwa na maoni kuwa hakuna uwongo uliozungumzwa na kwamba hakuna ukiukwaji wowote wa sheria uliofanywa" -Makoa
Ni sehemu ya maelezo ya Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Haki, maadili na madaraka ya Bunge Ally Makoa akiwasilisha Bungeni kuhusu tuhuma zilizotolewa na Mbunge wa Kisesa (CCM) Luhaga Mpina dhidi ya Waziri wa Kilimo Hussein Bashe.
WABUNGE WAKUBALIANA KUMFUNGIA MPINA VIKAO 15 VYA BUNGE
Luhaga Mpina, Mbunge wa Kisesa amefungiwa kuhudhuria vikao 15 vya Bunge kuanzia Juni 24, 2024 kwa kosa la kukiuka Kanuni za Bunge, kudharau Mamlaka ya Spika na mwenendo wa shughuli za Bunge, atarejea Bungeni katika kikao cha pili cha Novemba, 2024
Mpina ametiwa hatiani baada ya kuzungumza na Wanahabari kuhusu ushahidi aliouwasilisha kwa Spika kabla ushahidi huo haujawasilishwa mezani au kupewa idhini na Bunge kufanya hivyo
Awali, Mpina alidai Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe alilidanganya Bunge kuhusu Uagizaji wa sukari Nchini
Spika wa Bunge, Tulia Ackson amesema Mpina hatakiwi kufika eneo la Bunge wala kujihusisha na shughuli zozote za Bunge wakati wa adhabu yake
PIA SOMA
- Spika Tulia amburuza Luhaga Mpina Kamati ya Maadili
- Luhanga Mpina apewa siku 10 na Spika kuleta ushahidi wa Bashe kulidanganya Bunge
- Luhaga Mpina: Usambazaji wa sukari haukuwa ukifanywa na mfanyabiashara mmoja wa Mwanza pekee, Waziri Bashe alidanganya
- Luhaga Mpina amshukia Waziri Bashe, adai amelidanganya Bunge, awataja Magufuli, Rais Samia
Wewe ndio hunijui.Wewe mwenyewe unaye shauri maamuzi magumu umejificha na ID fake huku hutaki hata hujulikane
Mh Mpina alijua hilo ndiyo maana akazungumza na Wapiga kura wake kupitia Waandishi wa Habari.Hiki kilichofanyika ni cha kawaida, ni wachache sana wanaoweza kuona kwamba kuna inshu kuuuuubwa imefanywa na Bunge.
Yako mambo mengi sana ambayo tulitaraji bunge liyafanyie maamuzi magumu lkn hawakufanya.
Mpina ni wa nyumbani (ccm) ameadhibiwa na wana familia (ccm wenzake) so, hiyo siyo inshu hata kidogo.
So, wameacha kuchambua kwa umakini taarifa aliyoileta mpina, wakajikita kwenye makosa ya mpina kwa bunge, yaani ni mbaya sana kutuaminisha kwamba katika yote aliyoyasema mpina hakuna lililo sahihi.
Wewe tangu wakati ule wa DPW ulivyoamua kukaa kimya nilikuondoa kwenye faili langu la wapinzani walio na uchungu wa kupigania rasilimali za hili taifa.Mmeshaambiwa sheria iliyotumika ni ipi sasa kelele za nini? Mmeambiwa buffer stock na gap sugar ziliidhinishwa ila sio kibali kutolewa. Niliwaambia Mpina ni mpotoshaji tu mkanipinga leo mmeumbuka. Huko ccm yamejazana majizi tu nashangaa mnayatetea. Mpina sio mzalendo ni opportunist tu mwenye uchungu wa kukosa uwaziri. Na ndio kwisha hivyo 2025 harudi bungeni.
Kwani wewe mtaani kwako sukari bei gani? Isijeikawa mwenzetu unaamka na kuzimua wanzuki huku unataka kujadili suala la sukari?Baseline hapa ni;.. Je sukari baada ya kuagizwa kwa vibali (kwa maana ya wafanyibiashara kusamehewa mabilioni ushuru) ilipatikana kwa bei nafuu kwa wananchi au la? tuache details zingine hizo hadi kumgeuza mtuhumu kua mtuhumiwa nakumuadhibu yeye.
Kwa hakika sasa nchi imegeuka mwanasesere wa maslahi ya mabepari uchwara wa nchini au tuseme wafanyibiashara wakubwa.
Kwenye jengo hilowalio wengi mirembe inawahusuKwanini hawakuamuwa apelekwe na Mirembe akapimwe afya ya akili?
Kwani Leseni ta stationery ikipewa kibali cha kuagiza sukari na ikaleta sukari, kuna ISSUE gani?- Sheria iliyotumika ndio ikawafanya watumie kampuni isiyo na ujuzi wa kuagiza sukari? hapo usalama wa mlaji ulizingatiwa? mtaji wa 1 million wa stationery unaweza kuagiza sukari ya bilion 6.6? hiyo kama sio rushwa ni kitu gani kingine kwa akili yako mbovu!
InawezekanaKwa hiyo ndiyo basi tena hatarudi mjengoni?
Maana mwaka kesho ni uchaguzi wa Rais na wabunge!
Kwkweli sijuiduh! Hawezi kukata rufaa?
Dogo kama hauna hauna tu, hata ukiongea kwa hasira vipi haindoi ukweli!Acha afungiwe tu maana hakuna bunge hapo bali kusanyiko la majizi. Akafanye kazi nyingine kuliko kupoteza muda kwenye hilo bunge rubber stamp.
Chawa huna akili siku zote, kwanini hiyo leseni msiwape wenye experience ya uagizaji sukari unaenda kuwapa wa stationery?Kwani Leseni ta stationery ikipewa kibali cha kuagiza sukari na ikaleta sukari, kuna ISSUE gani?
Luhaga Mpina hana point ni wakala wa matajiri wahodhi sukari tu. Sisi tunataka sukari iwepo kwa bei rahisi bila kujali imekujajaje. Hata wewe denoo JG mwenye leseni ya kusuka nywele ukileta sukari tunanunua. Bashe shikilia hapo hapo mpaka hawa sukuma gang wa mwendazake wanyooke
MKuu njaa hakika ni mbaya sana. Hii platform imeanza kuwa na watu waajabu sana.Shame on you as well. Kwa hivyo ushahidi wa Mpina kwa Bashe ni uongo?