Bunge lajadili malori kukwama bandarini

Kuna uwezekano mkubwa watu wanaihujumu nchi kwa makusudi ili kutekeleza mradi wa Bgy
 
Umeiona hiyo tofauti? Halafu tunaambiwa ni kitu kimoja.
Na mimi nakazia maarifa, huyu mama asipokuwa na sikio na jicho la tatu, kuna watu wanamshauri vibaya kwasababi zao binafsi lakini yeye hajui, anatakiwa kujiongeza

 
Bunge linaendea?
 
Malori kukwama bandarini ni furaha kubwa sana kwa Lema, Msigwa, Lisu na chadema kwa ujumla kwa sababu hiyo ndiyo njia pekee ya kuuwa legacy ya Magufuli.
Sasa hao uliowataja wanasababisha vipi Malori kukwama,?sio wabunge,sio mawaziri,hawapo serikalini,
Acheni bangi ccm,kama nchi imewashinda rudisheni Mpira kwa kipa.
Raisi wenu kaenda kurembua macho kwa Museveni.
 
Ungekuja na sababu ya kuleta huo mkwamo ingekuwa poa sana
 
Majaliwa anaanza kushindwa kasi ya Mama. Kama Leo hatafukuza watu kazi basi hatoshi hata kidogo. Siku tano bandari! Magufuli aliharibu sana hii nchi akatengeneza mfumo wa kila mahali lazima aende yeye ndio pasonge

Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
 
Kwanini mizigo isipakiwe wala kushushwa kwa siku 5? Kuna tatizo gani kwani? Au ndio hujum za Kenya ili mizigo iende Mombasa?
Ni uhujumu wa ndani lengo ni kutaka kuonyesha kuwa bandari ya dar es salaam haina uwezo ili ijengwe ya bagamoyo!!!

Wananchi hatupingi ujenzi wa bandari ya bagamoyo tunachopinga ni mkataba mbovu jengeni hata bandari mia kama zinahitajika tunachokataa ni mkataba mbovu na hujuma na serikali kujihusisha kuingia mkataba mbovu

Kama wao wanakuja kama wawekezaji binafsi kama mangi au mpemba anavyoanzisha biashara yake bila mkono wa mkataba mbovu na serikali waje tu

Hili ni shinikizo la kihujumu kushinikiza wananchi wakubali mradi wa bandari ya bagamoyo kuwa oneni bandari ya Dar inavyoshindwa kazi!!!! mmmmm mbona Magufuli akiwepo hatukuona huo msururu wa malori wala malalamiko ya madereva?
 
Tumekubaliana sasa ni utawala wa sheria.
au nasema uongo ndugu zangu.
 
Kwani hata tukisaini mikataba mibovu mtafanyaje???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…