Sitaki kumkumbuka jiwe kwa sababu ya haya
1. Wale waliopotea na waliopotelewa na ndugu zao katika mazingira tata
2. Wale waliochukuliwa mali zao kidhalimu na ma-task force
3. Wale walipelekwa magerazani kwa miezi na miaka kwa kesi za kubumba
4. Walipoteza maisha katika chaguzi kama Akwilina
5. Waliopoteza biashara kama Kwanza TV na Mbowe
6. Walionyang'anywa passports kama Eyakuze
7. Waliochafuliwa wanafanya biashara za madawa na kipendwa chake Bashite
8. Waliopoteza kazi zao kwa mkono na nia ovu kama Fatma Karume
9. Wakulima Ambao hawakupewa pesa zao za korosho
10. Waliobomolewa nyumba zao Kimara
11.Wastaafu wanaopigwa na jua kutwa wakifuatilia mafao yao ya pensheni
12.Vyombo vya habari binafsi ambavyo viligeuzwa kwa nguvu kuwa state propoganda media.
13.Waliochafuliwa na Musiba pamoja na genge lake
Embu Jaribu kuitaja mkuu, halafu la lingine la nyongeza, wafanya kazi hasa wa Afya, tayari wamerudisha tena kule kuingia kazini kwenda kupiga soga bila kujali ratiba zao za kuingia mawodini kuhudumia wagonjwa!
Sasa ni kupiga soga Kwa kwenda Mbele, sjajua sehemu nyingine, sjui wewe hutaki kumkumbuka Jiwe Kwa lipi