Bunge lajadili malori kukwama bandarini

Bunge lajadili malori kukwama bandarini

Dogo hujambo
Sitaki kumkumbuka jiwe kwa sababu ya haya
1. Wale waliopotea na waliopotelewa na ndugu zao katika mazingira tata
2. Wale waliochukuliwa mali zao kidhalimu na ma-task force
3. Wale walipelekwa magerazani kwa miezi na miaka kwa kesi za kubumba
4. Walipoteza maisha katika chaguzi kama Akwilina
5. Waliopoteza biashara kama Kwanza TV na Mbowe
6. Walionyang'anywa passports kama Eyakuze
7. Waliochafuliwa wanafanya biashara za madawa na kipendwa chake Bashite
8. Waliopoteza kazi zao kwa mkono na nia ovu kama Fatma Karume
9. Wakulima Ambao hawakupewa pesa zao za korosho
10. Waliobomolewa nyumba zao Kimara
11.Wastaafu wanaopigwa na jua kutwa wakifuatilia mafao yao ya pensheni
12.Vyombo vya habari binafsi ambavyo viligeuzwa kwa nguvu kuwa state propoganda media.
13.Waliochafuliwa na Musiba pamoja na genge lake
 
Si unajua kilichowakuta wengi waliosaini mikataba mibovu nyuma Magufuli alipoingia walivyoshughulikiwa? Kwani mtakaa madarakani milele? Atatokea mwehu tu atashughulika nanyi au vizazi vyenu hata kama mumeondoka

Ogopa kuingia mkataba mbovu hasa utakaoumiza vizazi vijavyo kizazi chako kitakuja kuwajibika kwa niaba yako

Life goes beyond you, usijifikirie wewe tu!!

Ni nani aliyesaini mkataba mbovu ameshughulikiwa, maana kama ni mahakama ya mafisadi dhalimu alisema hakuna wateja. Au unadhani zile propaganda mfu mlizokiwa mnapiga ndio unadhani tulia
 
Tulieni jamani haya mambo yatawaletea hela mtaani...si mlikuwa mnalalamika vyuma kukaza....hapa sasa ndio uchumi unafunguliwa ....koki ya hela itaanza kutema sasa hivi
 
Malori kukwama bandarini ni furaha kubwa sana kwa Lema, Msigwa, Lisu na chadema kwa ujumla kwa sababu hiyo ndiyo njia pekee ya kuuwa legacy ya Magufuli.
Ujinga wa mtu hujulikana kwa anachokiandika, au anachokisema
 
Malori kukwama bandarini ni furaha kubwa sana kwa Lema, Msigwa, Lisu na chadema kwa ujumla kwa sababu hiyo ndiyo njia pekee ya kuuwa legacy ya Magufuli.

20210511_170756.jpg
 
Sitaki kumkumbuka jiwe kwa sababu ya haya
1. Wale waliopotea na waliopotelewa na ndugu zao katika mazingira tata
2. Wale waliochukuliwa mali zao kidhalimu na ma-task force
3. Wale walipelekwa magerazani kwa miezi na miaka kwa kesi za kubumba
4. Walipoteza maisha katika chaguzi kama Akwilina
5. Waliopoteza biashara kama Kwanza TV na Mbowe
6. Walionyang'anywa passports kama Eyakuze
7. Waliochafuliwa wanafanya biashara za madawa na kipendwa chake Bashite
8. Waliopoteza kazi zao kwa mkono na nia ovu kama Fatma Karume
9. Wakulima Ambao hawakupewa pesa zao za korosho
10. Waliobomolewa nyumba zao Kimara
11.Wastaafu wanaopigwa na jua kutwa wakifuatilia mafao yao ya pensheni
12.Vyombo vya habari binafsi ambavyo viligeuzwa kwa nguvu kuwa state propoganda media.
13.Waliochafuliwa na Musiba pamoja na genge lake
Pole mkuu, itakulazimu tu siku moja
 
Hii si Ishara Nzuri hata kidogo kwa Mama....
Anatupa Nafasi ya kuongea.
 
Malori kukwama bandarini ni furaha kubwa sana kwa Lema, Msigwa, Lisu na chadema kwa ujumla kwa sababu hiyo ndiyo njia pekee ya kuuwa legacy ya Magufuli.
Kwa hiyo wao ndio wamesimamisha hayo malori kupakia na kupakua mizigo,..akili kisoda
 
This is a pure managerial issue. It does not require a political machinery intervention. There is some managerial lapse in the institution to be resolved within.
Do you mean managerial issues within TPA are causing the port to collapse for inefficiency?

Do you mean there is no longer, organization, plan, coordination, control, and accountability within TPA management and other stakeholders?

What happened as a result of the managerial issues emerge this time around?

Are you aware that the highly ranked state security agents are fully deployed at the port monitoring the activity and updating the head of state?

Are you aware that at present there is no executive director at the port after the former was suspended pending office abuse issues?

What alternative was put in place that feedback the operations turnaround to the head of state?

*There are still more to surface until the big whale resuscitates the wailing economy through self-reliance income generation out of the national resources!!!
 
Kuna uwezekano mkubwa watu wanaihujumu nchi kwa makusudi ili kutekeleza mradi wa Bgy
Kwa nini tatizo linanza sasa? Au wanataka kutuambia bandari ya Dar imezidiwa?Watz tunazo kumbukumbu eti.
 
Back
Top Bottom