Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
- Thread starter
-
- #41
Hilo tukio hilo lilikuwa maigizo tu. Badala ya kupoteza dk 20 'kujadili' Jenista angeambiwa atoe taarifa yake yaishe. Kwani Tulia alikuwa hajui PM amekwenda Dar?
sheria inasemaje kuhusu kiongozi kufukuza watumishi???Utawala wa Sheria ndio. Na adhabu yao kwa Uzembe unawafukuza kazi hatujasema uwanyonge au uwafunge
Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
Nipo Kenya.
Mkuu fafanua kidogo, "wanamshauri vibaya"........ "Anatakiwa kujiongeza"Na mimi nakazia maarifa, huyu mama asipokuwa na sikio na jicho la tatu, kuna watu wanamshauri vibaya kwasababi zao binafsi lakini yeye hajui, anatakiwa kujiongeza
View attachment 1781931
Hamia Chato kabisa kumbukumbu itakaa vizuri zaidi.Kuna sababu yoyote ya kutomkumbuka Jiwe?
Si unajua kilichowakuta wengi waliosaini mikataba mibovu nyuma Magufuli alipoingia walivyoshughulikiwa? Kwani mtakaa madarakani milele? Atatokea mwehu tu atashughulika nanyi au vizazi vyenu hata kama mumeondokaKwani hata tukisaini mikataba mibovu mtafanyaje???
kumwambia uongozi sio kuwa mkali au kufoka foka[emoji3].Mkuu fafanua kidogo, "wanamshauri vibaya"........ "Anatakiwa kujiongeza"
Upi ni ushauri mbaya?
Ajiongeze afanye nini ambacho hakiendi vizuri?
Kaa hukohuko
sasa bimkubwa anapigwa 5:0 kwenye hili.Si unajua kilichowakuta wengi waliosaini mikataba mibovu nyuma Magufuli alipoingia walivyoshughulikiwa? Kwani mtakaa madarakani milele? Atatokea mwehu tu atashughulika nanyi au vizazi vyenu hata kama mumeondoka
Ogopa kuingia mkataba mbovu hasa utaooumiza vizazi vijavyo kizazi chako kitakuja kuwajibika kwa niaba yako
Life goes beyond you usijifikirie wewe tu!!
Kwa 100% wewe utakuwa ni afande selle au musiba.Malori kukwama bandarini ni furaha kubwa sana kwa Lema, Msigwa, Lisu na chadema kwa ujumla kwa sababu hiyo ndiyo njia pekee ya kuuwa legacy ya Magufuli.
Dah huu ni ukosefu wa uzalendo aisee hii nchi ni yetu tukiamua kiejenga au kubomoa faida na hasara ni kwetu sisi sote. Watu wafanye kazi kwa kujitumaMajibu mepesi SANA, Kassim Majaliwa ameenda kushughulikia, kununua mashine za kupakulia mizigo??
Nilipita mitaa ya SeaCliff weekend, meli zilizopaki niliona ni nyingi lakini sikuelewa kama tatizo ni kubwa kwa kiasi hicho.
Waondoe na wafute storage charges kwa siku 5 hizi, siyo kosa la wateja, bali uzembe wa serikali, kufunga vifaa vipya vya kupakia na kupakulia mizigo.
Everyday is Saturday............................... 😎
Kulikuwa na genge fulani lilikuwa linaitwa TICKS sijui liliishia wapiWaondoe na wafute storage charges kwa siku 5 hizi, siyo kosa la wateja, bali uzembe wa serikali, kufunga vifaa vipya vya kupakia na kupakulia mizigo
Imekuwa TICKS siyo TICTS?! Haa haa haa!Kulikuwa na genge fulani lilikuwa linaitwa TICKS sijui liliishia wapi
Haohao MkuuImekuwa TICKS siyo TICTS?! Haa haa haa!
Embu Jaribu kuitaja mkuu, halafu la lingine la nyongeza, wafanya kazi hasa wa Afya, tayari wamerudisha tena kule kuingia kazini kwenda kupiga soga bila kujali ratiba zao za kuingia mawodini kuhudumia wagonjwa!
Sasa ni kupiga soga Kwa kwenda Mbele, sjajua sehemu nyingine, sjui wewe hutaki kumkumbuka Jiwe Kwa lipi
Kayatoeni haraka ili kuwakomoaMalori kukwama bandarini ni furaha kubwa sana kwa Lema, Msigwa, Lisu na chadema kwa ujumla kwa sababu hiyo ndiyo njia pekee ya kuuwa legacy ya Magufuli.