Bunge lampongeza waziri Ummy Mwalimu kwa kusimamia vizuri mapambano dhidi ya Corona na kuudhibiti


Kwa Upumbavu uliopo na unaoendelea kuna wakati Mtu unafikia hatua ya hata Kuogopa Kujitambulisha kuwa Wewe ni Mtizedi.
 
Kwani wewe unaumwa corona?
Hii ni kufuru. Ndugu yangu yupo ICU kwa siku ya 3. Uwezekano mkubwa alipatwa na tatizo hili wakati anamuuguza ndugu yake ambaye naye alipatwa na tatizo hili wiki 2 zilizopita.

Tatizo bado lipo, tena kubwa. Wagonjwa wengi wanaugulia nyumbani maana hospitali za serikali hakuna huduma. Unalazimika kumpeleka mgonjwa wako hospitali za private pale tu hali ikiwa critical.

Tuendelee kujikinga, tusibebwe na maneno ya uwongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
duh, ndugu yake vp kapona or
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu wakiitwa Bunge DHAIFU wanakunja NGUMI.

Mtaani bado gonjwa lipo na Watanzania wengi wanaugua na kufa. Wiki ya tatu hii hakuna mrejesho na ummy alidai maabara inafanyiwa marekebisho. Ripoti ya tume iliyoundwa na kuchunguza ripoti imefanywa siri kubwa halafu leo tunaambiwa utendaji wa ummy ni wa KUTUKUKA! 😳😷😳😷


 
Kwi kwi kwi kwi kwi kwi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…