kipusamtoto
Member
- Sep 2, 2017
- 60
- 112
Pamoja na familia ya JPM au veepi!Familia ya Mbowe inapaswa kumshukuru waziri Ummy pia!
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja na familia ya JPM au veepi!Familia ya Mbowe inapaswa kumshukuru waziri Ummy pia!
Naibu Spika Dr Tulia leo ametambulisha kurejea bungeni kwa waziri wa afya mh Ummy Mwalimu ambaye alikuwa mstari wa mbele kuongoza mapambano dhidi ya Corona hadi kuudhibiti ugonjwa huo.
Bunge zima limempigia makofi ya furaha na kumshukuru kwa namna alivyotoa mchango mkubwa kumsaidia Jemedari mkuu Rais Magufuli katika vita dhidi ya Corona.
Source Star tv!
Hii ni kufuru. Ndugu yangu yupo ICU kwa siku ya 3. Uwezekano mkubwa alipatwa na tatizo hili wakati anamuuguza ndugu yake ambaye naye alipatwa na tatizo hili wiki 2 zilizopita.Kwani wewe unaumwa corona?
Hii ni kufuru. Ndugu yangu yupo ICU kwa siku ya 3. Uwezekano mkubwa alipatwa na tatizo hili wakati anamuuguza ndugu yake ambaye naye alipatwa na tatizo hili wiki 2 zilizopita.
Tatizo bado lipo, tena kubwa. Wagonjwa wengi wanaugulia nyumbani maana hospitali za serikali hakuna huduma. Unalazimika kumpeleka mgonjwa wako hospitali za private pale tu hali ikiwa critical.
Tuendelee kujikinga, tusibebwe na maneno ya uwongo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naibu Spika Dr Tulia leo ametambulisha kurejea bungeni kwa waziri wa afya mh Ummy Mwalimu ambaye alikuwa mstari wa mbele kuongoza mapambano dhidi ya Corona hadi kuudhibiti ugonjwa huo.
Bunge zima limempigia makofi ya furaha na kumshukuru kwa namna alivyotoa mchango mkubwa kumsaidia Jemedari mkuu Rais Magufuli katika vita dhidi ya Corona.
Source Star tv!
Kwi kwi kwi kwi kwi kwi...Naibu Spika Dr Tulia leo ametambulisha kurejea bungeni kwa waziri wa afya mh Ummy Mwalimu ambaye alikuwa mstari wa mbele kuongoza mapambano dhidi ya Corona hadi kuudhibiti ugonjwa huo.
Bunge zima limempigia makofi ya furaha na kumshukuru kwa namna alivyotoa mchango mkubwa kumsaidia Jemedari mkuu Rais Magufuli katika vita dhidi ya Corona.
Source Star tv!
Sayansi ni maarifa ya nani? Mfanyabiashara au?Trump anakunywa just kujikinga na Corona
Sayansi ni " maarifa" bwashee!