Bunge lapitisha Muswada unaotaka wake wa Marais na Maspika wastaafu kulipwa kiinua mgongo

Huyu mama ana akili finnyu sana. Tazama sasa kalitumbukiza taifa kwenye matumizi ya ovyo ya pesa za umma kwa kujipendelea yeye na chawa wenzake.
 
Kuwa na bunge la kiqumer kama hili ni afadhali kutokuwa na wawakilishi wapuuzi. hawa wapuuzi wanaojali matumbo yao zaidi ya shida za wapiga kura. Ni afadhali hata mkoloni arudi kututawala kuliko kuwa chini ya uongozi huu wa wa kiumbwa.
 
Mna mpango gani wa kumtoa huyu mama madarakani na ccm yake
Kumteua makonda kuwa mwenezi tayari amejiondoa madarakani. Amemteua Makonda kibabe huku Kinana na wanaCCM wengine wakiwa hawakubaliani na maamuzi yake. Tayari CCM imepasuka vipande viwili dhahiri.
 
Wawajumuishe na wenza wa:
1. Mawaziri wote
2. Makatibi Wakuu wote wa Wizara
3. Wabunge wote
4. Wakuu wote wa mikoa na makatibu tawala
5. Wakuu wote wa wilaya na makatibu tawala
6. Wakurugenzi wote wa Majiji na Halmashauri
7. Wakuu wote wa Mashirika ya umma
8. Na wengine wote watakoonekana nao "wanataka"
 
CCM ni ukoo wa panya—babu mwizi, baba mwizi, watoto wezi, wajukuu wezi, vitukuu wezi, vilembwe wezi na vining’ina wezi! Ukoo huu wa panya walikuwa wanasafiri katika boti la muhogo, lakini kwa sababu ya uroho wao, walianza kulitafuna boti! Kilichofuata ni ukoo mzima wa kizazi cha panya kuzama na kuangamia.

CCM wameanza kuitafuna nchi tangu mwaka 1961 lakini ukomo wao wa kutafuna rasilimali za nchi zitafika tamati hivi punde kwani hakuna mtanzania mwenye hamu ya kuongozwa na chama cha kifisadi kama CCM ambacho kimeshindwa kuboresha maisha na ustawi wa watanzania. Wananchi wamechoka kubebeshwa ‘magunia ya misumari’ ya bei ya juu ya chakula, mfumuko wa bei wa kutisha, elimu duni, maisha duni, ufisadi wa kutisha na matatizo lukuki yanayosababishwa na panya (CCM) hawa wasiokuwa na haya! Kizazi kizima cha CCM kinakaribia kuzama na kusahaulika kabisa katika ardhi ya Tanzania.

It’s a matter of time before CCM dynasty comes to an end, and that’s when these unscrupulous rats will apprehend the significance and power of the people. Desolately, CCM have been ignoring and looking down their noses at common Tanzanians for many years. Time has now come when citizens can no longer endure CCM’s tyranny and corrupt rule. Everybody is tired of living like a slave on a land endowed with an assortment of natural wealth which only benefits minority looters and a few elites in power while majority Tanzanians lead very miserable lives.

What comes around goes around. Let CCM go to hell for good because they have absolutely failed to uplift the living standards of millions of Tanzanians at the expense of a few looters whose gargantuan stomachs never fill up! And no one should be blamed for the hatred and grudge that majority people hold against CCM and their crooked government except looters themselves who, horrifically, decided to gnaw the cassava boat by which they were sailing!
 
Pesa haijawahi kitosha mkuu, hata wewe huwezi kutosheka pesa. Lakini kuna wakati mtu inampasa kuona aibu, mtu sasa unakuwa na tamaa hadi unatia aibu. Wananchi watakushangaa!
Wananchi hawawezi kushangaa maana wao ndiyo waliowachagua kwa kishindo.
 
Kuna wenza wengine ambao wapo wanaishi na wenzi wao ambao wapo hai hadi sasa na Serikali inawagharimikia kila kitu pamoja na kuwalipa asilimia 80 ya mishahara ya kíongozi aliyepo madarakani. Ni wenza hao hao bado wana nafasi za juu katika mihimili ya nchi na wanapokea mishahara mizuri na mikubwa tu. Ni haohao ambao wamepigania huu muswada upite kwa kutumia nafasi zao walizo nazo. Baada ya kumaliza muda wao katika nafasi hizo, watalipwa mafao mazuri tu halafu wanaendekea na mafao hayo ya uwenza. Ama kweli, aliyeshiba hamjui mwenye njaa.
 
Hawa wanao tutesa ndio hao waliosemea kwenye shule za makanisa yanayo pewa ruzuku akili awana kabisa wanacho jali tumbo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…