Bunge lapitisha Muswada unaotaka wake wa Marais na Maspika wastaafu kulipwa kiinua mgongo

Hamna haja ya kushangaa acheni wagawane alisikika mzee mmoja akiwa amezidiwa na konyagi
 
Kujipendekeza kumezidi kiasi mpaka inaboa.
 
Eti kwasababu huwa wanaacha kazi zao kwa usalama, wakati mume wa spika kapewa cheo sijui ewura
Hivi Ujerumani na Uingereza nako wanafanya hivyo? Nauliza hivyo kwa sababu najua baadhi ya mifumo ya kiutawala tuliiga kutoka kwa Wakoloni waliotutawala. Nao wanafanya hayo?
 
Pana jamaa nilikua namsikia sehemu kaongea kwa Uchungu sana aisee daah wacha niendelee kuwasikiliza ndugu zangu maana vitu vingine kwa akili ya kawaida hauwezi kufikiri kuwa watu watafikiri iwe sheria ila kwa kuwa wanapenda mazingira ya kuchota tuu kwa kutumia sheria zao wacha tuwasikilize ila huu ujinga wao una mwisho tu..
 
Dahhhhhh duuuuu,mungu shuka utuchukue tuko tayari
 
Maharamia wameteka mifumo yote, Maharamia wameiteka serikali, Maharamia wamevitaka vyama vya siasa, Maharamia wameteka baadhi ya raia wenye influence, Maharamia wameteka wasanii nk.

Maharamia wanatujua vizuri sana, wanazijua tamaa zetu, wanatujua tunapenda hivi vipande vya shillingi kuliko hata ustawi wa Taifa letu na watu wetu, wameweka brake hapo nakuteka kila kitu.

Nguvu ya pamoja na yenye nia ya dhati kabisa inahitajika kuusambaratisha mfumo wa kiharamia na kujenga misingi imara na mifumo strong itakayoilinda nchi dhidi ya uharamia wowote ule maana mpaka sasa hata ile mifumo tunayoamini inapaswa kutulinda na uharamia nayo imetekwa.

Lets be serious, kila mwenye uchungu na Taifa hili ni wakati sasa wa kusimama na kupambana na huu uharamia mpaka pale mifumo rafiki itakapozaliwa hata kwa sisi wote kufa..

Lazima tujitoe kuiokoa hii nchi ili vizazi vyetu vione namna gani babu zao tulikuwa serious, akina Mkwawa, Kimweri nk walipigana na kuupinga ukoloni ili tujitawale na tunufaike na rasilimari zetu wote kwa ujumla wetu lakini imekwenda vinginevyo maana uhuru feki umezalisha wahuni waliojitwalia Taifa hili na kulifanya lao na familia zao.... TUAMKE SASA.
 
Uroho tu, mtu alikua mwalimu, akawa mke wa Rais, bado akapewa ubunge , ana privileges kibao.
Bado anataka mafao mengine?
This is rubbish
 
Yaani wake za ma-Rais wastaafu walipwe pensheni kwa kazi ya kupigwa pumb*u na Marais??!??
Utawala wa nchi hii unatutia hasira sana sisi wananchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…