Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kiongozi aliyeharibu mifuko kama Kikwete,sema watanzania wengi ni wasahaurifu..aliyepitisha SSRA,sijui kufuta fao la kujitoa ni Kikwete...mimi ni mdau mkubwa sana na nimehudhuria sana vikao wakati huo Jenister Mhagama akiwa mwenyekiti kamati ya mambo ya jamii bungeni,Kikwete alikuwa anawatumia sana Zitto na Msigwa kufanikisha hizi sheria kupata sapoti ya upinzani,nakumbuka mwaka 2010-2015 watu wa migodini walipokuja juu,Zitto akiwa naibu wa kambi ya upinzani bungeni akachezesha karata kuomba kamati ya uongozi wa bunge wakutane kujadili ili kuzuia Mswada uliokuwa umepelekwa na Jaffo (Jafo akiwa Mbunge) usijadiliwe kuhusu kupitia sheria waliokuwa wameipitisha kwenye bunge lilopita wakati huo...Nakeleka sana na hii tabia ya ccm jiwe aliharbu sana kipondi chake kuuletea huu mfuko siasa. Na kuuwekea sheria ili aweze kuchota pesa zaid.
Na; Mwandishi Wetu - DODOMA
BUNGE limepitisha Muswada wa Marekebisho ya Sheria za Hifadhi ya Jamii wa Mwaka 2024 wenye mambo kadhaa yanayolenga kuondoa changamoto zinazowakabili wanachama na utaratibu wa upatikanaji wa mafao.
View attachment 3082252
Marekebisho hayo yanagusa Sheria tatu ambazo ni Sheria ya Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii, Sura ya 50, Sheria ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma, Sura ya 371, na Sheria ya Fidia kwa Wafanyakazi, Sura ya 263.
Akiwasilisha maelezo ya muswada huo bungeni Agosti 29, 2024, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema marekebisho hayo yanatokana na nia ya dhati ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kutatua changamoto ikiwamo mkwamo wanaoupata watumishi wanapostaafu.
Pia, amesema muswada huo umelenga kutatua suala la wastaafu hao kukutana na kizingiti cha Waajiri kutowasilisha michango kwa wakati kwenda kwenye Mifuko na kuongeza makusanyo.
“Pia unalenga kuondoa changamoto ya uonevu wakati wa kuwapatia haki wafanyakazi wanaoumia makazini na anayepaswa kutoa taarifa anaposhindwa kutoa taarifa ndani ya muda; malipo yasiyo ya lazima na kulinda watumishi katika stahiki zao; kwa Waajiri kuwapa ulinzi wa taarifa, na kuwajengea mazingira wachangie na kuwapa nafuu katika malipo,”amesema.
Akiwasilisha maoni ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii, Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Fatuma Toufiq amesema kamati inakubaliana na marekebisho hayo yaliyopo kwenye muswada huo.
Ameshauri serikali iimarishe Mifumo ya TEHAMA ili wanachama wapate taarifa za michango yao kutoka kwa waajiri kila mwezi kwenye simu zao za kiganjani ili kuondoa tatizo la wanachama kutolipwa mafao kwa wakati kutokana na kutopelekwa kwa michango yao kwenye mifuko.
Kwa namna nikivyomsikiliza Waziri Ridhiwani Kikwete, ni kuwa mabadiliko makubwa ya mifuko hiyo, ni pale mwanachama anapofikia umri wa kustaafu, lakini Mwajiri wake hajapeleka michango yake, ambayo alikuwa akikatwa toka Kwenye mishahara yake.............Mtoa mada amekurupuka. Alicholeta ni news headline. Alipaswa a dig deep ili kutaja kipengele husika kilichobadilika
Wakati wakikwete mtu akiachishwa kazi alikua anapewa mafao yake yote, au mkataba ukiisha alilipwa stahiki zote Tena kwa mkupuo. Magufuli ndio alibadili Sheria akaja na mambo ya kikokotoo, baadae alivyoona watu wanalalamika sana akasimamisha kisitumike Bali kifanyiwe maboresho. Acha kumtetea kwenye hili.Hakuna kiongozi aliyeharibu mifuko kama Kikwete,sema watanzania wengi ni wasahaurifu..aliyepitisha SSRA,sijui kufuta fao la kujitoa ni Kikwete...mimi ni mdau mkubwa sana na nimehudhuria sana vikao wakati huo Jenister Mhagama akiwa mwenyekiti kamati ya mambo ya jamii bungeni,Kikwete alikuwa anawatumia sana Zitto na Msigwa kufanikisha hizi sheria kupata sapoti ya upinzani,nakumbuka mwaka 2010-2015 watu wa migodini walipokuja juu,Zitto akiwa naibu wa kambi ya upinzani bungeni akachezesha karata kuomba kamati ya uongozi wa bunge wakutane kujadili ili kuzuia Mswada uliokuwa umepelekwa na Jaffo (Jafo akiwa Mbunge) usijadiliwe kuhusu kupitia sheria waliokuwa wameipitisha kwenye bunge lilopita wakati huo...
Baada ya kamati ya uongozi wa bunge kukutana wakaja na pendekezo kwamba sheria isitekelezwe kwanza...sio kwamba ifutwe...hapana isimamishwe mpaka pale kanuni zitakapo tungwa...wakampa jukumu Waziri husika kuhakikisha kanuni zinatungwa...hizi sheria zote za kishenzi na za dharura kuhusu Mifuko ya Jamii zimetungwa kipindi cha Kikwete.
Magufuli alipoingia viongozi wa TUCTA na mifuko ya hifadhi wakamfuata kumuomba utekelezaji wa sheria zilizokuwa zimesitishwa tu kutumika,TUCTA na wawakilishi wengi wa serekali wakiaminishwa kuwa kufanya hivyo kutaboredha zaidi mafao yao kufikia kiwango walichokuwa wanapata wastaafu wa mashirika ya Uma...Kalakabao wakawa wamepigwa kekundu,kushtuka wakaanza kulalamika kwa Magu tena,kama unakumbuka mkutano mmoja Magu akazuia sheria kutumika na akawa anashangaa kwa nini mifuko hawataki kuwapa wastaafu pesa zao zote...akaamuru sheria itumike kuanzia 2025...
Unadili na matokeo hudili na mchakato. Mtaalamu Ikizu Bukama kadadavua mchakato uliokoanzia na chanzo cha tatizo halisi kakupa timeframe na key events zilivokuwa zinatokea. Wewe unadili na matoke tu rubbish kabisaWakati wakikwete mtu akiachishwa kazi alikua anapewa mafao yake yote, au mkataba ukiisha alilipwa stahiki zote Tena kwa mkupuo. Magufuli ndio alibadili Sheria akaja na mambo ya kikokotoo, baadae alivyoona watu wanalalamika sana akasimamisha kisitumike Bali kifanyiwe maboresho. Acha kumtetea kwenye hili.
Swali la uelewa! Eti ni kwa watumishi wa umma tu!?? vipi sekta binafsi?Sheria ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma, Sura ya 371, na Sheria ya Fidia kwa Wafanyakazi, Sura ya 263.
Ndo maana nakwambia haya mambo huyafahamu vizuri,Kikwete ndo alitunga hiyo sheria na baada ya watu kuwa wakali,ikabidi sheria ihairishwe,sina haja ya kumtetea yoyote kwenye hili,fuatilia hiyo sheria ni ya mwaka gani....yani pamoja na maelezo niliyotoa hujaelewa chochoteWakati wakikwete mtu akiachishwa kazi alikua anapewa mafao yake yote, au mkataba ukiisha alilipwa stahiki zote Tena kwa mkupuo. Magufuli ndio alibadili Sheria akaja na mambo ya kikokotoo, baadae alivyoona watu wanalalamika sana akasimamisha kisitumike Bali kifanyiwe maboresho. Acha kumtetea kwenye hili.
Na ndicho unachoulizwa kama Kikwete alisema ihairishwe kwa nini Mwendazake aliitekeleza licha ya aliyeisaini kuona ametoa boko?.Ndo maana nakwambia haya mambo huyafahamu vizuri,Kikwete ndo alitunga hiyo sheria na baada ya watu kuwa wakali,ikabidi sheria ihairishwe,sina haja ya kumtetea yoyote kwenye hili,fuatilia hiyo sheria ni ya mwaka gani....yani pamoja na maelezo niliyotoa hujaelewa chochote
Hili ndio la msingi watu wapewe Fedha zao tu nasihivyo tu, pia fao lakujitoa lirudishwe Ili watu wastaafu kazi za kuajiriwa mapema wakajiajiri.Mtu alipwe fedha zake zote pindi ukomo wa ajira unapofika au ukifanyika
Kinyume cha hapo ni MAHOKA TUU
Sheria ikishapitishwa is either ifutwe au itekelezwe,kumbuka Kikwete kwa kiasi kikubwa alikuwa hawakilishi michango ya wafanyakazi,kwa hiyo liquidity ya mifuko ilikuwa hoi,na pesa iliyokuwa imechangwa toka private sector ndo ikawa imewekezwa kwenye majengo yasiokuwa na wapangajiNa ndicho unachoulizwa kama Kikwete alisema ihairishwe kwa nini Mwendazake aliitekeleza licha ya aliyeisaini kuona ametoa boko?.