Bunge lapitisha Muswada wa Marekebisho ya Sheria za Ulinzi wa Mtoto

Dkt. Gwajima D

Minister
Joined
Nov 28, 2015
Posts
966
Reaction score
6,019
BUNGE LAPITISHA MUSWADA, MAREKEBISHO YA SHERIA ZA ULINZI WA MTOTO.

Na WMJJWM, Dodoma

Bunge la Tanzania limepitisha muswada wa marekebisho ya sheria zinazohusu ulinzi wa mtoto wa mwaka 2024 leo Agosti 30, 2024 jijini Dodoma.

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima, akiwasilisha Muswada huo amesema madhumuni yake yanalenga kuondoa upungufu uliojitokeza wakati wa utekelezaji wa baadhi ya masharti ya sheria hizo ili kuimarisha ulinzi na maslahi bora ya mtoto.

Amebainisha kuwa, muswada huo umetoa mapendekezo katika sheria tatu ambazo ni Sheria ya Makosa ya Kimtandao Sura ya 443, Sheria ya Mtoto, Sura ya 13 na Sheria ya Msaada wa Kisheria, Sura ya 21.

Waziri Dkt. Gwajima amesema kazi ya kuboresha sheria na miongozo mbalimbali inayohusu ulinzi wa mtoto itaendelea kufanyika kama kazi endelevu kwani, kwa sasa kasi ya mabadiliko kwenye jamii ni hasa katika mazingira ya maendeleo ya ulimwengu wa kidigitali.

"Kila mwaka hatutasita kuja na marekebisho ya Sheria kutokana na Kasi ya mabadiliko ya kijamii kwenye ulimwengu wa maendeleo ya kidigitali kwani, kasi hiyo pia inagusa maendeleo na ustawi wa maisha ya watoto wetu katika rika mbalimbali" amesema Waziri Dkt. Gwajima.

Akiwasilisha maoni ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii Mhe. Michael Kembaki ameishauri Serikali kuhakikisha sheria zote zinazohusu ulinzi wa mtoto zipitiwe upya ili kuendana na mazingira ya sasa, kutenga bajeti ya kuendesha mabaraza ya watoto pamoja na kuongeza kasi ya kuajiri Maafisa Ustawi wa Jamii.

Soma Pia:
Nao baadhi ya wabunge wakichangia kuhusu Muswada huo wameipongeza Serikali kwa kuona umuhimu wa kufanya marekebisho ya Sheria zinazuhusu ulinzi wa mtoto ili kumlinda mtoto na mabadiliko ya sayansi na teknolojia na vitendo vya ukatili na udhalilishaji.

MWISHO
IMG-20240830-WA0035.jpg
 
View attachment 3082890

🙏🙏🙏
 
mdada aliyebakwa hakuna sheria ya kumlinda?
 
Na maji kidogo pembeni Mama 🔥🔥
 
Vipi umli wa Kwa wazazi waliotengana, baba anaweza kukaa na mtoto wake kwenye umri gani kwenye hii Sheria mpya?
 
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji2956]
 
Tulisubiri kwa hamu hili ,hakika baada ya DHIKI ni FARAJA[emoji2956]

Kongole kwako na wizara kwa ujumla [emoji7]

#Nchi Isalama chini ya Chifu wetu mkuu Dr.Hangaya[emoji441][emoji449][emoji450]
 
Back
Top Bottom