GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Wazungu wanaposema / wanapotuambia Waafrika kwamba Sisi ni ' Wapumbavu ' naturally tusiwe tunakataa / tunapinga / tunakasirika. Kuna vitu vingine ukiviona / kuvisikia vinafanywa na Watu ambao uliwaheshimu na kuwaamini huwa vinapandisha sana hasira hakyanani. Sijui kwanini nilipenda Siasa kwani Siasa za siku zinaongozwa na kusimamiwa na Watu wa ' hovyo hovyo ' kabisa. Jamani naomba tu niishie hapa tadadhalini kwani hasira niliyonayo inaweza kunifanya nikamkufuru bure Mwenyezi Mungu.
Hivi inaingia kweli akilini ukatambua taarifa ya leo na ukaikataa au kutoitambua iliyotangulia juzi au jana? Yaani humu kama kungekuwa kunaruhusiwa kutoleana maneno yetu yale makali makali na ya Shombo kuna Watu hii ID wangekaa nayo mbali kabisa na kila uchao wangekuwa ' wanayakoga ' tu.
Yaani hasira zilivyonisha baada ya kuuona huu ' upuuzi / upupu ' kutoka Ofisi za Bunge la JMT zimenisababishia hadi nishikwe na usingizi wa ghafla. Kuna ' Mijitu ' Mipumbavu kabisa katika nchi hii halafu kutwa inavalia tu ' Misuti ' ya nguvu, inasafiri Ulaya likini ni ya ' hovyo hovyo ' tupu!