Bunge lasema halijapokea barua ya Nyalandu kujiuzulu, lamvua ubunge kutokana na CCM kumfukuza uanachama

Bunge lasema halijapokea barua ya Nyalandu kujiuzulu, lamvua ubunge kutokana na CCM kumfukuza uanachama

Wazungu wanaposema / wanapotuambia Waafrika kwamba Sisi ni ' Wapumbavu ' naturally tusiwe tunakataa / tunapinga / tunakasirika. Kuna vitu vingine ukiviona / kuvisikia vinafanywa na Watu ambao uliwaheshimu na kuwaamini huwa vinapandisha sana hasira hakyanani. Sijui kwanini nilipenda Siasa kwani Siasa za siku zinaongozwa na kusimamiwa na Watu wa ' hovyo hovyo ' kabisa. Jamani naomba tu niishie hapa tadadhalini kwani hasira niliyonayo inaweza kunifanya nikamkufuru bure Mwenyezi Mungu.

Hivi inaingia kweli akilini ukatambua taarifa ya leo na ukaikataa au kutoitambua iliyotangulia juzi au jana? Yaani humu kama kungekuwa kunaruhusiwa kutoleana maneno yetu yale makali makali na ya Shombo kuna Watu hii ID wangekaa nayo mbali kabisa na kila uchao wangekuwa ' wanayakoga ' tu.

Yaani hasira zilivyonisha baada ya kuuona huu ' upuuzi / upupu ' kutoka Ofisi za Bunge la JMT zimenisababishia hadi nishikwe na usingizi wa ghafla. Kuna ' Mijitu ' Mipumbavu kabisa katika nchi hii halafu kutwa inavalia tu ' Misuti ' ya nguvu, inasafiri Ulaya likini ni ya ' hovyo hovyo ' tupu!
 
Jamani nyie nyinyiemu hebu punguzeni hivi vituko vyenu sasa mnatuvunja mbavu zetu mjue..... Aaaggh!!
Mmezidi kutuona na kutufanya mapopoma kabisa yani sasa hizi ni dharau duh, yani nyalandu juzi kaondoka mwenyewe halafu mnasema eti mlimfukuza..??!! Ha ha haaaaaaaaaaa.................................

image.jpeg
image.jpeg
image.jpeg
image.jpeg
image.jpeg

Mwisho namalizia kwa kusema:
Booooooooooooooooooooooooo..............

image.jpeg

Ajabu kweli hii mkuu, kama hayo ya kutaka kumfukuza yangekuwepo yangesemwa siku ile..

Aliyebuni hiki kituko mwenyekiti inabidi amtandike bakora!
...unaweza kuta mwenyekiti mwenyewe ndo mbunifu wa hiki kituko mkuu!!
Sasa hapo nani atathubutu kumtandika bakora baba mwenye nyumba...??!!
 
Hii ngumi wamepigwa hawa ndugu zangu wa CCM inaitwa 'TEMA MATE ULAMBE TENA' yaani hawajui waseme nini kwa wakati gani..., wamevurugwa hawa, sio bure..

POLEPOLE anasema; Nyalandu AMEJIUZURU CCM kwa kushindwa kasi ya awamu ya sasa..

NDUGAI anasema; Nyalandu KAFUKUZWA uanachama wake ndani ya CCM..

Sasa tuchukue kauli ipi..., hii ya BUKKEDE TV au hii ya BUNGE FM!? maana wananichanganya sasa..

Msemaji wa CCM anasema KAJIUZURU.., Spika wa bunge anasema KAFUKUZWA...., mnagombana nini yakhee.. Wakati NYALANDU sio mwenzenu tena...
6eb7621458d3e71ae8c8716d6d4252a4.jpg
 
Na baba yao anasema makuzi yanaknilia CHADEMA, hata Polepole skitangaza kujiunga na CHADEMA kesho atakuwa mwizi ndani ya CCM
 
Hii ngumi wamepigwa hawa ndugu zangu wa CCM inaitwa 'TEMA MATE ULAMBE TENA' yaani hawajui waseme nini kwa wakati gani..., wamevurugwa hawa, sio bure..

POLEPOLE anasema; Nyalandu AMEJIUZURU CCM kwa kushindwa kasi ya awamu ya sasa..

NDUGAI anasema; Nyalandu KAFUKUZWA uanachama wake ndani ya CCM..

Sasa tuchukue kauli ipi..., hii ya BUKKEDE TV au hii ya BUNGE FM!? maana wananichanganya sasa..

Msemaji wa CCM anasema KAJIUZURU.., Spika wa bunge anasema KAFUKUZWA...., mnagombana nini yakhee.. Wakati NYALANDU sio mwenzenu tena...
6eb7621458d3e71ae8c8716d6d4252a4.jpg
Kwani wewe kinakusumbua nini
 
Hiki chama kimefika mwisho wa uhai wake na bahati mbaya sana kinazeeka vibaya na mbaya zaidi kimeanza kupoteza kumbukumbuku kabisa na ndio maana hakiishi vituko. Yaani ni kama kikongwe leo atakwambia hiki kesho ukimuuliza amesahau!Leo atasema nataka hiki kesho anageuka,n.k. Tatizo ni kuwa hiki chama kilitakiwa kustaafu siku nyingi ila kilidanganya umri kwa ulevi tu wa madaraka na sasa haya ndio matokeo yake! Kwakweli tuache utani sisiem inazeeka vibaya jamani mpaka aibu!
Yaani kimekula chumvi nyingi kinapoteza kumbukumbu
Ccm
 
Tatizo wanalazimisha kwa kutuaminisha kuwa chama ndicho chenye nguvu!Ukisoma ile taarifa ya bunge inaonesha kuwa ccm ndiyo ulimwachisha ubunge kwani ilishaanza kufanya vikao vya kumkanya na kudhibiti kauli na nyendo za Nyalandu kwani alikuwa anakiuka misingi,falsafa na itikadi ya ccm,najiuliza Nyalandu amekiuka kipi ambacho ni misingi,itikadi na falsafa ya ccm?
Kama sikosei Nyalandu wakati anatangaza kuachia ubunge alieleza kuwa tayari amemwandikia spika kuwa amejiuzulu ubunge iweje leo ionekane spika anaitambua barua ya chama badala ya barua ya mbunge?
 
......Ile barua ya Lipumba kwenda kwa spika kuwa amewavua ubunge wabunge wote wa CUF viti maalum barua ilifika cku hiyo hiyo na kujibiwa ndani ya saa 24 ..ila hio ya Lazaro Nyalandu kujiondoa Ccm anadai hadi leo haijamfikia...

HIO FOLENI NAYO INA MISIFAAA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
26fc5ee06b7521d004b83e9b09bfd567.jpg
c24adb2273e06db2fdaa92bd6491b030.jpg
 
Kwa yaliyotokea kuhusu kauli za bunge juu ya Nyalandu ni picha kuwa Ndugai ni spika mbovu haijapata kutokea toka tupate Uhuru, bwege na mshamba kabisa.
Iweje msemaji wa chama atamke kuwa Nyalandu kakimbia chama na spika aseme Nyalandu kafukuzwa?
Mbona anajipa kazi za Kinana? Ni wakati sasa hoja ya Msigwa kutaka bunge limuondoe madarakani Ndugai iungwe mkono na wabunge wote ili kuleta heshima kwa chombo chetu hicho
 
Swali kwa ukawa na wote waliokua wakitoka nje bungeni bi tulia na ndugai yupi bora!
 
Kwa yaliyotokea kuhusu kauli za bunge juu ya Nyalandu ni picha kuwa Ndugai ni spika mbovu haijapata kutokea toka tupate Uhuru, bwege na mshamba kabisa.
Iweje msemaji wa chama atamke kuwa Nyalandu kakimbia chama na spika aseme Nyalandu kafukuzwa?
Mbona anajipa kazi za Kinana? Ni wakati sasa hoja ya Msigwa kutaka bunge limuondoe madarakani Ndugai iungwe mkono na wabunge wote ili kuleta heshima kwa chombo chetu hicho
Kwani huyo Ndugai alichaguliwa na nani kuwa Supika!!
 
Albadir inazidi kuwachanganya hawa wezi wetu wa maliasili za taifa.
 
Back
Top Bottom