kiatu kipya
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 3,269
- 1,977
Kifuteni iko chama cha mafisadiMAJIZI YANA KIMBILIA CHADEMA
Tajeni kila mwanachama wa CCM madhambi yake kabla ya kuondoka, maana wako wengi huko na tuhuma ambazo hamjazikana au watanzania wanaziona kabisa. tusifanye propaganda hoja alizotoa Nyalandu zijibiwe na watu makini na wenye akili kutoka CCMYatajeni mengine yaliyobakia huko! Msingoje mpaka waondoke ndio muanze kubwabwaja!
Ipo humu Mkuu..mwenye barua ya Nyalandu aliyoandika kwa spika wa bunge ninaiomba waungwana
Barua ya Lipumba alipokea akiwa nje na kuijibu siku hiyo hiyoHuyu spika anayepokea barua ya CCM tu na kukataa barua ya Nyalandu, hatumtaki na hatufai.
Nyie Masikini endeleeni kuvishwa fulana zilizoandikwa " HAPA KAZI TU "Hiyo barua aliituma kwa Mwananchi?
[HASHTAG]#Hapakazitu[/HASHTAG].Nyie Masikini endeleeni kuvishwa fulana zilizoandikwa " HAPA KAZI TU "
Stroke uko isingizini wewe Nyarandu tangu juzi alikimbia lichama lenu eti mmemfukuza.Hiyo your take hiyo ndiyo umevuruga mambo kabisa;
Hata hivyo;
Amebipu wenzake wamempigia; sasa historia itasomeka kuwa CCM ndio imemmwaga Nyalandu kutokana na makando kando yake na sio yeye kukiacha chama.