Bunge lasema halijapokea barua ya Nyalandu kujiuzulu, lamvua ubunge kutokana na CCM kumfukuza uanachama

Bunge lasema halijapokea barua ya Nyalandu kujiuzulu, lamvua ubunge kutokana na CCM kumfukuza uanachama

Yatajeni mengine yaliyobakia huko! Msingoje mpaka waondoke ndio muanze kubwabwaja!
Tajeni kila mwanachama wa CCM madhambi yake kabla ya kuondoka, maana wako wengi huko na tuhuma ambazo hamjazikana au watanzania wanaziona kabisa. tusifanye propaganda hoja alizotoa Nyalandu zijibiwe na watu makini na wenye akili kutoka CCM
 
Nyalandu.PNG
Nyalandu 1.PNG

Chanzo: Mwananchi
 
Kama Ndugai ataendelea kushikilia kuwa hajaisoma hiyo barua basi aje JF ajisomee aridhike
 
Atuoneshe Dispatch yake kuthibitisha kuwa ilipokelewa Bungeni!

Otherwise alipogundua Chama kimemfukuza ndo akajidai kujiuzulu
 
Alafu spika anasem hajaipokea au spika anaona imetumwa na meli

Ova
 
Mimi nina kaswali ka nyongeza,
Waheshimiwa wananchi kwa kuwa CCM,Serikali na Bunge wameshindwa kusema kweli kuhusu kujihuzuru kwa Nyalandu na kupotosha data zake, ni kwa nini pia tusimwamini zitto kabwe kwamba wanapotosha data za uchumi wa nchi?
 
Hiyo your take hiyo ndiyo umevuruga mambo kabisa;

Hata hivyo;

Amebipu wenzake wamempigia; sasa historia itasomeka kuwa CCM ndio imemmwaga Nyalandu kutokana na makando kando yake na sio yeye kukiacha chama.
Stroke uko isingizini wewe Nyarandu tangu juzi alikimbia lichama lenu eti mmemfukuza.
Watu wa ajabu nyie!!
 
Back
Top Bottom