Bunge lasema halijapokea barua ya Nyalandu kujiuzulu, lamvua ubunge kutokana na CCM kumfukuza uanachama

Usikurupuke kijana, angalia katika hayo uliyohiglight kuna "Vitendo", meaning ufisadi included; sasa utakua umeelewa kilichoandikwa hapo. Au wewe ulitaka iandikwe ufisadi moja kwa moja??
Nashindwa kuelewa kwa namna gani ile mahakama yetu pendwa ilikosa wateja. Ila naamini huyu mmoja atafungua njia.

Nakuomba unijulishe njia ikifunguliwa ndugu yangu ili niione Tanzania mpya.
 
Hivi kuna jambo gani la maana ambalo watanzania tunaweza kujivunia kutokana na uongozi na kuwepo kwenye nafasi za juu za uongozi (uwaziri, naibu waziri, ujumbe wa cc, NEC, nk) wa Lazaro Nyarandu? Lowassa angalau tuna shule za kata!
 
Hivi haya MACCM hayaoni AIBU KWELI?
 
Yakitokea wapi? Ukijibu hapa ndio nitaanza kupima kiasi cha mgando uliyomo kwenye medulla.
Hacha ujinga. Majizi tunayoyatoa CCM yote yanakimbilia chadema. Na mengine kama nyalandu yanajitoa yenyewe. CCM ya nyerere inaendelea kutakatishwa. Sasa huelewi nini? hata hilo mpaka umpelekee tundu ndo akufafanulie? khaaaaa!
 
NYALANDU ALIMPELEKEA BARUA NDUNGAI HATA KABLA YA YEYE KUPOKEA HIYO ANAYODAI KUTOKA KWA KATIBU WA CCM. ANGALIA HIYO HAPO
 

Attachments

  • nyalandu+pic.jpg
    60.5 KB · Views: 38
Yakitokea wapi? Ukijibu hapa ndio nitaanza kupima kiasi cha mgando uliyomo kwenye medulla.
Swali, nadhani zuri zaidi, ungemuuliza - wakati wanaiba walikuwa wapi na nani alikuwa aliwakingia kifua?
 
Mbona magufuli anapokea misaada ya kifedha tena toka WB, nchi za ulaya n.k au kuna nchi tofauti na hizo?
 
Kwa upeo mdogo wa maCCM sawa na byte inabidi sasa kuwepo na utaratibu kwa sisi wenye dada zetu kumu-assess bwana harusi mtarajiwa kujua ni pro ccm au la. Maana mnaweza kuletewa wajukuu na watoto wenye genes za ujuha bure.
 
Nilijua kuna kitu kinapikwa, ila wamechelewa sana. Watanzania wa leo huwezi kuwadanganya. Nimecheka sana lakini!
MTU anakuwa na IQ ya kutosha kutokana na diameter ya brain. MTU bichwa limebondeka mnampa kuongoza taifa, Brain capacity take imepunguzwa na kubonyea kwa fuvu lake. Mtu anafikia kuua kwa sababu anaambiwa pHD haipatikani kwa miaka mitatu off campus, anpanga kuua kwa kuambiwa kuwa ujinga wake katika mikataba ya kimataifa umesababisha ndege ya Haifa kuzuiwa Canada. Kweli huyu ni primitive mediocre. Hafai kuongoza taifa.
 
Ubaya ni kwamba bila aibu Spika anakuwa PRO wa CCM.
Sijui hiyo kazi kapewa na ni yarabi?
Anapangiwa kazi Polepole siku hizi.
Boss wa Bunge jitambue basi linda kiti chako!!
 
kweli bwana siku hizi utamkuta sana msikiti wa maamur upanga yupo na kimbisa
 
WAMECHELEWA SAAAANA! Tunatumia utaratibu wa FIFO yaani First In First Out, Poor start for Kagaigai, Katibu wa Bunge, japo hatushangai maana hii ni moja ya sababu za LN kukitosa chama cha mafisadi; Mhimili wa Bunge kupokwa madaraka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…