Nashindwa kuelewa kwa namna gani ile mahakama yetu pendwa ilikosa wateja. Ila naamini huyu mmoja atafungua njia.Usikurupuke kijana, angalia katika hayo uliyohiglight kuna "Vitendo", meaning ufisadi included; sasa utakua umeelewa kilichoandikwa hapo. Au wewe ulitaka iandikwe ufisadi moja kwa moja??
Nakuomba unijulishe njia ikifunguliwa ndugu yangu ili niione Tanzania mpya.