Bunge lasema halijapokea barua ya Nyalandu kujiuzulu, lamvua ubunge kutokana na CCM kumfukuza uanachama

Bunge lasema halijapokea barua ya Nyalandu kujiuzulu, lamvua ubunge kutokana na CCM kumfukuza uanachama

Usikurupuke kijana, angalia katika hayo uliyohiglight kuna "Vitendo", meaning ufisadi included; sasa utakua umeelewa kilichoandikwa hapo. Au wewe ulitaka iandikwe ufisadi moja kwa moja??
Nashindwa kuelewa kwa namna gani ile mahakama yetu pendwa ilikosa wateja. Ila naamini huyu mmoja atafungua njia.

Nakuomba unijulishe njia ikifunguliwa ndugu yangu ili niione Tanzania mpya.
 
Hivi kuna jambo gani la maana ambalo watanzania tunaweza kujivunia kutokana na uongozi na kuwepo kwenye nafasi za juu za uongozi (uwaziri, naibu waziri, ujumbe wa cc, NEC, nk) wa Lazaro Nyarandu? Lowassa angalau tuna shule za kata!
 
View attachment 621961

Moja ya habari kubwa za sasa hivi nchini Tanzania ni Lazaro Nyalandu ambae juzi ametangaza kujiuzulu nafasi zake zote ndani ya Chama cha Mapinduzi CCM pamoja na Ubunge wa Singida Kaskazini.

Baadae Spika Ndugai alihojiwa na vyombo vya habari na kusema kwamba pamoja na kusikia taarifa za kujiuzulu kwa Nyalandu kwenye vyombo vya habari, yeye bado hajapokea barua ya kujiuzulu kwa Mbunge huyo.

Sasa leo imetoka taarifa kutoka Ofisi ya Bunge Dodoma ikiwa imeandikwa kama inavyosomeka hapo juu..

Hii hapa Barua ya Nyalandu aliyomuandikia Spika
View attachment 622471
Hivi haya MACCM hayaoni AIBU KWELI?
 
Yakitokea wapi? Ukijibu hapa ndio nitaanza kupima kiasi cha mgando uliyomo kwenye medulla.
Hacha ujinga. Majizi tunayoyatoa CCM yote yanakimbilia chadema. Na mengine kama nyalandu yanajitoa yenyewe. CCM ya nyerere inaendelea kutakatishwa. Sasa huelewi nini? hata hilo mpaka umpelekee tundu ndo akufafanulie? khaaaaa!
 
NYALANDU ALIMPELEKEA BARUA NDUNGAI HATA KABLA YA YEYE KUPOKEA HIYO ANAYODAI KUTOKA KWA KATIBU WA CCM. ANGALIA HIYO HAPO
 

Attachments

  • nyalandu+pic.jpg
    nyalandu+pic.jpg
    60.5 KB · Views: 38
Mbona magufuli anapokea misaada ya kifedha tena toka WB, nchi za ulaya n.k au kuna nchi tofauti na hizo?
 
Kwa upeo mdogo wa maCCM sawa na byte inabidi sasa kuwepo na utaratibu kwa sisi wenye dada zetu kumu-assess bwana harusi mtarajiwa kujua ni pro ccm au la. Maana mnaweza kuletewa wajukuu na watoto wenye genes za ujuha bure.
 
Nilijua kuna kitu kinapikwa, ila wamechelewa sana. Watanzania wa leo huwezi kuwadanganya. Nimecheka sana lakini!
MTU anakuwa na IQ ya kutosha kutokana na diameter ya brain. MTU bichwa limebondeka mnampa kuongoza taifa, Brain capacity take imepunguzwa na kubonyea kwa fuvu lake. Mtu anafikia kuua kwa sababu anaambiwa pHD haipatikani kwa miaka mitatu off campus, anpanga kuua kwa kuambiwa kuwa ujinga wake katika mikataba ya kimataifa umesababisha ndege ya Haifa kuzuiwa Canada. Kweli huyu ni primitive mediocre. Hafai kuongoza taifa.
 
Katika hali ya kawaida haiwezekani CCM imvue uanachama mwanachama wake kwa siri pasipo kuwatangazia wanachama, wapenzi, wafuasi wala wananchi kwa ujumla halafu wajifanye kuwatangazia baada ya mwanachanama husika kutangaza mwenyewe kujivua uanachama! Yani CCM imvue Uanachana Mwanachama wake maarufu ambaye ni Mbunge na aliyewahi kuwa waziri katika serikali ya awamu iliyopita bila kutangaza kwenye chombo chochote cha habari hata vile vya chama kama gazeti la Uhuru nk. lakini kimtaarifu Spika wa Bunge pekee??!!

Najaribu kujiuliza.. Mbona miezi kadhaa iliyopita walipomvua na kumfukuza uanachama aliyekuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake Taifa UWT Bi Sophia Simba hawakufanya siri na badala yake waliitisha press conference na kutangaza kwenye vyombo vya habari??!! Kunani kwenye hili la Lazaro Nyalandu au ndio hasira wenyewe za kuachwa??!! Napata shida sana kuelewa ingekuwaje kama Nyalandu angewataarifu wahusika pasipo kuutarifu Umma, Leo hii wao si ndio wangejifanya kwamba wamemvua na kumfukuza uanachama ili kumdhalilisha kama ambavyo wanafanya sasa??!!

Tusisahau kwamba Spika wa Bunge naye ni mwanachama mtiifu wa CCM hivyo kwa kilichotokea na kinachoendelea kutukia sio jambo cha kushangaza!!
Ubaya ni kwamba bila aibu Spika anakuwa PRO wa CCM.
Sijui hiyo kazi kapewa na ni yarabi?
Anapangiwa kazi Polepole siku hizi.
Boss wa Bunge jitambue basi linda kiti chako!!
 
View attachment 621961

Moja ya habari kubwa za sasa hivi nchini Tanzania ni Lazaro Nyalandu ambae juzi ametangaza kujiuzulu nafasi zake zote ndani ya Chama cha Mapinduzi CCM pamoja na Ubunge wa Singida Kaskazini.

Baadae Spika Ndugai alihojiwa na vyombo vya habari na kusema kwamba pamoja na kusikia taarifa za kujiuzulu kwa Nyalandu kwenye vyombo vya habari, yeye bado hajapokea barua ya kujiuzulu kwa Mbunge huyo.

Sasa leo imetoka taarifa kutoka Ofisi ya Bunge Dodoma ikiwa imeandikwa kama inavyosomeka hapo juu..

Hii hapa Barua ya Nyalandu aliyomuandikia Spika
View attachment 622471
kweli bwana siku hizi utamkuta sana msikiti wa maamur upanga yupo na kimbisa
Kwa jinsi ninavyomuona katibu mkuu Kinana sidhani hiyo barua kama kaandika yeye nadhani atakuwa kaandikiwa ikapelekwa kwenye ofisi ya spika cha msingi imetoka ofisi ya katibu mkuu basi ....Kinana hawezi kuandika hiyo barua coz anajua fika [emoji817]% alichosema Nyalandu ndani yake kinaukweli ndio maana hata yeye ofisi anaikimbia muda mwingi anashinda misikitini ......chama ni kama kimepoteza mwelekeo.
 
WAMECHELEWA SAAAANA! Tunatumia utaratibu wa FIFO yaani First In First Out, Poor start for Kagaigai, Katibu wa Bunge, japo hatushangai maana hii ni moja ya sababu za LN kukitosa chama cha mafisadi; Mhimili wa Bunge kupokwa madaraka!
 
Back
Top Bottom