Bunge lasema halijapokea barua ya Nyalandu kujiuzulu, lamvua ubunge kutokana na CCM kumfukuza uanachama

Bunge lasema halijapokea barua ya Nyalandu kujiuzulu, lamvua ubunge kutokana na CCM kumfukuza uanachama

Duh
IMG-20171031-WA0016.jpg
 
Ni sawa na kusema ccm ni kichaka cha kufugia wezi' majizi yote ya nchii yapo huko ccm' yanatambuliwa n majizi pale tu yanapoondoka ccm! Shubaaaamitt....
Kama ni soka tunasema ni mahali pa kulelea "vipaji"
 
Kwa nini hawa watu wanafanya maisha yao kuwa magumu bila sababu? Ni ngumu sana kuishi kwa uongo, unakuwa mtumwa na mfungwa fulani hivi. Ni kama kuna pepo amekuja kutukejeli watanzania.

Hatari ni kwamba hali hii ikishazoeleka, hata kesho wakianza kusema ukweli, watu watajua ni uongo uleule tu waliouzoea, hii ni hatari sana.

Anzeni kuwaambia watanzania ukweli muwe huru na muishi kwa amani!
 
Hhahahahahahah.Ivi CCM hawanaga hata watu wenye akili japo kidogo

View attachment 621951
CCM 90% ni wajinga wajinga ndiyo maana wakamteua Bashite Maliyamungu kuwa mshauri mkuu wa Mtukufu malaika wa chato cha ajabu Bashite na yy kamteua le mutuz kubwa jinga pamoja na Jerry Muro mvuta Bangi kuwa mshauri wake, yaani Mtukufu anashauriwa na mtu asiye na vyeti huku huyo kilaza akishauriwa na kubwa jinga le mutuz unategemea nini?
 
kwani ccm kimewauma nini?
kuna watu watafukuzwa uanachama ili tu wasifanye kama huyu jamaa... yaani barua ikifika tu kwa spika ccm wanatoa press ya kukufukuza
 
Wewe nielewe tu hivyo!

Chadema mnatongozeka kirahisi mno..
Kama kweli mna uwezo wa kumvua mwanachama ubunge wake, basi wawavueni wale wanaotajwa tajwa likiwemo joka lenye makengeza pamoja na yule aliyerudisha chenji ya Escrow, na hata yule wa milioni 10 ya mboga,
 
Ndugai bwana.......mhimili wake umewekw mfukoni kwa Bashite hafurukuti tena.....hadi Katibu wa Bunge kaletewa ambae ameshapewa maelekezo na NS ndio yule ameshamdhibiti Ndugai kitambo.....amekwishaaaa
 
  • Thanks
Reactions: Mj1
View attachment 621961

Moja ya habari kubwa za sasa hivi nchini Tanzania ni Lazaro Nyalandu ambae juzi ametangaza kujiuzulu nafasi zake zote ndani ya Chama cha Mapinduzi CCM pamoja na Ubunge wa Singida Kaskazini.

Baadae Spika Ndugai alihojiwa na vyombo vya habari na kusema kwamba pamoja na kusikia taarifa za kujiuzulu kwa Nyalandu kwenye vyombo vya habari, yeye bado hajapokea barua ya kujiuzulu kwa Mbunge huyo.

Sasa leo imetoka taarifa kutoka Ofisi ya Bunge Dodoma ikiwa imeandikwa kama inavyosomeka hapo juu..
Ndio useme ndani ya ccm ya sasa kuna wenye akili timamu. Au ndio useme hii ccm ndio itatuvusha hapa tulipo kwa uongo huu na kupenda sifa. Mtu ukishatangaza hadharani kwenye vyombo vya habari na kuweka wazi kuwa mimi fulani kuanzia leo siyo mwanachama wa ccm na ninajivua madaraka zangu zote nilizokuwa nazo. Ni moja kwa moja inaeleweka wewe siyo mwanachama na kutokuwa mwanachama moja kwa moja unakuwa siyo mbunge. Hata kama barua bunge hawajapokea lakini alitangaza hadharani na kurushwa live. Eti leo wanakuja na barua yao eti ccm imemfukuza Nyalandu. Jamani jidanganyeni nyinyi wenyewe wanaccm na Ndugai wenu. Watanzania wa leo siyo wale watanzania wa ndio mzee. Bila ccm kuwa wakweli na kukubaliana na ukweli wakajidai uongo ndio uongozi basi muda siyo mrefu watakuwa opposition. Wanayo majeshi mapolisi magereza lkn ipo one day watanzania watasema NOO Tena hata kwa kumwaga damu na ionekanyo ndipo tunapopelekwa
 
Hivi sisiem hakuna watu smart mpaka muongozwe na hawa washamba kutoka koromije.. ??
Mnajihaibisha bhana
 
Kwa hiyo ndunyala badala ya kupeleka barua ya kujiuzulu kwa spika faster yeye kakimbilia mitandaoni,akili kubwa ikamuwahi faster kumtemesha !!siasa tamu sana ukiijua
 
Kikao gani kimetumika kumvua uanachama Lazaro Nyalandu ? Ameitwa akasikilizwa lini?
Katibu Mkuu anadaiwa Kumfukuza wakati katibu Mwenezi hajui na anasema katumia haki yake,
Tanzania tukiamua kuyatumia maajabu yaliyoko hapa nchini vizuri hakika tutakua Donor Country
 
View attachment 621961

Moja ya habari kubwa za sasa hivi nchini Tanzania ni Lazaro Nyalandu ambae juzi ametangaza kujiuzulu nafasi zake zote ndani ya Chama cha Mapinduzi CCM pamoja na Ubunge wa Singida Kaskazini.

Baadae Spika Ndugai alihojiwa na vyombo vya habari na kusema kwamba pamoja na kusikia taarifa za kujiuzulu kwa Nyalandu kwenye vyombo vya habari, yeye bado hajapokea barua ya kujiuzulu kwa Mbunge huyo.

Sasa leo imetoka taarifa kutoka Ofisi ya Bunge Dodoma ikiwa imeandikwa kama inavyosomeka hapo juu..
Kwa hiyo ofisi ya bunge imeshirikiana na ccm kucheza mchezo wa kitoto. Hilo limedhihirisha madai ya Nyarandu kuwa bunge limeingiliwa nalinaendeshwa na serikali
 
Back
Top Bottom