displayname
JF-Expert Member
- Feb 15, 2013
- 1,972
- 1,085
Duh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu spika kawekwa mfukoni na sizonje unategemea wasibariki urongo?Mkuu unataka kutuambia Bunge nalo limeshiriki kubariki urongo?
Kama ni soka tunasema ni mahali pa kulelea "vipaji"Ni sawa na kusema ccm ni kichaka cha kufugia wezi' majizi yote ya nchii yapo huko ccm' yanatambuliwa n majizi pale tu yanapoondoka ccm! Shubaaaamitt....
Kwa hiyo yakikimbilia Chadema hayashtakiwi? Au serikali inayaogopa?MAJIZI YANA KIMBILIA CHADEMA
CCM 90% ni wajinga wajinga ndiyo maana wakamteua Bashite Maliyamungu kuwa mshauri mkuu wa Mtukufu malaika wa chato cha ajabu Bashite na yy kamteua le mutuz kubwa jinga pamoja na Jerry Muro mvuta Bangi kuwa mshauri wake, yaani Mtukufu anashauriwa na mtu asiye na vyeti huku huyo kilaza akishauriwa na kubwa jinga le mutuz unategemea nini?
Kama kweli mna uwezo wa kumvua mwanachama ubunge wake, basi wawavueni wale wanaotajwa tajwa likiwemo joka lenye makengeza pamoja na yule aliyerudisha chenji ya Escrow, na hata yule wa milioni 10 ya mboga,Wewe nielewe tu hivyo!
Chadema mnatongozeka kirahisi mno..
Kama wewe ulivyokimbilia CCMMAJIZI YANA KIMBILIA CHADEMA
Ndio useme ndani ya ccm ya sasa kuna wenye akili timamu. Au ndio useme hii ccm ndio itatuvusha hapa tulipo kwa uongo huu na kupenda sifa. Mtu ukishatangaza hadharani kwenye vyombo vya habari na kuweka wazi kuwa mimi fulani kuanzia leo siyo mwanachama wa ccm na ninajivua madaraka zangu zote nilizokuwa nazo. Ni moja kwa moja inaeleweka wewe siyo mwanachama na kutokuwa mwanachama moja kwa moja unakuwa siyo mbunge. Hata kama barua bunge hawajapokea lakini alitangaza hadharani na kurushwa live. Eti leo wanakuja na barua yao eti ccm imemfukuza Nyalandu. Jamani jidanganyeni nyinyi wenyewe wanaccm na Ndugai wenu. Watanzania wa leo siyo wale watanzania wa ndio mzee. Bila ccm kuwa wakweli na kukubaliana na ukweli wakajidai uongo ndio uongozi basi muda siyo mrefu watakuwa opposition. Wanayo majeshi mapolisi magereza lkn ipo one day watanzania watasema NOO Tena hata kwa kumwaga damu na ionekanyo ndipo tunapopelekwaView attachment 621961
Moja ya habari kubwa za sasa hivi nchini Tanzania ni Lazaro Nyalandu ambae juzi ametangaza kujiuzulu nafasi zake zote ndani ya Chama cha Mapinduzi CCM pamoja na Ubunge wa Singida Kaskazini.
Baadae Spika Ndugai alihojiwa na vyombo vya habari na kusema kwamba pamoja na kusikia taarifa za kujiuzulu kwa Nyalandu kwenye vyombo vya habari, yeye bado hajapokea barua ya kujiuzulu kwa Mbunge huyo.
Sasa leo imetoka taarifa kutoka Ofisi ya Bunge Dodoma ikiwa imeandikwa kama inavyosomeka hapo juu..
Katibu Mkuu anadaiwa Kumfukuza wakati katibu Mwenezi hajui na anasema katumia haki yake,Kikao gani kimetumika kumvua uanachama Lazaro Nyalandu ? Ameitwa akasikilizwa lini?
Kwa hiyo ofisi ya bunge imeshirikiana na ccm kucheza mchezo wa kitoto. Hilo limedhihirisha madai ya Nyarandu kuwa bunge limeingiliwa nalinaendeshwa na serikaliView attachment 621961
Moja ya habari kubwa za sasa hivi nchini Tanzania ni Lazaro Nyalandu ambae juzi ametangaza kujiuzulu nafasi zake zote ndani ya Chama cha Mapinduzi CCM pamoja na Ubunge wa Singida Kaskazini.
Baadae Spika Ndugai alihojiwa na vyombo vya habari na kusema kwamba pamoja na kusikia taarifa za kujiuzulu kwa Nyalandu kwenye vyombo vya habari, yeye bado hajapokea barua ya kujiuzulu kwa Mbunge huyo.
Sasa leo imetoka taarifa kutoka Ofisi ya Bunge Dodoma ikiwa imeandikwa kama inavyosomeka hapo juu..