Doh!
Pesa zinaliwa wao wanapongeza.Mhandisi Ezra Chiwelesa amewasilisha azimio la Bunge kumpongeza Rais wa Tanzania, Samia Suluhu kwa kuimarisha demokrasia nchini na kuimarisha diplomasia ya Uchumi.
Mhandisi Ezra pia amemshukuru Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson kwa kuruhusu na kumpa fursa ya kuwasilisha hoja ya azimio.
Mhandisi amesema mambo muhimu yaliyochangia kuimarisha demokrasia ni
Hoja imeungwa mkono kwa kishindo na kinachoendelea kwa sasa ni wabunge wanaendelea kutoa hoja zao kumsifu Rais Samia.
- Uamuzi wa kuruhusu shughuli za siasa hasa mikutano ya hadhara
- Kuanzisha vikao vya maridhiano ya kisiasa miongoni mwa vyama vya kisiasa nchini
- Marekebisho ya kimfumona kisheria yanayoongoza shughuli za kisiasa
- Kuundwa kikosi kazi masuala yanayohusu demokrasia
ah aha haha haa aa da nimechaka kwa sauti, kweli vichaa wapo wengi nchi hii
Wewe ni mwongo kabisa. Makamu wa Rais wa US hakuja kwa sababu ya hayo mambo yako unayoyapa kipaumbele.Kuna haja ya kutoa maana rasmi tena/ definition rasmi ya demokrasia na haki za binadamu ili kujitenga na demokrasia/haki za binadamu za kimagharibi zinazolazimisha kuingiza masuala ya ushoga kama sehemu ya demokrasia na haki za binadamu!! Demokrasia si uhuru wa kufanya unavyotaka bila kujali athari ya kile unachotaka kwa jamii unayoishi, na haki za binadamu hazipaswi kuingilia haki za binadamu wengine kwenye jamii!! Vinginevyo Marekani watakenua meno na kudhani kuwa malengo ya makamu wa marekani kutembelea Tanzania yamefanikiwa kwa maana ya kushinikiza demokrasia yao!!
Kaz tunayo. Kwenye hao watanzania aliowaaema naomba mnitoemo.
Hela zetu zinatumika kiboya sanaMhandisi Ezra Chiwelesa amewasilisha azimio la Bunge kumpongeza Rais wa Tanzania, Samia Suluhu kwa kuimarisha demokrasia nchini na kuimarisha diplomasia ya Uchumi.
Mhandisi Ezra pia amemshukuru Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson kwa kuruhusu na kumpa fursa ya kuwasilisha hoja ya azimio.
Mhandisi amesema mambo muhimu yaliyochangia kuimarisha demokrasia ni
Hoja imeungwa mkono kwa kishindo na kinachoendelea kwa sasa ni wabunge wanaendelea kutoa hoja zao kumsifu Rais Samia.
- Uamuzi wa kuruhusu shughuli za siasa hasa mikutano ya hadhara
- Kuanzisha vikao vya maridhiano ya kisiasa miongoni mwa vyama vya kisiasa nchini
- Marekebisho ya kimfumona kisheria yanayoongoza shughuli za kisiasa
- Kuundwa kikosi kazi masuala yanayohusu demokrasia
Lazima BAVICHA wapinge hata maridhiano ya kitaifaWewe ni mwongo kabisa. Makamu wa Rais wa US hakuja kwa sababu ya hayo mambo yako unayoyapa kipaumbele.
Lengo la wazi ni kutengeneza US political influence to Africa. Lengo lillilofichika ni kutafuta uungwaji mkono dhidi ya Russia.
Nchi imejaa mastupidi wengi, SSH we kula mama ya Magogoni mastupidi ni next level huwaweziMhandisi Ezra Chiwelesa amewasilisha azimio la Bunge kumpongeza Rais wa Tanzania, Samia Suluhu kwa kuimarisha demokrasia nchini na kuimarisha diplomasia ya Uchumi.
Mhandisi Ezra pia amemshukuru Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson kwa kuruhusu na kumpa fursa ya kuwasilisha hoja ya azimio.
Mhandisi amesema mambo muhimu yaliyochangia kuimarisha demokrasia ni
Hoja imeungwa mkono kwa kishindo na kinachoendelea kwa sasa ni wabunge wanaendelea kutoa hoja zao kumsifu Rais Samia.
- Uamuzi wa kuruhusu shughuli za siasa hasa mikutano ya hadhara
- Kuanzisha vikao vya maridhiano ya kisiasa miongoni mwa vyama vya kisiasa nchini
- Marekebisho ya kimfumona kisheria yanayoongoza shughuli za kisiasa
- Kuundwa kikosi kazi masuala yanayohusu demokrasia
90%+ ya wabunge ni kutoka chama chetu, haohao ndiyo walipinga kwa juhudi zote uwepo wa opp, na wengine wakahama opp kwenda ulaji camp, haohao leo wanazungumzia pongezi kwa demokrasia na mikutanoMhandisi Ezra Chiwelesa amewasilisha azimio la Bunge kumpongeza Rais wa Tanzania, Samia Suluhu kwa kuimarisha demokrasia nchini na kuimarisha diplomasia ya Uchumi.
Mhandisi Ezra pia amemshukuru Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson kwa kuruhusu na kumpa fursa ya kuwasilisha hoja ya azimio.
Mhandisi amesema mambo muhimu yaliyochangia kuimarisha demokrasia ni
Hoja imeungwa mkono kwa kishindo na kinachoendelea kwa sasa ni wabunge wanaendelea kutoa hoja zao kumsifu Rais Samia.
- Uamuzi wa kuruhusu shughuli za siasa hasa mikutano ya hadhara
- Kuanzisha vikao vya maridhiano ya kisiasa miongoni mwa vyama vya kisiasa nchini
- Marekebisho ya kimfumona kisheria yanayoongoza shughuli za kisiasa
- Kuundwa kikosi kazi masuala yanayohusu demokrasia
Siyo inatia aibu tuu, Bali inatugharimu saana.Mnampongeza kwa mambo aliyofanya ambayo yapo kikatiba? Aliapa kufanya hivyo sasa ccm wanashangaa nini?
Kwa hiyo pia mtu akisimama hadharani ni kutoa Azimio la kutaka ashutumiwe kwa kusimamia vyema ;
*Watumishi kuiba fedha za umma
*Mfumuko wa bei wa kutisha
*kushindwa kutoa maslahi bora ya watumishi na wastaafu nk.
Jee itakubalika?
Hii tabia ya nchi kuendeshwa kiupambe upambe inatia aibu sana! Tuiache.
Hatuli hivyo vitu jamaa democrasia gani isiyozingaitia maisha ya watuMhandisi Ezra Chiwelesa amewasilisha azimio la Bunge kumpongeza Rais wa Tanzania, Samia Suluhu kwa kuimarisha demokrasia nchini na kuimarisha diplomasia ya Uchumi.