We wa mbagala na masaki wapi na wapi? Unaijua foleni ya salender bridge wewe?Tunapita tukielekea wapi? Hilo daraja lingekuwa jangwani sawa tungelalamika lkn daraja lipo masaki Sisi hatuna mpango nalo....
Hilo daraja mlishabugi kujenga hapo na hakuna atakayelipia
Terminal 3 yenyewe ilitaka kuishia kati bila ya Magu mpaka leo mngesikia tu terminal 3.Kwa taarifa yako hili daraja limekuwa proposed kipindi cha JK na kusaini hiyo grant kutoka South Korea. Acheni kudanganyika kuwa kila kizuri kilifanywa na Magufuli kama alivyokuwa ANAWAONGOPEA
Siyo kweli. Yule mpuuzi nafuu ametangulia mbele ya haki maana amewapotosha wengi sana. Na ndiyo maana akataka hata Historia ya Tanzania ibadilishwe ili watoto wasome majina ya akina Magufuli, Mfugale, Kijazi etcTerminal 3 yenyewe ilitaka kuishia kati bila ya Magu mpaka leo mngesikia tu terminal 3.
Na wao wakiambiwa walipie kukaa ndani ya lile jengo la bunge watakubali?Kamati ya Bunge ya Bajeti limeitaka serikali iwatoze tozo watumiaji wa daraja jipya la Tanzanite (New Salender).
Chanzo: Nipashe 5 Nov.2021
Vv
Mzee alikuwa anapenda uwongo yuleKwa taarifa yako hili daraja limekuwa proposed kipindi cha JK na kusaini hiyo grant kutoka South Korea. Acheni kudanganyika kuwa kila kizuri kilifanywa na Magufuli kama alivyokuwa ANAWAONGOPEA
Wanaweka malipo sababu linapita juu ya maji.Si walisema lengo ni kupunguza foleni?
Wakiweka malipo basi hawatafikia lengo.
Mkuu Hawa wabunge Ni aina fulani ya majitu majinga katika jamii ya kitanzania. Uchumi upo wameukalia tu.badala ya kushauri tutumie ardhi yetu vizuri sababu ina kilakitu.yenyewe yanatumia ardhi kwa kunya na kufukia mavi tu.ndio matatizo yakuwalipa posho kubwa matokeo yake wanashindwa kufikiri namna ya kuisadia serikali kutunisha mfuko wake..
Wangekuwa watu wa maana kama wangeshauri serikali ibane matumizi kwa kutowalipa wao baadhi ya posho na baadala yake ziende kujenga shule vijijini na vijana wapate chakula mchana huko vijijini wakiwa shule mchana...
Wabunge wanaweza kushauri, Bunge iwe kazi ya kujitolea baada ya kulipwa, yaani mtu akiwa mbunge basi asilipwe apewe usafiri tu wa kuja na kurudi dodoma, kula na kulala dodoma...
Ah nilidhani unaongea kiume kumbe una yako..ngija nikuache nayo. Kuhusu historia ilikuwa ni jambo la msingi. Leo hii mtoto wa kihindi aliyepo tanzania anajua historia ya kwao india wakati kazaliwa bongo. Ni vitu wanavyofundishwa darasani.Siyo kweli. Yule mpuuzi nafuu ametanhulia mbele ya haki maana amewapotosha wengi sana. Na ndiyo maana akataka hata Historia ya Tanzania ibadilishwe ili watoto wasome majina ya akina Magufuli, Mfugale, Kijazi etc
Terminal III ilikuwa vizuri tu alichofanya yeye ni kuwatoa makandarasi wa JK na kuingiza hao makandarasi wake. Mbona 80% ya kazi ilikwisha kamilika by October 2015?
As if limeletwa juzi na BAKITA.Tokea wamelijua hili neno la tozo imekuwa nongwa[emoji38]
Ndo majitu tulioyapigia kura tukisema mazuzu ZUZU mkuu ndukai anawatetea.Kamati ya Bunge ya Bajeti limeitaka serikali iwatoze tozo watumiaji wa daraja jipya la Tanzanite (New Salender).
========
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imependekeza kwamba magari yatakayopita kwenye daraja la Tanzanite (Daraja jipya la Salenda) jiji Dar es Salaam yatozwe ushuru.
Kamati hiyo imesema ushuru uwepo katika daraja hilo kama ilivyo kwa daraja la Nyerere (Kigamboni) kwani daraja la Tanzanite nalo limejengwa kwa fedha za mkopo.
“Kamati inaitaka Serikali pindi daraja hili litakapokamilika, kwa sababu limejengwa kwa mkopo kama lilivyo Daraja la Kigamboni, liwe ni daraja la kulipia yaani” amesema Mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti, Sillo Baran.
Ujenzi wa daraja hilo ulizinduliwa Julai 23, 2018 na aliyekuwa Rais wakati huo, Hayati John Pombe Magufuli ikiwa ni mpango wa kupunguza msongamano wa magari katika barabara ya Ali Hassan Mwinyi na Barabara ya Barack Obama.
Jana Rais Samia Suluhu alisema daraja hilo lenye urefu wa kilomita 1.03 na upata wa mita 20.5 linatarajiwa kukamilika mwezi Desemba 2021 na kuzinduliwa katika sherehe za miaka 60 ya Uhuru.
Chanzo: Nipashe
Wafanue ROAD Toll kama south AfricaKamati ya Bunge ya Bajeti limeitaka serikali iwatoze tozo watumiaji wa daraja jipya la Tanzanite (New Salender).
========
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imependekeza kwamba magari yatakayopita kwenye daraja la Tanzanite (Daraja jipya la Salenda) jiji Dar es Salaam yatozwe ushuru.
Kamati hiyo imesema ushuru uwepo katika daraja hilo kama ilivyo kwa daraja la Nyerere (Kigamboni) kwani daraja la Tanzanite nalo limejengwa kwa fedha za mkopo.
“Kamati inaitaka Serikali pindi daraja hili litakapokamilika, kwa sababu limejengwa kwa mkopo kama lilivyo Daraja la Kigamboni, liwe ni daraja la kulipia yaani” amesema Mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti, Sillo Baran.
Ujenzi wa daraja hilo ulizinduliwa Julai 23, 2018 na aliyekuwa Rais wakati huo, Hayati John Pombe Magufuli ikiwa ni mpango wa kupunguza msongamano wa magari katika barabara ya Ali Hassan Mwinyi na Barabara ya Barack Obama.
Jana Rais Samia Suluhu alisema daraja hilo lenye urefu wa kilomita 1.03 na upata wa mita 20.5 linatarajiwa kukamilika mwezi Desemba 2021 na kuzinduliwa katika sherehe za miaka 60 ya Uhuru.
Chanzo: Nipashe
Wafanue ROAD Toll kama south Africa
Lile la Kigamboni kulipia ni sawa kiongozi, no mali ya NSSF, ni michango ya akina zao ni limejengwa kupitia mfumo wa PPP yaani Private Public Partneship, NSSF wamewekeza ili kupata faida kwa muda waliokubaliana na serikali na baada ya hapo linarejeshwa na linakuwa mali ya umma na tunaanza kutumia bila malipo.Hivi South Africa Unaonaga kuna Ujinga kama wa Tz [emoji23][emoji23] hilo daraja Linatofauti gani Na FlyOver, HATA lile la Kigamboni Kulipia Sio sawa. Yaani Daraja lipo ndani ya mkoa Mtu alipie?
Mimi ni WA mbagala Chamazi Mkuu...We wa mbagala na masaki wapi na wapi? Unaijua foleni ya salender bridge wewe?
Mnatushauri tusiwataje marehemu maana ni kuonesha udhaifu lakini nyie mlivyo wepesi kutaja maiti!!Magufuli hakuwa na nia hiyo!