Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Itakuwa sawa kabisa, Acha wasimamishe uchumi.Bado kidogo tu tuanze kutozwa kwenye mapenzi , ukiwa na mpenzi wako unalipia TRA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakuwa sawa kabisa, Acha wasimamishe uchumi.Bado kidogo tu tuanze kutozwa kwenye mapenzi , ukiwa na mpenzi wako unalipia TRA.
Bunge la watu wasiojitambua badala ya kupambana tozo ziondolewe kwenye daraja la Nyerere wao wanataka hilo nalo lilipiwe kwa kipi hasaKamati ya Bunge ya Bajeti limeitaka serikali iwatoze tozo watumiaji wa daraja jipya la Tanzanite (New Salender).
========
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imependekeza kwamba magari yatakayopita kwenye daraja la Tanzanite (Daraja jipya la Salenda) jiji Dar es Salaam yatozwe ushuru.
Kamati hiyo imesema ushuru uwepo katika daraja hilo kama ilivyo kwa daraja la Nyerere (Kigamboni) kwani daraja la Tanzanite nalo limejengwa kwa fedha za mkopo.
“Kamati inaitaka Serikali pindi daraja hili litakapokamilika, kwa sababu limejengwa kwa mkopo kama lilivyo Daraja la Kigamboni, liwe ni daraja la kulipia yaani” amesema Mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti, Sillo Baran.
Ujenzi wa daraja hilo ulizinduliwa Julai 23, 2018 na aliyekuwa Rais wakati huo, Hayati John Pombe Magufuli ikiwa ni mpango wa kupunguza msongamano wa magari katika barabara ya Ali Hassan Mwinyi na Barabara ya Barack Obama.
Jana Rais Samia Suluhu alisema daraja hilo lenye urefu wa kilomita 1.03 na upata wa mita 20.5 linatarajiwa kukamilika mwezi Desemba 2021 na kuzinduliwa katika sherehe za miaka 60 ya Uhuru.
Chanzo: Nipashe
Aliwahi kukuambia hivyo Jo?Magufuli hakuwa na nia hiyo!
Wakati wamejenga kwa hela zao walipie vipi daraja limehengwa kwa hela za wakazi wa masaki mabalozi wa nchi za nje walioko nchini sio hela za serikaliWalipie tu kwani watu wa masaki wanahela nyingi sana sio sawa na sisi wa uswahilini.
kuwe na utofauti, daraja la kigamboni lilijengwa na Taasisi ya Serikali kama mradi wa uwekezaji kwa taasisi hiyo (NSSF joint venture) na fedha +faida ilitakiwa irudi, Daraja la Tanzanite linajengwa na serikali kuu kwa mkopo wa Korean fund pamoja na mchango wa serikali, ambapo serikali itawajibika kulipa kama madeni mengine. ni kama miradi mingi mingine ya serikali. mfumo wa PPP ndio mahususi kuchangia (Toll) kama ambavyo chalinze expressway ingejengwa.Kamati ya Bunge ya Bajeti limeitaka serikali iwatoze tozo watumiaji wa daraja jipya la Tanzanite (New Salender).
========
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imependekeza kwamba magari yatakayopita kwenye daraja la Tanzanite (Daraja jipya la Salenda) jiji Dar es Salaam yatozwe ushuru.
Kamati hiyo imesema ushuru uwepo katika daraja hilo kama ilivyo kwa daraja la Nyerere (Kigamboni) kwani daraja la Tanzanite nalo limejengwa kwa fedha za mkopo.
“Kamati inaitaka Serikali pindi daraja hili litakapokamilika, kwa sababu limejengwa kwa mkopo kama lilivyo Daraja la Kigamboni, liwe ni daraja la kulipia yaani” amesema Mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti, Sillo Baran.
Ujenzi wa daraja hilo ulizinduliwa Julai 23, 2018 na aliyekuwa Rais wakati huo, Hayati John Pombe Magufuli ikiwa ni mpango wa kupunguza msongamano wa magari katika barabara ya Ali Hassan Mwinyi na Barabara ya Barack Obama.
Jana Rais Samia Suluhu alisema daraja hilo lenye urefu wa kilomita 1.03 na upata wa mita 20.5 linatarajiwa kukamilika mwezi Desemba 2021 na kuzinduliwa katika sherehe za miaka 60 ya Uhuru.
Chanzo: Nipashe
Uwongo serikali haijatoa hata shilingi Mia kujenga lile darajaLile la Kigamboni kulipia ni sawa kiongozi, no mali ya NSSF, ni michango ya akina zao ni limejengwa kupitia mfumo wa PPP yaani Private Public Partneship, NSSF wamewekeza ili kupata faida kwa muda waliokubaliana na serikali na baada ya hapo linarejeshwa na linakuwa mali ya umma na tunaanza kutumia bila malipo.
Daraja la Tanzanite lenyewe ni mali ya serikali (umma) asilimia 100.
Vv
Halijajengwa kwa mkopo uongokuwe na utofauti, daraja la kigamboni lilijengwa na Taasisi ya Serikali kama mradi wa uwekezaji kwa taasisi hiyo (NSSF joint venture) na fedha +faida ilitakiwa irudi, Daraja la Tanzanite linajengwa na serikali kuu kwa mkopo wa Korean fund pamoja na mchango wa serikali, ambapo serikali itawajibika kulipa kama madeni mengine. ni kama miradi mingi mingine ya serikali. mfumo wa PPP ndio mahususi kuchangia (Toll) kama ambavyo chalinze expressway ingejengwa.
Hata mie cjaelewa,hotuba zilisema kuwa ni hela zetu za ndani,au nilisikia vibayaLilipiwe tena kivipi wakati imetumika Kodi ya yetu bila kujalisha mwenye gari, pikipiki, baiskeli au mwenda kwa miguu.
Kwani walichangishana mpaka unasema ni hela zaoWakati wamejenga kwa hela zao walipie vipi daraja limehengwa kwa hela za wakazi wa masaki mabalozi wa nchi za nje walioko nchini sio hela za serikali
Wabunge wetu wanapaswa kutofautisha kesi moja na nyingine, waangalie mazingira ya haya madaraja mawili, vinginevyo wanaweza kukuta hilo daraja la Tanzanite linaota ukungu kwa kutotumikaKamati ya Bunge ya Bajeti limeitaka serikali iwatoze tozo watumiaji wa daraja jipya la Tanzanite (New Salender).
========
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imependekeza kwamba magari yatakayopita kwenye daraja la Tanzanite (Daraja jipya la Salenda) jiji Dar es Salaam yatozwe ushuru.
Kamati hiyo imesema ushuru uwepo katika daraja hilo kama ilivyo kwa daraja la Nyerere (Kigamboni) kwani daraja la Tanzanite nalo limejengwa kwa fedha za mkopo.
“Kamati inaitaka Serikali pindi daraja hili litakapokamilika, kwa sababu limejengwa kwa mkopo kama lilivyo Daraja la Kigamboni, liwe ni daraja la kulipia yaani” amesema Mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti, Sillo Baran.
Ujenzi wa daraja hilo ulizinduliwa Julai 23, 2018 na aliyekuwa Rais wakati huo, Hayati John Pombe Magufuli ikiwa ni mpango wa kupunguza msongamano wa magari katika barabara ya Ali Hassan Mwinyi na Barabara ya Barack Obama.
Jana Rais Samia Suluhu alisema daraja hilo lenye urefu wa kilomita 1.03 na upata wa mita 20.5 linatarajiwa kukamilika mwezi Desemba 2021 na kuzinduliwa katika sherehe za miaka 60 ya Uhuru.
Chanzo: Nipashe
Nawe siku hizi akili zinaanza kuja !!Bado kidogo tu tuanze kutozwa kwenye mapenzi , ukiwa na mpenzi wako unalipia TRA.
100% ✅Ndio matatizo yakuwalipa posho kubwa matokeo yake wanashindwa kufikiri namna ya kuisadia serikali kutunisha mfuko wake..
Wangekuwa watu wa maana kama wangeshauri serikali ibane matumizi kwa kutowalipa wao baadhi ya posho na baadala yake ziende kujenga shule vijijini na vijana wapate chakula mchana huko vijijini wakiwa shule mchana...
Wabunge wanaweza kushauri, Bunge iwe kazi ya kujitolea baada ya kulipwa, yaani mtu akiwa mbunge basi asilipwe apewe usafiri tu wa kuja na kurudi dodoma, kula na kulala dodoma...
Korea wametoa mkopo. Hawajengi bure. Mradi wa ajabu na aibu kabisa.Wabunge Hawa vichwa vyao vitupu
Hilo daraja umoja wa mabalozi wa nje walikutana kujadili kuwa wanachelewa kuwahi ofisini kwao sababu ya pale daraja lililojengwa na serikali la selander kuwa dogo foleni kubwa wakakubaliana watafute pesa walijenge pale liwasaidie
Balozi wa Korea kusini ambaye ndie mwenyekiti wa mabalozi wa nje nchini akasema nchi yao itajenga
Sasa wabunge wanatakaje? Mabalozi na familia zao zichajiwe kupita Hilo daraja au? Waswahili wengi hawapiti upande ule wanaopita sehemu kubwa ni mabalozi na maofisa ubalozi na familia zao
Hilo daraja haikuwa proposal ya Raisi yeyote wa Tanzania si Nyerere si Mwinyi si Kikwete Wala Magufuli Wala Samia
Kamati ya Bunge ya Bajeti limeitaka serikali iwatoze tozo watumiaji wa daraja jipya la Tanzanite (New Salender).
========
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imependekeza kwamba magari yatakayopita kwenye daraja la Tanzanite (Daraja jipya la Salenda) jiji Dar es Salaam yatozwe ushuru.
Kamati hiyo imesema ushuru uwepo katika daraja hilo kama ilivyo kwa daraja la Nyerere (Kigamboni) kwani daraja la Tanzanite nalo limejengwa kwa fedha za mkopo.
“Kamati inaitaka Serikali pindi daraja hili litakapokamilika, kwa sababu limejengwa kwa mkopo kama lilivyo Daraja la Kigamboni, liwe ni daraja la kulipia yaani” amesema Mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti, Sillo Baran.
Ujenzi wa daraja hilo ulizinduliwa Julai 23, 2018 na aliyekuwa Rais wakati huo, Hayati John Pombe Magufuli ikiwa ni mpango wa kupunguza msongamano wa magari katika barabara ya Ali Hassan Mwinyi na Barabara ya Barack Obama.
Jana Rais Samia Suluhu alisema daraja hilo lenye urefu wa kilomita 1.03 na upata wa mita 20.5 linatarajiwa kukamilika mwezi Desemba 2021 na kuzinduliwa katika sherehe za miaka 60 ya Uhuru.
Chanzo: Nipashe
Daraja lile lingejengwa pale Jangwani lingesaidia kwa wingi walala hoi,lilikojengwa kule ni egos za politicians wetu uchwara.Road tolls ni muhimu kwa kuhakikisha barabara zetu ziwe bora,T1 ni uchafu fulani na sio mbaya tukajenga road toll kama tatu hivi ili mapato yasaidie kujenga upya hii barabara sio kuitia vilaka,pale Mbeya to Tunduma ni hatari mno,Kitonga Pass tujenge 2 ways road pale na tuweke Arrester kama mbili hivi.
What mkopo? Wa mabilioni ili kupitisha tu mabalozi wachache na familia zao na vifisadi vichache vikina Zitto kabwe vinavyokaa masaki no Please.Give me a break are you sure? Kama kweli Raisi asiende kufungua atume hata mtendaji wa serikali ya mtaa akafanye huo ufunguzi.Korea wametoa mkopo. Hawajengi bure. Mradi wa ajabu na aibu kabisa.
Wakati wamejenga kwa hela zao walipie vipi daraja limehengwa kwa hela za wakazi wa masaki mabalozi wa nchi za nje walioko nchini sio hela za serikali