Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
80% by 2015?! Nina wasi wasi Kama umeshirikisha ubongo wako kabla ya kutype otherwise chuki imetawala kichwa chako.Siyo kweli. Yule mpuuzi nafuu ametanhulia mbele ya haki maana amewapotosha wengi sana. Na ndiyo maana akataka hata Historia ya Tanzania ibadilishwe ili watoto wasome majina ya akina Magufuli, Mfugale, Kijazi etc
Terminal III ilikuwa vizuri tu alichofanya yeye ni kuwatoa makandarasi wa JK na kuingiza hao makandarasi wake. Mbona 80% ya kazi ilikwisha kamilika by October 2015?
Kamati hiyo imesema ushuru uwepo katika daraja hilo kama ilivyo kwa daraja la Nyerere (Kigamboni) kwani daraja la Tanzanite nalo limejengwa kwa fedha za mkopo
Ulipofikia Ujenzi wa Daraja la Salenda, Waziri Mkuu Atoa neno
Source : Daily News 17 Jun 2021
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekagua mradi wa ujenzi wa daraja jipya la Tanzanite (New Selander) jijini Dar es Salaam na kwamba ameridhishwa na kasi ya maendeleo ya mradi huo ambao umefikia asilimia 83.5. Amekagua ujenzi wa mradi huo leo (Alhamisi, Juni 17, 2021). Daraja hilo lenye urefu wa kilomita 1.03 na upana wa mita 20.5, litagharimu sh. bilioni 243.75 na unatarajiwa kukamilika Desemba 14, mwaka huu. Kati ya watumishi 970 wanaofanyakazi katika mradi huo, asilimia 92 ni Watanzania. “Nimeridhishwa na hatua zilizofikiwa katika ujenzi wa mradi huu ambao umefikia katika hatua nzuri za ukamilishwaji wake. Miradi mingi imefikia hatua muhimu za ukamilishwaji na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ameona dalili ya ukamilishwaji ipo na ndiyo maana ameanzisha miradi mingine,” Waziri Mkuu amesema ameridhishwa na ushiriki wa Watanzania katika ujenzi wa miradi mikubwa inayoendelea kutekelezwa nchini kwa kuwa inachangia katika kuongeza wataalamu. “Watanzania hakuna kinachotushinda, muhimu tuwe na kanzi data ya wahandisi wanaoshiriki katika wa miradi.” Amesema Watanzania wanaofanyakazi katika mradi huo wahakikishe wanafanyakazi kwa umakini ili mradi utakapokamilika waweze kuwa na uwezo wa kujenga wenyewe daraja kama hilo. “Tuhakikishe kila mmoja anakuwa mahiri katika fani yake kama ni kuchanganya zege au kusuka nondo.” Ujenzi wa daraja hilo linalojengwa na kampuni ya GS Engineering Corporation kutoka Korea Kusini una lengo la kupunguza msongamano wa magari kwenye barabara ya Ali Hassan Mwinyi ambayo inatumiwa na magari mengi yanayoingia na kutoka katikati ya jiji la Dar es Salaam. Awali, Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), Mhandisi Patrick Mfugale alisema mradi wa ujenzi wa daraja hilo kwa sasa upo katika hatua za ukamilishwaji wa eneo la juu na tayari mkandarasi ameshalipwa shilingi bilioni 175.4.
Kwa taarifa yako hili daraja limekuwa proposed kipindi cha JK na kusaini hiyo grant kutoka South Korea. Acheni kudanganyika kuwa kila kizuri kilifanywa na Magufuli kama alivyokuwa ANAWAONGOPEA
Nilipie vipi wakati hizi ni pesa zangu mwenyewe zimetumika kulijenga hilo daraja,au ni Ndugai tena analeta sarakasi zake?Kamati ya Bunge ya Bajeti limeitaka serikali iwatoze tozo watumiaji wa daraja jipya la Tanzanite (New Salender).
========
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imependekeza kwamba magari yatakayopita kwenye daraja la Tanzanite (Daraja jipya la Salenda) jiji Dar es Salaam yatozwe ushuru.
Kamati hiyo imesema ushuru uwepo katika daraja hilo kama ilivyo kwa daraja la Nyerere (Kigamboni) kwani daraja la Tanzanite nalo limejengwa kwa fedha za mkopo.
“Kamati inaitaka Serikali pindi daraja hili litakapokamilika, kwa sababu limejengwa kwa mkopo kama lilivyo Daraja la Kigamboni, liwe ni daraja la kulipia yaani” amesema Mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti, Sillo Baran.
Ujenzi wa daraja hilo ulizinduliwa Julai 23, 2018 na aliyekuwa Rais wakati huo, Hayati John Pombe Magufuli ikiwa ni mpango wa kupunguza msongamano wa magari katika barabara ya Ali Hassan Mwinyi na Barabara ya Barack Obama.
Jana Rais Samia Suluhu alisema daraja hilo lenye urefu wa kilomita 1.03 na upata wa mita 20.5 linatarajiwa kukamilika mwezi Desemba 2021 na kuzinduliwa katika sherehe za miaka 60 ya Uhuru.
Chanzo: Nipashe
Zaidi...
Daraja Jipya la Selander kuwa Toll Bridge
Mheshimiwa Spika, Kamati ya Bajeti ilipata fursa ya kutembelea na kukagua ujenzi wa Daraja jipya la Tanzanite na kutaarifiwa kwamba Hatua iliyofikiwa ni:
kuendelea na ujenzi wa daraja jipya (km 1.03) na barabara unganishi zenye urefu wa km 5.2 ambapo ujenzi umefikia asilimia 87.3. Katika kipindi cha mwaka 2020/21, Shilingi Bilioni 58.8 zimetumika”.
Kamati inaitaka Serikali pindi Daraja hili litakapokamilika na kwa sababu limejengwa kwa mkopo kama lilivyo Daraja la Kigamboni liwe ni daraja la kulipia yaani “Toll bridge” Kamati inaona kwa kuwa kuna njia mbadala ambayo endapo mtu hataki kulipia daraja anaweza kupita ni vyema ushauri huo ukazingatiwa.
Hakuna haja ya tozo, huo ni wizi kama wizi mwingine, daraja la Tanzanite sio mali ya kampuni binafsi.Kupunguza foleni katika maeneo ya upanga/seview! Umuhimu wake unapotea kwa kuweka tozo! Kama ndivyo basi iwe na kiwango nafuu kwa watumiaji wachache wao.
Uhalali wa tozo ya kupita hilo daraja ni upi?Naunga mkono hoja, ikiwezekana hata fly over zote tulipie
Lakn hili bunge ni la CCM wote na wanafuata Ilani yao ya chamaMagufuli hakuwa na nia hiyo!
Kamati ya Bunge ya Bajeti limeitaka serikali iwatoze tozo watumiaji wa daraja jipya la Tanzanite (New Salender).
========
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imependekeza kwamba magari yatakayopita kwenye daraja la Tanzanite (Daraja jipya la Salenda) jiji Dar es Salaam yatozwe ushuru.
Kamati hiyo imesema ushuru uwepo katika daraja hilo kama ilivyo kwa daraja la Nyerere (Kigamboni) kwani daraja la Tanzanite nalo limejengwa kwa fedha za mkopo.
“Kamati inaitaka Serikali pindi daraja hili litakapokamilika, kwa sababu limejengwa kwa mkopo kama lilivyo Daraja la Kigamboni, liwe ni daraja la kulipia yaani” amesema Mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti, Sillo Baran.
Ujenzi wa daraja hilo ulizinduliwa Julai 23, 2018 na aliyekuwa Rais wakati huo, Hayati John Pombe Magufuli ikiwa ni mpango wa kupunguza msongamano wa magari katika barabara ya Ali Hassan Mwinyi na Barabara ya Barack Obama.
Jana Rais Samia Suluhu alisema daraja hilo lenye urefu wa kilomita 1.03 na upata wa mita 20.5 linatarajiwa kukamilika mwezi Desemba 2021 na kuzinduliwa katika sherehe za miaka 60 ya Uhuru.
Chanzo: Nipashe
Zaidi...
Daraja Jipya la Selander kuwa Toll Bridge
Mheshimiwa Spika, Kamati ya Bajeti ilipata fursa ya kutembelea na kukagua ujenzi wa Daraja jipya la Tanzanite na kutaarifiwa kwamba Hatua iliyofikiwa ni:
kuendelea na ujenzi wa daraja jipya (km 1.03) na barabara unganishi zenye urefu wa km 5.2 ambapo ujenzi umefikia asilimia 87.3. Katika kipindi cha mwaka 2020/21, Shilingi Bilioni 58.8 zimetumika”.
Kamati inaitaka Serikali pindi Daraja hili litakapokamilika na kwa sababu limejengwa kwa mkopo kama lilivyo Daraja la Kigamboni liwe ni daraja la kulipia yaani “Toll bridge” Kamati inaona kwa kuwa kuna njia mbadala ambayo endapo mtu hataki kulipia daraja anaweza kupita ni vyema ushauri huo ukazingatiwa.
Kamati ya Bunge ya Bajeti limeitaka serikali iwatoze tozo watumiaji wa daraja jipya la Tanzanite (New Salender).
========
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imependekeza kwamba magari yatakayopita kwenye daraja la Tanzanite (Daraja jipya la Salenda) jiji Dar es Salaam yatozwe ushuru.
Kamati hiyo imesema ushuru uwepo katika daraja hilo kama ilivyo kwa daraja la Nyerere (Kigamboni) kwani daraja la Tanzanite nalo limejengwa kwa fedha za mkopo.
“Kamati inaitaka Serikali pindi daraja hili litakapokamilika, kwa sababu limejengwa kwa mkopo kama lilivyo Daraja la Kigamboni, liwe ni daraja la kulipia yaani” amesema Mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti, Sillo Baran.
Ujenzi wa daraja hilo ulizinduliwa Julai 23, 2018 na aliyekuwa Rais wakati huo, Hayati John Pombe Magufuli ikiwa ni mpango wa kupunguza msongamano wa magari katika barabara ya Ali Hassan Mwinyi na Barabara ya Barack Obama.
Jana Rais Samia Suluhu alisema daraja hilo lenye urefu wa kilomita 1.03 na upata wa mita 20.5 linatarajiwa kukamilika mwezi Desemba 2021 na kuzinduliwa katika sherehe za miaka 60 ya Uhuru.
Chanzo: Nipashe
Zaidi...
Daraja Jipya la Selander kuwa Toll Bridge
Mheshimiwa Spika, Kamati ya Bajeti ilipata fursa ya kutembelea na kukagua ujenzi wa Daraja jipya la Tanzanite na kutaarifiwa kwamba Hatua iliyofikiwa ni:
kuendelea na ujenzi wa daraja jipya (km 1.03) na barabara unganishi zenye urefu wa km 5.2 ambapo ujenzi umefikia asilimia 87.3. Katika kipindi cha mwaka 2020/21, Shilingi Bilioni 58.8 zimetumika”.
Kamati inaitaka Serikali pindi Daraja hili litakapokamilika na kwa sababu limejengwa kwa mkopo kama lilivyo Daraja la Kigamboni liwe ni daraja la kulipia yaani “Toll bridge” Kamati inaona kwa kuwa kuna njia mbadala ambayo endapo mtu hataki kulipia daraja anaweza kupita ni vyema ushauri huo ukazingatiwa.
Mama anaupiga mwingi Sanaa.
Hivi hata China Yale madaraja yao kupita napo wanalipia?.
au Mimi ndo mshamba.
The whole purpose of that bridge was to reduce congestion on SELANDER bridge heading into town!!! Selander bridge is toll free; if you impose any type of charge for those who might use the new bridge , then motorists because of the imposed charge might opt to continue using the SELANDER bridge instead and you will have defeated the whole purpose of decongesting SELANDER BRIDGE!!!Magufuli hakuwa na nia hiyo!
Labda ndio maana wabunge wanapendekeza wananchi wataotumia hilo daraja walipie, mabalozi na magari yenye namba za CD hata kwenye kivuko ferry hawalipi wala kupanga foleni kama sisi.
Vv
Wakifika huko watasema watuwekee luku wapiga nyeto😂😂😂
Kuna ulazima gani wa mimi kupita kwenye hilo daraja?
Hivi hili ndiyo lile bunge lililosemekana ni dhaifu au siku hizi limekuwa imara?Watapita matajiri wa Oysterbay, Msasani na Masaki
Hii ni serikali ya tozo, kila kitu kiwekwe tozo mkuuUhalali wa tozo ya kupita hilo daraja ni upi?
Vv