Bunge lataka Watumiaji wa Daraja Tanzanite (Selander) Walipie

Bunge lataka Watumiaji wa Daraja Tanzanite (Selander) Walipie

kuwe na utofauti, daraja la kigamboni lilijengwa na Taasisi ya Serikali kama mradi wa uwekezaji kwa taasisi hiyo (NSSF joint venture) na fedha +faida ilitakiwa irudi, Daraja la Tanzanite linajengwa na serikali kuu kwa mkopo wa Korean fund pamoja na mchango wa serikali, ambapo serikali itawajibika kulipa kama madeni mengine. ni kama miradi mingi mingine ya serikali. mfumo wa PPP ndio mahususi kuchangia (Toll) kama ambavyo chalinze expressway ingejengwa.
Lkn pia kwenye PPP siyo lazima tozo kuwepo. Nchi inaweza kuwalipa private investors kidogo kidogo.
 
What mkopo? Wa mabilioni ili kupitisha tu mabalozi wachache na familia zao na vifisadi vichache vikina Zitto kabwe vinavyokaa masaki no Please.Give me a break are you sure? Kama kweli Raisi asiende kufungua atume hata mtendaji wa serikali ya mtaa akafanye huo ufunguzi.

Huo utakuwa wizi tu wa kuiba pesa kupitia makandarasi.Hakukuwa na haja ya Hilo daraja kabisa
Ndiyo tulikuwa tunapiga

Ni mkopo. Wakorea walikuja na huo na Hospitali ya Mloganzila. Tumeupigia kelele humu kabla hata haujaanza
 
Wabunge Hawa vichwa vyao vitupu

Hilo daraja umoja wa mabalozi wa nje walikutana kujadili kuwa wanachelewa kuwahi ofisini kwao sababu ya pale daraja lililojengwa na serikali la selander kuwa dogo foleni kubwa wakakubaliana watafute pesa walijenge pale liwasaidie

Balozi wa Korea kusini ambaye ndie mwenyekiti wa mabalozi wa nje nchini akasema nchi yao itajenga

Sasa wabunge wanatakaje? Mabalozi na familia zao zichajiwe kupita Hilo daraja au? Waswahili wengi hawapiti upande ule wanaopita sehemu kubwa ni mabalozi na maofisa ubalozi na familia zao

Hilo daraja haikuwa proposal ya Raisi yeyote wa Tanzania si Nyerere si Mwinyi si Kikwete Wala Magufuli Wala Samia
Labda ndio maana wabunge wanapendekeza wananchi wataotumia hilo daraja walipie, mabalozi na magari yenye namba za CD hata kwenye kivuko ferry hawalipi wala kupanga foleni kama sisi.

Vv
 
Magufuli hakuwa na nia hiyo!
Sijawahi kuona faida ya hilo daraja bora hizo bilioni zingetumika kuunganisha lami mikoa ya Katavi to Kigoma, Katavi & Kigoma to Tabora, Singida to Mbeya, Tabora to Mbeya, imarisha kwa kiwango cha standard gauge reli ya Dar to Moshi to Arusha, tena waiongeze ifike mpaka Babati huko Manyara. Pia reli ya Katavi to Tabora ijengwe kwa kiwango cha Standard gauge.. Haya ndiyo yenye tija kwa nchi.
 
Wa Masaki na Ostybay hawataki fujo za madala dala yetu tunayotegemea kutanua kupita kule kukwepa foleni ya Salender

Maskini una haraka ya kwenda wapi, baki kwenye foleni
 
Ah nilidhani unaongea kiume kumbe una yako..ngija nikuache nayo. Kuhusu historia ilikuwa ni jambo la msingi. Leo hii mtoto wa kihindi aliyepo tanzania anajua historia ya kwao india wakati kazaliwa bongo. Ni vitu wanavyofundishwa darasani.

Leo hii tukikuambia we tuimbie au tuandikie mashairi ya wimbo wa taifa lazima utachemka. Pengine hata tukikuuliza vyeo alivyowahi kushika nyerere utatuambia alikuwa rais tu.
Hukumjua Magufuli wewe Kaa kimya. Kama unadhani hoja ndiyo hiyo jiulize kwa nini mpango huo wa kijinga umezikwa kama mwili wake ulivyozikwa
 
Kamati ya Bunge ya Bajeti limeitaka serikali iwatoze tozo watumiaji wa daraja jipya la Tanzanite (New Salender).

========

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imependekeza kwamba magari yatakayopita kwenye daraja la Tanzanite (Daraja jipya la Salenda) jiji Dar es Salaam yatozwe ushuru.

Kamati hiyo imesema ushuru uwepo katika daraja hilo kama ilivyo kwa daraja la Nyerere (Kigamboni) kwani daraja la Tanzanite nalo limejengwa kwa fedha za mkopo.

“Kamati inaitaka Serikali pindi daraja hili litakapokamilika, kwa sababu limejengwa kwa mkopo kama lilivyo Daraja la Kigamboni, liwe ni daraja la kulipia yaani” amesema Mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti, Sillo Baran.

Ujenzi wa daraja hilo ulizinduliwa Julai 23, 2018 na aliyekuwa Rais wakati huo, Hayati John Pombe Magufuli ikiwa ni mpango wa kupunguza msongamano wa magari katika barabara ya Ali Hassan Mwinyi na Barabara ya Barack Obama.

Jana Rais Samia Suluhu alisema daraja hilo lenye urefu wa kilomita 1.03 na upata wa mita 20.5 linatarajiwa kukamilika mwezi Desemba 2021 na kuzinduliwa katika sherehe za miaka 60 ya Uhuru.

Chanzo: Nipashe

Zaidi...

Daraja Jipya la Selander kuwa Toll Bridge

Mheshimiwa Spika, Kamati ya Bajeti ilipata fursa ya kutembelea na kukagua ujenzi wa Daraja jipya la Tanzanite na kutaarifiwa kwamba Hatua iliyofikiwa ni:

kuendelea na ujenzi wa daraja jipya (km 1.03) na barabara unganishi zenye urefu wa km 5.2 ambapo ujenzi umefikia asilimia 87.3. Katika kipindi cha mwaka 2020/21, Shilingi Bilioni 58.8 zimetumika”.

Kamati inaitaka Serikali pindi Daraja hili litakapokamilika na kwa sababu limejengwa kwa mkopo kama lilivyo Daraja la Kigamboni liwe ni daraja la kulipia yaani “Toll bridge” Kamati inaona kwa kuwa kuna njia mbadala ambayo endapo mtu hataki kulipia daraja anaweza kupita ni vyema ushauri huo ukazingatiwa.
Kupunguza foleni katika maeneo ya upanga/seview! Umuhimu wake unapotea kwa kuweka tozo! Kama ndivyo basi iwe na kiwango nafuu kwa watumiaji wachache wao.
 
Hawa ndiyo wale wazee wasioathirika na tozo wala kodi.

Wako ki maslahi yao zaidi.
 
Litapunguza foleni kwa watu binafsi tu.
Hiyo route ya daraja hakuna daladala zinazopita.
So hata watu binafsi hatapita.
Labda iwe 500 au buku.
Kwa mwenye haraka ya kwenda Coco beach awahi.
 
Hukumjua Magufuli wewe Kaa kimya. Kama unadhani hoja ndiyo hiyo jiulize kwa nini mpango huo wa kijinga umezikwa kama mwili wake ulivyozikwa
We ni mfu nini mbona umekomaa na marehemu.?
 
Sijawahi kuona faida ya hilo daraja bora hizo bilioni zingetumika kuunganisha lami mikoa ya Katavi to Kigoma, Katavi & Kigoma to Tabora, Singida to Mbeya, Tabora to Mbeya, imarisha kwa kiwango cha standard gauge reli ya Dar to Moshi to Arusha, tena waiongeze ifike mpaka Babati huko Manyara. Pia reli ya Katavi to Tabora ijengwe kwa kiwango cha Standard gauge.. Haya ndiyo yenye tija kwa nchi.
Sawa wacha wapige tu pesa wanyonge wakamuliwe Kodi kulipa huo mkopo Kuna mtu nimeongea naye kuhusu Hilo kasema unashangaa Nini? viongozi wengi wagonjwa wanaumwa ukimwi,visukari,nk vyakula vitamu viwe vyenye sukari,chumvi,nyama tamu nk hawali Na watoto wao wengi hopeless Mungu anawaadhibu kwa kuonea wanyonge kuwa utapata mabilioni lakini presha itakuwa yako, sukari,nyama,chumvi na kila kitamu utakisikia kwenye radio hutakila na kila siku utakuwa Ni watumwa wa gym na kuvaa mibarakoa .Maskini huku akila atakacho na Corona na barakoa anaisikia vyombo vya habari na presha Ni msamiati asiojua Ni kitu gani? Wacha waibe watakavyo ila Mungu yupo

Huu uroho wa kukopa mamikopo hopeless yatakayolipwa na wanyonge ni laana kwa wabunge na viongozi wa serikali .Mungu hawezi ruhusu hela ya mradi dhuluma uile kwa raha

Utanunua gari la mabilioni kulipanda utabebwa Kama kiwete kwa uzee na maradhi utajenga ghorofa miguu itakuwa nguvu haina utaachia housegirl na houseboy walale ghorofani fisadi na uzezeta wake kwa kuwa hawezi panda ghorofani atalala chini choka mbaya

Dunia hi ukiwa na madaraka au uwezo uwe mbunge nk vizur kuwa Kama Magufuli kujua kuwa Kuna watu wa chini watakaojazana mabarabarani na kuzimia kuomboleza kifo Cha kiongozi Kama aliwasaidia

Waliozimia Hadi kufa kifo Cha Magufuli Ni wanyonge aliowasaidia hakuna mbunge Wala kiongozi wa serikali au mahakama alizimia au kufa lile Ni somo zito

Life is more than authority or money
 
Hivi South Africa Unaonaga kuna Ujinga kama wa Tz [emoji23][emoji23] hilo daraja Linatofauti gani Na FlyOver, HATA lile la Kigamboni Kulipia Sio sawa. Yaani Daraja lipo ndani ya mkoa Mtu alipie?
Huo ndo ukweli south Africa ni mwendo wa road toll, kwa hiyo road toll kama ni ujinga, basi UJINGA HUO UPO SOUTH AFRICA.

I was there for five days ,I saw by my own eyes!!! 🙏🙏✅
 
Wabunge Hawa vichwa vyao vitupu

Hilo daraja umoja wa mabalozi wa nje walikutana kujadili kuwa wanachelewa kuwahi ofisini kwao sababu ya pale daraja lililojengwa na serikali la selander kuwa dogo foleni kubwa wakakubaliana watafute pesa walijenge pale liwasaidie

Balozi wa Korea kusini ambaye ndie mwenyekiti wa mabalozi wa nje nchini akasema nchi yao itajenga

Sasa wabunge wanatakaje? Mabalozi na familia zao zichajiwe kupita Hilo daraja au? Waswahili wengi hawapiti upande ule wanaopita sehemu kubwa ni mabalozi na maofisa ubalozi na familia zao

Hilo daraja haikuwa proposal ya Raisi yeyote wa Tanzania si Nyerere si Mwinyi si Kikwete Wala Magufuli Wala Samia
Mataga bana Sindo wabunge mlioshinda nao kwa kishindo hao
 
kama litakuwa la kulipia itakuwa haina faida na wananchi ilijengwa ili foleni ipungue mnataka nani alipie watu watatumia salender kama kawa kama ilivyo daraja la nyerere kigamboni si wengi wanaoitumia wengi wana vuka kwenye panton ndio maana utakuta msongamano wa magari ferri magogoni
 
Wa Masaki na Ostybay hawataki fujo za madala dala yetu tunayotegemea kutanua kupita kule kukwepa foleni ya Salender

Maskini una haraka ya kwenda wapi, baki kwenye foleni
Daraja la mafisadi wezi wa pesa wakopa pesa waibe kupitia contractors wanaotaka wananchi wanyonge walipe mkopo wake

Mwananchi mtanzanzia mjali wanyonge usibebe laana Hilo daraja wacha watumie wenyewe mafisadi wewe jipitie tu Salender bridge ya kawaida usiwe part ya hiyo nuksi .Sawa utachelewa uendako kidogo lakini Mungu atakukumbuka na vizazi vyako kuwa hukuwa sehemu ya kuumiza wanyonge

Kupinga ufisadi si lazima kuandamana vingine ni kumuonyesha tu Mungu muumba Mbingu na Nchi kuwa sikubaliani na Hili na yaliyobaki kumwachia yeye.

Kila mwogopa Mungu usipite Hilo daraja pita pale pa kawaida waachie wenyewe iwe wapita bure au kwa tozo achana nalo hata wakisema bure

Kawia ufike kuliko uwahi kupitia Hilo daraja halafu ulaaniwe wewe na vizazi vyako kwa mkopo atakaoulipa Maskini kwa kitu hopeless Cha mafisadi wachache

Drive pita tu daraja la zamani
 
Back
Top Bottom