Bunge lataka Watumiaji wa Daraja Tanzanite (Selander) Walipie

Maana ya kuwa na hiyo daraja inakufa.
 
Kwa taarifa yako hili daraja limekuwa proposed kipindi cha JK na kusaini hiyo grant kutoka South Korea. Acheni kudanganyika kuwa kila kizuri kilifanywa na Magufuli kama alivyokuwa ANAWAONGOPEA
Mshikwa na ngozi ndiye mwizi
 
Hahahaaa ivi wewe unaakiki timamukweli, % 80 ya mradi ilikamilika October 2015??? Hebu elezea mradi ulifikia hatuagani mwakahuo.
Unajua jengo limeisha na kukabidhiwa mwaka gani?

Unajua huo mradi ulianza lini??.
 
Hahahaaa ivi wewe unaakiki timamukweli, % 80 ya mradi ilikamilika October 2015??? Hebu elezea mradi ulifikia hatuagani mwakahuo.
Unajua jengo limeisha na kukabidhiwa mwaka gani?

Unajua huo mradi ulianza lini??.
Mradi ulianza kwa tathmini enzi za BWM, ukafuatiwa na kuwafidia waliobomolewa nyumba awamu ya kwanza ya JK. Ndipo Ujenzi ukaanza kwenye 2013.
Kama unadhani mwanzo wa project ni kuchimba msingi na kumwaga zege, wewe ni mwendawazimu kama Mwendazake
 
“Kamati inaitaka Serikali pindi daraja hili litakapokamilika, kwa sababu limejengwa kwa mkopo kama lilivyo Daraja la Kigamboni, liwe ni daraja la kulipia yaani” amesema Mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti, Sillo Baran.
Beauty of Nipashe swahili
 
Bunge utopolo la watu wanaokula nyama za watu, akili za kimende kabisa hizi akalipie tozo shahawa za baba yake na tumbo la uzazi na damu za labor za mama yake
 
Kamati ya mazuzu

Madaraja mangapi Tz hapa yamejengwa kwa mikopo. Mangapi kati ya hayo yanatoza watu kuvuka. Anyways, Selandaer ya zamani lipo
 
Waliwahi kutangaza kwa mwaka wanakusanya kiasi gani?
Kuna wakati waliwahi kutangaza mapato ya mwezi mmoja, ilikuwa bilioni kadhaa na hawajawahi kutangaza tena.

Vv
 
Yaani kweli bunge lakaa kuzungumzia kidaraja!
 
nashauri serikali waweke na tozo ya kupumua kwani hata hii pumzi nayo ni ya mkopo kutoka kwa allah
 
Ninapopita sasa hivi ndipo nitaendelea kupita bure, hawatapata hata shilingi yangu....

Wawatoze hao hao mabalozi labda, labda waifunge njia hii tunayoipita sasa
 
Bunge wamekuwa wakweli Ila jiwe alikuwa anatafuta sifa za kijinga eti tumejenga kwa pesa zetu. Alikuwa hawezi kusema ukweli kwamba ni mkopo na ndio maana wajinga wakisikia mama anasema amekopa watu wanakuja juu.

Yule jamaa bwana amepandikiza ujinga mkubwa sana kwa watanzania. Haya alikopa kukenga daraja na tunalipishwa sisi ingali yeye anaoza kule Chato.

Kwani angekuwaga mkweli shida ni nini? Hizi dhambi ndogondogo amejichumia bure.
 
Si tuliambiwa ni oesa za ndani au mimi ndiye sikusikia?
 
Upuuzi gani huu. Daraja la kigamboni ni mradi wa mamlaka ya pensheni tozo ni ili kurudisha fedha yao. Na daraja la tanzanite ni hela ya hazina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…