Bunge laulizwa alipo Job Ndugai, lasema halina taarifa alipo, inawezekana yupo jimboni kwake

SHERIA INASEMAJE KWA MBUNGE MTORO AU IPO KWA AJILI YA CHADEMA?
 
Mhe. Job ndugai kimwonekano wa sura ni mpole kiukwel lazima ushangae alivyoongea kuisema nchi itauzwa kutokana na madeni,ndugai hadi sasa roho inamsuta sana ,roho yake ni upole tena sana ndo mana shauku ya kuingia bungeni ni ndogo
 
Watajuana wenyewe
 
Naonahata simu zake zinapokelewa na watu maalumu,hakika anajutia,aliekebehi wapinzani na kuwanyima haki na uhuru wao leo kawa mateka!!
 

Bahati mbaya ni kuwa Ndugai aliachwa kupambana na hali yake kama ilivyo ada hapa nchini kwa kila mpigania haki.

Angeungw mkono Ndugai huu upuusi usingekuwapo.

Tunazifanya harakati zetu wenyewe kupigania haki kuwa ngumu pasipokuwa na sababu za msingi.
 
Lakini matendo yake ya ukatili, ukandamizaji YANAONESHA kuwa kajaa roho ya shetani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…