Ostrich eggs
JF-Expert Member
- Mar 29, 2022
- 638
- 453
Mheshimiwa Mbunge wa KongwaAjitokeze afanyaje sasa? Hana cheo cha kumfanya aje awe hadharani
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mheshimiwa Mbunge wa KongwaAjitokeze afanyaje sasa? Hana cheo cha kumfanya aje awe hadharani
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]anaona aibu alivyomtimua Lissu huku akijua Lissu anaumwa sana.
Kweli malipo ni hapa hapa duniani
Yule hutamfikia kimaisha hata chembeMheshimiwa Mbunge wa Kongwa
Job amemaliza kazi vibaya!
Pole ndugu
SHERIA INASEMAJE KWA MBUNGE MTORO AU IPO KWA AJILI YA CHADEMA?Uongozi wa Bunge umetaja aliko aliyekuwa Spika wa Bunge na Mbunge wa Kongwa Mkoani Dodoma, Job Ndugai.
Ndugai hajaonekana katika shughuli rasmi za chombo hicho tangu taarifa za kujiuzulu kwake wadhifa huo zilipotangazwa Januari 6, 2022 kwamba aliandika barua kwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na nakala kuwasilishwa kwa Katibu wa Bunge kutoa taarifa juu ya uamuzi wa kuachia ngazi.
Alipotafutwa na Nipashe jana Aprili 7, 2022 kwa simu kuzungumzia kutoonekana huko bungeni kwa Mbunge wa Kongwa, kushiriki vikao vya Mkutano wa Bunge la Bajeti vilivyoanza Jumanne ya wiki hii, vikitanguliwa na shughuli za kamati za kudumu za Bunge, Katibu wa Bunge, Nene wa Mwihambi alisema Ndugai yuko jimboni kwake.
"Hayupo bungeni maana yake (Ndugai) yuko jimboni. Sina barua kuhusu suala hilo. Mbunge asipokuwapo bungeni, maana yake yuko jimboni kwa mujibu wa kanuni na taratibu za Bunge."
"Ni mapema mno, ndiyo kwanza kumefanyi ka vikao viwili vya Mkutano wa Bunge la Bajeti, tulianza Jumanne.. (Ndugai) ana muda wa kutosha, atakuja kuungana na wabunge wenzake kushiriki vikao vya Bunge.
Kanuni za Kudumu za Bunge zinaelekeza miongoni mwa sababu za kukoma kwa hadhi ya ubunge ni kutohudhuria mikutano mitatu mfululizo ya Bunge pasina kutoa taarifa kwa Spika, kifo, kufutwa uanachama wa chama cha siasa, kujiuzulu ubunge na kutiwa hatiani kwa makosa ya jinai yanayosababisha kifungo cha zaidi ya miezi sita gerezani.
Nipashe ilipomtafuta Ndugai kwa simu jana Aprili 7, 2022 saa 6:48 mchana, simu yake ya kiganjani iliita kwa sekunde chache, ikakatwa kisha ukatumwa ujumbe mfupi wa maandishi kutoka kwe nye simu hiyo ukiwa na neno moja linalohoji nani?
Mwandishi alijitambulisha kwa sms lakini hakujibiwa na simu haikupokelewa.
Source: Nipashe
Pole wewe unaeumia kwa mtu aliekuzidi maishaPole ndugu
Watajuana wenyeweUongozi wa Bunge umetaja aliko aliyekuwa Spika wa Bunge na Mbunge wa Kongwa Mkoani Dodoma, Job Ndugai.
Ndugai hajaonekana katika shughuli rasmi za chombo hicho tangu taarifa za kujiuzulu kwake wadhifa huo zilipotangazwa Januari 6, 2022 kwamba aliandika barua kwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na nakala kuwasilishwa kwa Katibu wa Bunge kutoa taarifa juu ya uamuzi wa kuachia ngazi.
Alipotafutwa na Nipashe jana Aprili 7, 2022 kwa simu kuzungumzia kutoonekana huko bungeni kwa Mbunge wa Kongwa, kushiriki vikao vya Mkutano wa Bunge la Bajeti vilivyoanza Jumanne ya wiki hii, vikitanguliwa na shughuli za kamati za kudumu za Bunge, Katibu wa Bunge, Nene wa Mwihambi alisema Ndugai yuko jimboni kwake.
"Hayupo bungeni maana yake (Ndugai) yuko jimboni. Sina barua kuhusu suala hilo. Mbunge asipokuwapo bungeni, maana yake yuko jimboni kwa mujibu wa kanuni na taratibu za Bunge."
"Ni mapema mno, ndiyo kwanza kumefanyi ka vikao viwili vya Mkutano wa Bunge la Bajeti, tulianza Jumanne.. (Ndugai) ana muda wa kutosha, atakuja kuungana na wabunge wenzake kushiriki vikao vya Bunge.
Kanuni za Kudumu za Bunge zinaelekeza miongoni mwa sababu za kukoma kwa hadhi ya ubunge ni kutohudhuria mikutano mitatu mfululizo ya Bunge pasina kutoa taarifa kwa Spika, kifo, kufutwa uanachama wa chama cha siasa, kujiuzulu ubunge na kutiwa hatiani kwa makosa ya jinai yanayosababisha kifungo cha zaidi ya miezi sita gerezani.
Nipashe ilipomtafuta Ndugai kwa simu jana Aprili 7, 2022 saa 6:48 mchana, simu yake ya kiganjani iliita kwa sekunde chache, ikakatwa kisha ukatumwa ujumbe mfupi wa maandishi kutoka kwe nye simu hiyo ukiwa na neno moja linalohoji nani?
Mwandishi alijitambulisha kwa sms lakini hakujibiwa na simu haikupokelewa.
Source: Nipashe
[emoji23][emoji23][emoji23]Huku mabavicha yakikenua meno kwamba kakomeshwa
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Ajitokeze afanyaje sasa? Hana cheo cha kumfanya aje awe hadharani
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Sawa Mh Job Ndugai,
Uongozi wa Bunge umetaja aliko aliyekuwa Spika wa Bunge na Mbunge wa Kongwa Mkoani Dodoma, Job Ndugai.
Ndugai hajaonekana katika shughuli rasmi za chombo hicho tangu taarifa za kujiuzulu kwake wadhifa huo zilipotangazwa Januari 6, 2022 kwamba aliandika barua kwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na nakala kuwasilishwa kwa Katibu wa Bunge kutoa taarifa juu ya uamuzi wa kuachia ngazi.
Alipotafutwa na Nipashe jana Aprili 7, 2022 kwa simu kuzungumzia kutoonekana huko bungeni kwa Mbunge wa Kongwa, kushiriki vikao vya Mkutano wa Bunge la Bajeti vilivyoanza Jumanne ya wiki hii, vikitanguliwa na shughuli za kamati za kudumu za Bunge, Katibu wa Bunge, Nene wa Mwihambi alisema Ndugai yuko jimboni kwake.
"Hayupo bungeni maana yake (Ndugai) yuko jimboni. Sina barua kuhusu suala hilo. Mbunge asipokuwapo bungeni, maana yake yuko jimboni kwa mujibu wa kanuni na taratibu za Bunge."
"Ni mapema mno, ndiyo kwanza kumefanyi ka vikao viwili vya Mkutano wa Bunge la Bajeti, tulianza Jumanne.. (Ndugai) ana muda wa kutosha, atakuja kuungana na wabunge wenzake kushiriki vikao vya Bunge.
Kanuni za Kudumu za Bunge zinaelekeza miongoni mwa sababu za kukoma kwa hadhi ya ubunge ni kutohudhuria mikutano mitatu mfululizo ya Bunge pasina kutoa taarifa kwa Spika, kifo, kufutwa uanachama wa chama cha siasa, kujiuzulu ubunge na kutiwa hatiani kwa makosa ya jinai yanayosababisha kifungo cha zaidi ya miezi sita gerezani.
Nipashe ilipomtafuta Ndugai kwa simu jana Aprili 7, 2022 saa 6:48 mchana, simu yake ya kiganjani iliita kwa sekunde chache, ikakatwa kisha ukatumwa ujumbe mfupi wa maandishi kutoka kwe nye simu hiyo ukiwa na neno moja linalohoji nani?
Mwandishi alijitambulisha kwa sms lakini hakujibiwa na simu haikupokelewa.
Source: Nipashe
Una mmiss sana yule bwanayule wako?Kaenda ktk zamu ya kufagilia kaburi kule kwa bwana yule,vp zamu yako ya kulinda imekwisha????
Una mmiss sana yule bwanayule wako?
Inaonekana alikuwa anakubutua vizuri sana
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Lakini matendo yake ya ukatili, ukandamizaji YANAONESHA kuwa kajaa roho ya shetani.Mhe. Job ndugai kimwonekano wa sura ni mpole kiukwel lazima ushangae alivyoongea kuisema nchi itauzwa kutokana na madeni,ndugai hadi sasa roho inamsuta sana ,roho yake ni upole tena sana ndo mana shauku ya kuingia bungeni ni ndogo