Bunge laulizwa alipo Job Ndugai, lasema halina taarifa alipo, inawezekana yupo jimboni kwake

Ndugai atakuwa jengo la bunge analiona kwa mbali kwenye akipita na bus
 
Posho izuiliwe haraka sana haiwezekani kuendelea kumlipa mshahara mtu ambaye hafiki kazini na hakuna taarifa yeyote.
 
Eti nani? Nipashe acheni uchochezi [emoji1787][emoji1787]
 
Ukimya wa Job wenye dalili za kususia shughuli za bunge, kulipuka kwa Mpina huku akimshikia bango January, naona ni kama vina uhusiano fulani.

Ukiziangalia kwa jicho la tatu hoja za Mpina, utaona zimeshiba nondo, na kwa vyovyote nyuma yake wapo watu wenye kubeba siri nzito za nchi.
 
Issue ya Spika Ndungai si ndogo. Either itabidi gharama ya uchaguzi jimboni kwake au akabembelezwe! Hili kurudi bungeni ni gumu mno na itakuwa mara ya kwanza kihistoria kwa spika mstaafu!

I think issue yake ilipelekwa kihasira mno na kuli manage thereafter ni mtihani mgumu. Pamoja na wengi hatupendi mwenendo wa Ndugai lakini mwisho wake ktk hili utamjenga yeye zaidi.

Unaweza kulazimisha ajiuzuru ila huwezi kumbeba au kumsukuma aingie bungeni! Mtego mgumu!
 
Sura siyo roho.
 
Yupo kwenye mfungo!
"Ramadhani Karim"
 
Uongozi wa Bunge umetaja aliko aliyekuwa Spika wa Bunge na Mbunge wa Kongwa Mkoani Dodoma, Job Ndugai...
Jipu la Ndugai mpaka leo linatoka usaha, ndugai kaumia sana hakutegemea na haamini mpaka sasa kama sio spika wa bunge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…