Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upumbavu wa uzeeni utakufa naoHakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu intadhir yaa ahmaku
Na wataendelea kuanikwa. AMENWote waliovuruga uchaguzi mkuu tulimuomba Mungu amewaaibisha
Tupia picha take akiwa kwake kongwa Kama ushahidini buheri wa afya anachapa kazi vizuri tu nyumbani kwake
Supika mnamsimamisha mezani Sasa eeeh.🤔Kama kweli una uhakika anayo raha na furaha kubwa hivyo, BASI enenda ukamshauri atoke mafichoni, ajitokeze hadharani kama alivyokuwa kazoea.
View attachment 2180251
We ni mjinga mtu bado ni spika ww unafurahia kwa ujinga wako
Ahaaa......eti anachapa kazi, wakati wanakomtafuta ndiko kazini kwake!!!ni buheri wa afya anachapa kazi vizuri tu nyumbani kwake
Ukimya wa Job wenye dalili za kususia shughuli za bunge, kulipuka kwa Mpina huku akimshikia bango January, naona ni kama vina uhusiano fulani.Uongozi wa Bunge umetaja aliko aliyekuwa Spika wa Bunge na Mbunge wa Kongwa Mkoani Dodoma, Job Ndugai.
Ndugai hajaonekana katika shughuli rasmi za chombo hicho tangu taarifa za kujiuzulu kwake wadhifa huo zilipotangazwa Januari 6, 2022 kwamba aliandika barua kwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na nakala kuwasilishwa kwa Katibu...
Sura siyo roho.Mhe. Job ndugai kimwonekano wa sura ni mpole kiukwel lazima ushangae alivyoongea kuisema nchi itauzwa kutokana na madeni,ndugai hadi sasa roho inamsuta sana ,roho yake ni upole tena sana ndo mana shauku ya kuingia bungeni ni ndogo
Yupo kwenye mfungo!Uongozi wa Bunge umetaja aliko aliyekuwa Spika wa Bunge na Mbunge wa Kongwa Mkoani Dodoma, Job Ndugai.
Ndugai hajaonekana katika shughuli rasmi za chombo hicho tangu taarifa za kujiuzulu kwake wadhifa huo zilipotangazwa Januari 6, 2022 kwamba aliandika barua kwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduz...
Jipu la Ndugai mpaka leo linatoka usaha, ndugai kaumia sana hakutegemea na haamini mpaka sasa kama sio spika wa bungeUongozi wa Bunge umetaja aliko aliyekuwa Spika wa Bunge na Mbunge wa Kongwa Mkoani Dodoma, Job Ndugai...