Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Na hiyo simu yake iko mikononi mwa mabazazi 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vikao vitatu bado saana mjomba. Ndiyo kwanza kikao cha kwanza.Hizi ni chini chini ila ni za kweli huwezi amini ndugu zangu Job Ndungah aliyemfuta ubunge Tundu Anti pass Lisu anakarbia kufutwa ubunge kwa sababu, haonekani bungeni aise
Wandugu tuishi vyema Hali s Hali ndgu zangu, Yani nikweli alimchomtendea mwenzake ndo hicho anatendewa.
Si Ile kazi mliyomtuma? Ona Sasa uko peke yake kama mfiwa, au yuko huku Handeni kwa ndugu zake? Mr kazi Sasa imekuwa kazi kwelikweli kujua ulipo na kilichotokea ukashindwa kuhudhuria bungeni.Job amemaliza kazi vibaya!
Atalindwa na mfumoNa ndio anachokitaka
Pesa na stahiki za spika mstaafu atazipata. Ni vingi kuliko ubunge.
Ana akili timamu na kafanya makusudi
[emoji23][emoji23][emoji23]Huku mabavicha yakikenua meno kwamba kakomeshwaJob Ndugai yuko nyumbani ila kila kikao cha bunge analipwa posho na mshahara unaingia bank kila mwezi.
Tanzania nchi hii ni ngumu sana.
Sasa tuache makelele,Uongozi wa Bunge umetaja aliko aliyekuwa Spika wa Bunge na Mbunge wa Kongwa Mkoani Dodoma, Job Ndugai.
Ndugai hajaonekana katika shughuli rasmi za chombo hicho tangu taarifa za kujiuzulu kwake wadhifa huo zilipotangazwa Januari 6, 2022 kwamba aliandika barua kwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na nakala kuwasilishwa kwa Katibu wa Bunge kutoa taarifa juu ya uamuzi wa kuachia ngazi...
Kama kweli una uhakika anayo raha na furaha kubwa hivyo, BASI enenda ukamshauri atoke mafichoni, ajitokeze hadharani kama alivyokuwa kazoea.[emoji23][emoji23][emoji23]Huku mabavicha yakikenua meno kwamba kakomeshwa
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Kama kweli una uhakika anayo raha na furaha kubwa hivyo, BASI enenda ukamshauri atoke mafichoni, ajitokeze hadharani kama alivyokuwa kazoea.[emoji23][emoji23][emoji23]Huku mabavicha yakikenua meno kwamba kakomeshwa
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Ajitokeze afanyaje sasa? Hana cheo cha kumfanya aje awe hadharaniKama kweli una uhakika anayo raha na furaha kubwa hivyo, BASI enenda ukamshauri atoke mafichoni, ajitokeze hadharani kama alivyokuwa kazoea.
View attachment 2180251