Bunge liazimie Bwawa la JNHPP libadiilishwe jina liitwe Magufuli hydro project power. Marais wote walishindwa aliweza JPM pekee

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Hayati Julius alijikita zaidi kuwakomboa Wazimbabwe na Waafrika kusini akasahau kujenga nchi yake.

Hayati Mwinyi akaruhusu ufisadi na kila namna ya upigaji.

Mkapa akajitahidi kidogo kukusanya mapato ila kukawa na upigaji.

Kikwete awamu yake ikajaa upigaji tu na uswahili.

Hayati Magufuli akadhibiti ufisadi, uonevu na uzembe. Akapiga kazi na kila mtu akakubali. Inabidi aenziwe kwa heshima.
1000022763.jpg
 
Hayati Julius alijikita zaidi kuwakomboa Wazimbabwe na Waafrika kusini akasahau kujenga nchi yake.

Hayati Mwinyi akaruhusu ufisadi na kila namna ya upigaji.

Mkapa akajitahidi kidogo kukusanya mapato ila kukawa na upigaji.

Kikwete awamu yake ikajaa upigaji tu na uswahili.

Hayati Magufuli akadhibiti ufisadi, uonevu na uzembe. Akapiga kazi na kila mtu akakubali. Inabidi aenziwe kwa heshima.View attachment 3019167
Magufuli- the axis of evil:
-Aliasisi 'wasiojulikana', maiti zikawa zinaokotwa kwenye fukwe, kukawa na utekaji/watu kupotea ovyo.
-Kwa mara ya kwanza baada ya uhuru baadhi ya watanzania wakawa wakimbizi wa kisiasa.
-Kwa mara ya kwanza mbunge (aliyekuwa mkosoaji mkubwa wa magufuli) akapigwa risasi ktk makazi rasmi ya viongozi wakuu wa serikali. Alizuia uchunguzi wa tulip hilo usifanywe.
-Aliharibu uhusiano na mataifa mengine - eg kuchoma vifaranga toka Kenya. (hapa pia alidhihirisha ukatili wake).
-Aliwalinda viongozi watenda maovu- ref: sabaya,makonda etc.
-Alidumaza demokrasia, uhuru wa habari na wa mtu binafsi.
-etc etc.
 
Kuna project inaitwa RUBADA (Rufiji Basin Development Authority) ilianzishwa 1975 na Nyerere ililenga uanzishwaji wa;
●HEP (Hydro Electric Power)
●Kilimo
●Forestry
●Industrial developmemt
●Tourism
●Navigation

Kilichofanyika so far kikubwa ni HEP ujenzi wa bwawa la Rufiji angalau likaitwa kwa jina lake kumuenzi Mwalimu kwa maono yake
 
Alipaswa akamilishe
 
Hayati Julius alijikita zaidi kuwakomboa Wazimbabwe na Waafrika kusini akasahau kujenga nchi yake.

Hayati Mwinyi akaruhusu ufisadi na kila namna ya upigaji.

Mkapa akajitahidi kidogo kukusanya mapato ila kukawa na upigaji.

Kikwete awamu yake ikajaa upigaji tu na uswahili.

Hayati Magufuli akadhibiti ufisadi, uonevu na uzembe. Akapiga kazi na kila mtu akakubali. Inabidi aenziwe kwa heshima.View attachment 3019167
Ndugu wa hayati.mnampambania kwelikweli. Tunaliita Samia Power plant kwa taarifa yenu 😂️😂️😂️😂️😂️😂️
 
Back
Top Bottom