Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Nafikiri mtoa mada abadili jina lake aitwe Magufuli!Unayajua madhara ya kurithi majina ya marehemu?
Magufuli- the axis of evil:Hayati Julius alijikita zaidi kuwakomboa Wazimbabwe na Waafrika kusini akasahau kujenga nchi yake.
Hayati Mwinyi akaruhusu ufisadi na kila namna ya upigaji.
Mkapa akajitahidi kidogo kukusanya mapato ila kukawa na upigaji.
Kikwete awamu yake ikajaa upigaji tu na uswahili.
Hayati Magufuli akadhibiti ufisadi, uonevu na uzembe. Akapiga kazi na kila mtu akakubali. Inabidi aenziwe kwa heshima.View attachment 3019167
Unajua kutukuza na ukweli ni vitu viwili tofauti? Acha ufedhuliWatu mnaomtukuza huyo mungu wenu, kuna wakati huwa ninawachukulia kama vichaa tu.
Huna akiliNafikiri mtoa mada abadili jina lake aitwe Magufuli!
Pika chai ya Sugu. Ukimaliza njoo ujadili vitu vya maana. Acha uzwazwaUnayajua madhara ya kurithi majina ya marehemu?
Alipaswa akamilisheKuna project inaitwa RUBADA (Rufiji Basin Development Authority) ilianzishwa 1975 na Nyerere ililenga uanzishwaji wa;
●HEP (Hydro Electric Power)
●Kilimo
●Forestry
●Industrial developmemt
●Tourism
●Navigation
Kilichofanyika so far kikubwa ni HEP ujenzi wa bwawa la Rufiji angalau likaitwa kwa jina lake kumuenzi Mwalimu kwa maono yake
Sio lazima hii nchi inajengwa na woteAlipaswa akamilishe
Poor mindSio lazima hii nchi inajengwa na wote
Kuna wanaokuja na maono wanaoweka msingi na watekelezaji
Mataifa yote yanajengwa kwa mtindo huo
Poverty of mindNdio tatizo lenu madogo wa jf
Sishangai
Ndio uwezo wako wa kufikiria ulipoishiaPoverty of mind
Ndugu wa hayati.mnampambania kwelikweli. Tunaliita Samia Power plant kwa taarifa yenu 😂️😂️😂️😂️😂️😂️Hayati Julius alijikita zaidi kuwakomboa Wazimbabwe na Waafrika kusini akasahau kujenga nchi yake.
Hayati Mwinyi akaruhusu ufisadi na kila namna ya upigaji.
Mkapa akajitahidi kidogo kukusanya mapato ila kukawa na upigaji.
Kikwete awamu yake ikajaa upigaji tu na uswahili.
Hayati Magufuli akadhibiti ufisadi, uonevu na uzembe. Akapiga kazi na kila mtu akakubali. Inabidi aenziwe kwa heshima.View attachment 3019167