Bunge lichunguze mkataba wa Tsh bilioni 65 ilioingia Tanesco na kampuni ya Wahindi kuna harufu ya wizi

Naunga mkono hoja kwa nguvu zote hili lifanyike haraka sana iwezekanavyo
 
Wakat wa JPM uongoz wote wa tanesco ulifutwa kuanzia board, mkurugenz na management je uamuzi ulichungunzwa?
Bahati nzuri alisuka timu mzuri ndio maana baada ya kuondelewa matatizo ya kukatika hovyo umeme yamerudi
 
Kwanza wanaingiaje mikataba bila hii mikataba kujadiliwa bungeni hawa machoko hivi kwanini tunacheka nao sana mbwa hawa....?! [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]

Me napata hasira sana ujue....Maji hakuna, umeme mizinguo,, makodi na tozo ni juu halafu bado tunawachekea hawa nguruwe....
 
Naunga mkono hoja 100% mkuu!
 
Mkuu umetufungua macho, mleta hoja alitakiwa japo atupe sababu za kufikiria kuwa kuna harufu za rushwa.
Mimi nadhani angetulia akafanya fact findings ndio kujenga hoja komavu.
 
Kwani Tanzania kuna bunge ?

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Makamba analipwa fadhira ya kufanya kazi na Kikwete, hakuna la maana hapo

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Wafuatilie haraka kabla mafisadi hayajaota mizizi......
 
How do we know? Wekeni ushahidi wa tangazo la zabuni. Tangazo la Zabuni halijawahi kuwa siri.
 
Unayemtetea sasa kama vile ni mwasiasa mpya nchi hii. Acheni kufisadi nchi.
 
Bunge gani unazungumzia?
 
Sukuma gang kazini nyie buku ngapi mnajua ? Jirani Cheng na zama nimepita......mngetulia tu Mpare heshima ndogo iliobakia hiyo vita ya keyboard hutaweza
Na wewe umo nini kwenye hayo ma 10%
Kwani ikijulikana hakuna ufisadi shida iko wapi kama mnaemtetea mnajua hajaharibu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…