Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 7,225
- 9,830
Jana tarehe 1 Februari ilikuwa ni siku ya kuadhimisha miaka 100 ya Mahakama Tanzania. Rais Magufuli aliongea mengi sana lakini hakugusia kuhusu mwingiliano wa Mihimili hii 3: Bunge,Mahakama na Serikali. Nitaeleza.
Leo Bunge la JMT limeanza kwa makosa 2 makubwa sana kama ifuatavyo:
Katiba imeweka wazi kabisa WABUNGE WA VITI MAALUMU LAZIMA WAWE NI WANACHAMA WA CHAMA CHA SIASA. Lakini kwa Ndugai, Wabunge 19 wa VITI MAALUMU TOKA CHADEMA WALIOKOSA UHALALI WA KUWA WABUNGE KWA KUVULIWA WANACHAMA KWAKE NI HALALI! What a shame!!
(2). Bunge limeanza pia kwa usimamizi wa Spika aliyejionesha kuwa mwamba wa kudharau, kukebei na kutulana Mahakama za Tanzania.
WABUNGE 19 VITI MAALUMU WALIOTIMULIWA UANACHAMA WAMERUHUSIWA NA NDUGAI KUINGIA BUNGENI ILHALI KUNA KESI MAHAKAMANI. Hii ni dharau kubwa sana kwa Mahakama ya Tanzania ambao ni moja ya Mihimili mikuu Tanzania. Kuruhusu Wabunge hawa fake kuingia Bungeni wakti kuna kesi Mahakamani ya kupinga kuchaguliwa kwao ni dharau kubwa sana kwa Mahakama na Chama cha CHADEMA.
CHADEMA kinasema hakiwatambui Wabunge hawa kwa vile hawana baraka za chama kwa vile hakuna aliyewateua wala kujaza fomu zao za uteuzi. Katibu Mkuu CHADEMA alikanusha vikali sana kuhusu uteuzi wao. Kwa maana ingine WABUNGE HAWA WALIJITEUA WENYEWE na kwa lugha rahisi KUNA KOSA LA JINAI LA KUGHUSHI! Lakini kwa vile Muhimili wa Serikali ya JPM imeitia mfukoni mihimili 2 : Bunge na Mahakamama hakuna wa kuinua mdomo: WOTE WAMEUFYATA.
Nihitimishe kwa kusema kwamba Utawala huu wa JPM Awamu ya 5 kipindi cha 2 ni janga kwa Tanzania. Utawala huu umesababisha vidonda, machungu na simanzi kubwa sana kwa Taifa letu. Kwa hakika utawala huu utaacha makovu na maumivu mengi sana kwa Watanzania wapenda Haki, Uhuru na Demokrasia ya kweli. Mungu ibariki Tanzania.

- KUKIUKA KATIBA YA JMT.
- KUDHARAU MAHAKAMA.