Bunge limevunja Katiba na kudharau Mahakama waziwazi

Bunge limevunja Katiba na kudharau Mahakama waziwazi

Hapa ndo utauona unafiki wa NGO na wanaharakati wa maswala ya siasa, katiba na sheria.

Kwanini hawaendi mahakamani kudai spika aiheshimu katiba....kwa njia hiyo hata spika amevunja kiapo chake...

Wako kimyaaaaaaaa
 
Afrika kuheshimu katiba bado Sana, mtu mmoja anaamua kuvunja katiba wazwaz bado anaangaliwa tu...
 
Sasa hao akina Halima Mdee wamefikaje hapo bungeni kama hawana baraka za chama chao?
Swali kutoka kwa mtu mpumbavu.na kila mtu anajua kazi yako humu jukwaani ni kuripoti matukio kutoka taarifa za habari za redio na tv.Uko low Sana ktk swala la kujenga hoja.
Fanya kazi yako ya kusikiliza taarifa za habaari na kutuletea taarifa humu.
 
Back
Top Bottom