Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zanzibar waliotaka muungano ni wale walio madarakani tu ambao mara zote wanatishwa kutoka huko tanganyika wasijaribu kuvunja muungano na zaidi ni kwa maslahi yao binafsi., Sasa kama pemba tu sehemu ndogo ndio iliyotaka serikali 3 kwanini Warioba alikuja na referendum ya Watanzania wanataka serikali 3?Hivi unaamini Viongozi wa CCM Zanzibar na wenyewe wanataka muungano uvunjike kirahisi rahisi tu?! Hivi hushangai hata zile Kura za Maoni (for Katiba Mpya), ni Pemba ndiko walipendekeza zaidi Suala la Serikali 3 ukilinganisha na Unguja?!
Kama Unguja ni ngome ya CCM kwanini jecha alifuta uchaguzi 2015?? use your headWHY? Pemba ilikuwa ni ngome ya CUF wakati Unguja ni ngome ya CCM!! Kwahiyo hao akina Lukuvi wanasimamia kiapo chao cha "imma fahima, lazima muungano uendelee"
Lengo la mtanganyika kutaka ardhi Zanzibar ni kujenga makanisa na kueneza ukiristo hamtafanikiwaNi sawa na kusema Msukuma asinunue ardhi Dar es salaam kwa sababu Usukumani ardhi ni kubwa ukilinganisha na Dar es salaam!!
Karume alipokuja kudai mamlaka ya zanzibar aliuwawa baada ya mchongameno kwishafanikiwa alilokuwa anataka hakuna asiyejuaJiulize wewe kwanini Karume akakukbali kulazimishwa?!
Hakuna hela ya TRA inatumika kwa maendeleo ya Zanzibar., zile 4% wanazodai kuzipeleka zanzibar tokea uhuru zimeanza kupelekwa zanzibar baada samia kuwa rais., na kwanini Zanzibar wapewe 4% wakati mulikubali kuunganisha nchi 2 huru?? ni vile munaneemeka kupitia jasho la wazanzibari ndio mana mnagoma kuachia, TRA ndio inawatia umasikini zaidi ZanzibarKiroja hiki!! Hivi unafahamu kwamba mfumo unaotumika hivi sasa ni kwamba, SMZ wanakusanya kodi zao kupitia ZRB na JMT inakusanya kodi kupitia TRA? Lakini linapokuja suala la matumizi, pesa za ZRB ni Zanzibar peke yake lakini zinazokusanywa na TRA zinatumika pande zote mbili!!
Sasa Kama zanzbar hawana vyanzo vya mapato TRA na Ofisi zao wanafanya nini kule Zanzibar, Hiyo mishahara yenu na maposho mungetoa wapi tanganyika?Na nyie chanzo chenu cha mapato kinachowawezesha kulipana mishahara ni nini?! Hivi kwa akili yako unadhani Wazanzibar wenzako wote waliopo ZNZ wanalipwa kwa pesa za ZRB?
Narudia kusema Tanganyika wanachukua mapato yote ya bandari pale Zanzibar, TRA kila leo wanakusanya hela nyingi kutoka Zanzibar ndizo munazolipana mishahara yenu, chakula chenu na maposho mbali mbali, mnajenga hizo barabara, flyover, sjuwi sgr nkYaani Tanganyika ifaidike kupitia mgongo wa Zanzibar?! Ikiwa kodi yote inayokusanya na ZRB inatumika Zanzibar, sasa hiyo Tanganyika inanufaika nini kutoka Zanzibar?! Tanganyika ina-import nini kutoka Zanzibar?
Nani alisubutu kuinua mdomo wake wakati wa JMP? Unaambiwa JPM miaka yake 5 alikopa trilioni 29 Ndugai alikuwepo hakusema chochote, alijenga airpot kule kwao hakuna yoyote aliyeiunua mdomo wake zaidi ya wapinzani.,Kwani wakati wa JPM hapakuwa na kelele?! Wakati wa JK hapakuwa na kelele?! Au na wenyewe ni Wazanzibari?
Sawa, matumizi yawekwe wazi labda asilimia zilizidi
wakipata bilioni mia mbili na ushee ni sawa kwa kuzingatia uwiano wa idadi ya watu wa 1.7 : 60. Ili mradi kiasi hicho na riba yake pia kije kirudishwe na wazanzibari. Isije kuwa wale wazanzibari halafu walipe watanganyika!!Naunga mkono hoja, kwani Kuna tetesi nimesikia kuwa zenji wamepata mgawo wa Bil. 200. Hii haikubaliki kulingana na uwiano wa watu na eneo Kati ya bara na zenji
Zanzinzibar wana ZRA , wana BOZ.Zanzibar ni nchi huru, mchongameno aliungana na zanzibar kwa hiyari yake chochote kinachopatikana ni nusu kwa nusu na sio izo bil200 asilimia 4 sijui., mama ana kazi bado ya kupeleka hizi fedha zanzibar miaka mingi tanganyika wanazitumia hizi hela peke yao, wamejenga madaraja sijui wamenunua ndege, flyover na ma sgr kule zanzibar hakuna kitu., lakini on top of that zanzibar wanalipa kodi zinaenda tanganyika kupitia TRA., ni unyama mkubwa hawa wanyamawezi wanaowafanyia wazanzibari
??Zanzinzibar wana ZRA , wana BOZ.
Hizi siyo zama za kutawaliwa na mzamzibar tubadili SheriaZanzibar wanapewa asilimia za mkopo kisheria, kama tunaona wanapewa zaidi ni kubadili sheria na kupunguza kiasi kulingana na hali halisi.
Hatuwezi kulalamika kwenye jambo tulilojitungia sheria wenyewe.
Wakijitoa tunafukuza wapemba wote waliojaa kila kona Tz bara. Halafu tunawarudisha Wanyamwezi (Wazanzibara) huku Tanganyika na kila mmoja tunamkabidhi shamba heka 5!! Tanganyika ina mapori hayana wa kuyalima.Umeongea vyema, na Bado wazanzibar awaoni faida ya Muungano wengi wanaitaji kujitoa kwa kisingizio Cha kutokua na tija kwao
Escrow na richmond lilikuwa ni Bunge la wananchi.Lilikuwa ni Bunge ambalo wabunge wake walitokana na wananchi.Taahira baba yako,je ikitokea wakahoji na ukweli ukajulikana kama ilivyokuwa kwenye Escrow na Richmond?
Waliochukua mkopo huohuo na kununulia barakoa nao unawaweka kundi gani?.Bongo vilaza Ni wengi Sana na ndio maana wanasiasa wanazidi kuzalisha vilaza wa kutosha.
Return ya huo mkopo Ni Nini au faida ya kujenga madarasa mengi bila kuwa na Walimu wa kutosha faida yake Ni Nini?
Karne hii unachukua mkopo unajenga madarasa et hayo ndio maendeleo.
Je unajua Elimu inakoelekea Karne hii.
Je unajua kipato Cha Mwalimu ambae ndie mtoa hiyo Elimu?
Je kipi Bora uwe na walimu wa kutosha alafu madarasa machache au uwe na madarasa mengi huku walimu wa kuunga unga
Utamhoji vipi mtu ambae amekupa ubunge bure?!Utamhoji vipi mtu ambae amekupa zawadi ya ubunge?Hawana mamlaka ya kuhoji?
kwanini tulalamikie bilioni 200 hatangalii bilioni 1,100 tuliyobaki nayo Bara mleta mada angeanza na Spika ni nani atakayechaguliwa je atapita chini ya Mkiti wa CCM aweze kuhoji mkopo huo?Taahira baba yako,je ikitokea wakahoji na ukweli ukajulikana kama ilivyokuwa kwenye Escrow na Richmond?
Naongezea.. Lijadidili pia zile more than 1.5trl manunuzi ya mwewe bila idhini ya bunge.....Kila kitu kiwekwe sawa na ukweli ujulikane. Hata kama ni mkopo wa WB kupitia janga la Uviko lakini kuna giza nene.
Bunge linalofuata mwezi Februari liisimamie serikali iweke wazi namna pesa zilivyotumika na kugawanywa kati ya Zanzibar na Bara.
Bara ni sh ngapi kwa ajili ya nini? Na Zenj sh ngapi kwa ajili ya nini? Matumizi yawekwe wazi kuna siri kubwa.
Kwani watu kutaka kujua ni tatizo!? Kama watu wanakopa wanaenda kutumia kwa mipango tofauti na waliyoombea mkopo, ndio itashindwa serikali!? Kwa kuwa mikopo kuwa siri haijaanza leo, kwa hiyo huo ndio utaratibu sahihi!?Mikopo kuwa siri haijaanza leo wala jana wakati mwingine ni sehemu ya masharti ya wanaotukopesha.
Hizi siasa za chuki dhidi ya nani anayeiongoza awamu ya sita, haziwezi kubadilisha tamaduni na taratibu za mikopo tunayopewa na taasisi za dunia ya kwanza.
kwanini mnatuzuga? kwanini ufafanuzi niwamkopo wa 1.3 tl pekee? Kama mikopo ndani ya miezi9 ni tl10 na zaidi kwanini hoja isijikite hapa? Nakama niukuaji wa deni nimkubwa kuliko kawaida kwanini tusifuate ushauri napendekezo la Nape?Kila kitu kiwekwe sawa na ukweli ujulikane. Hata kama ni mkopo wa WB kupitia janga la Uviko lakini kuna giza nene.
Bunge linalofuata mwezi Februari liisimamie serikali iweke wazi namna pesa zilivyotumika na kugawanywa kati ya Zanzibar na Bara.
Bara ni sh ngapi kwa ajili ya nini? Na Zenj sh ngapi kwa ajili ya nini? Matumizi yawekwe wazi kuna siri kubwa.
Hatawakiweka taratibu zote wazi pengine haitaweza kuzuia kama nchi tusiendelee kukopa.Kwani watu kutaka kujua ni tatizo!? Kama watu wanakopa wanaenda kutumia kwa mipango tofauti na waliyoombea mkopo, ndio itashindwa serikali!? Kwa kuwa mikopo kuwa siri haijaanza leo, kwa hiyo huo ndio utaratibu sahihi!?