Yaani kurudia makosa ya kuchagua wabungw kwa ushabiki wa kichama matokeo yake taifa linakuwa na bunge ambalo haliwezi kusimamia maslahi ya taifa na wananchi ni makosa makubwa.
Tusirudie hayo makosa. Nasema tusirudie hayo makosa. Maana cha moto watanzania wamekiona.
Na video za ngono za celebrities zilizovuja kupata connections zaoWatanganyika hawawezi kukuelewa Mkuu wao wanawaza simba na Yanga.
ACHA kuwapa watz mzigo wenye miiba!!Yaani kurudia makosa ya kuchagua wabungw kwa ushabiki wa kichama matokeo yake taifa linakuwa na bunge ambalo haliwezi kusimamia maslahi ya taifa na wananchi ni makosa makubwa.
Tusirudie hayo makosa. Nasema tusirudie hayo makosa. Maana cha moto watanzania wamekiona.
2020 tulifanya nini? Bunge la jpm hilo kwa crooks and hooks. Yule mzee alitukosea sana kama Nchi.Yaani kurudia makosa ya kuchagua wabungw kwa ushabiki wa kichama matokeo yake taifa linakuwa na bunge ambalo haliwezi kusimamia maslahi ya taifa na wananchi ni makosa makubwa.
Tusirudie hayo makosa. Nasema tusirudie hayo makosa. Maana cha moto watanzania wamekiona.
Asilimia karibu 50% hawakuchaguliwa.Yaani kurudia makosa ya kuchagua wabungw kwa ushabiki wa kichama matokeo yake taifa linakuwa na bunge ambalo haliwezi kusimamia maslahi ya taifa na wananchi ni makosa makubwa
Nothing More.NO REFORMS NO ELECTION!
Mkuu hakuna uhusiano kati kupiga kura na kutangaza mshindi. Nenda kasikilize hotuba za kina Nape Nauye, DR Bashiru wakati akiwa KM. Tena Magu alitangaza bila kupepesa macho kwa wakurugenzi ambao walikuwa wasimamizi wa majimbo ya uchaguzi kwa kuwaambia "Yaani Mkurugenzi nikupe mshahara, nyumba , na gari alafu umtangaze mpinzani ameshinda basi hufai".Yaani kurudia makosa ya kuchagua wabungw kwa ushabiki wa kichama matokeo yake taifa linakuwa na bunge ambalo haliwezi kusimamia maslahi ya taifa na wananchi ni makosa makubwa.
Tusirudie hayo makosa. Nasema tusirudie hayo makosa. Maana cha moto watanzania wamekiona.
Hakuna aliyewachagua hao wabunge unaowazungumzia.Yaani kurudia makosa ya kuchagua wabungw kwa ushabiki wa kichama matokeo yake taifa linakuwa na bunge ambalo haliwezi kusimamia maslahi ya taifa na wananchi ni makosa makubwa.
Tusirudie hayo makosa. Nasema tusirudie hayo makosa. Maana cha moto watanzania wamekiona.
Na safari hii yanajirudia kwa sababu wenye CCM wamekataa minimum reforms kwa kuruhu bunge kibogoyo livunjwe ili wawe peke yaoUnaongea Kama MTU mjinga hao wabunge nani aliwachagua ?
Yaani nilitegemea ulaumu Magufuli na Gang yake kwa kuharibu uchaguzi Ila wewe unalaumu wananchi ambao hawakushiriki katika huo uchaguzi .
Una uhakika hayo makosa yakifanywa na wananchi/Wapiga kura? Ni lini wamekuwa na maamuzi ya kuchagua?Yaani kurudia makosa ya kuchagua wabungw kwa ushabiki wa kichama matokeo yake taifa linakuwa na bunge ambalo haliwezi kusimamia maslahi ya taifa na wananchi ni makosa makubwa.
Tusirudie hayo makosa. Nasema tusirudie hayo makosa. Maana cha moto watanzania wamekiona.
Mkuu, huwa nasikia sana hii kauli ya Watanzania kuwaza Simba vs Yanga muda wote.Watanganyika hawawezi kukuelewa Mkuu wao wanawaza simba na Yanga.
2020 hakukuwa na uchaguzi na vile vile October hakutakuwa na uchaguzi, kuna maigizo tu ndiyo maana ya No reforms No Election.Yaani kurudia makosa ya kuchagua wabungw kwa ushabiki wa kichama matokeo yake taifa linakuwa na bunge ambalo haliwezi kusimamia maslahi ya taifa na wananchi ni makosa makubwa.
Tusirudie hayo makosa. Nasema tusirudie hayo makosa. Maana cha moto watanzania wamekiona.
Hatimaye na wewe umeziona athari za kuvuruga uchaguzi wa mwaka 2020.Yaani kurudia makosa ya kuchagua wabungw kwa ushabiki wa kichama matokeo yake taifa linakuwa na bunge ambalo haliwezi kusimamia maslahi ya taifa na wananchi ni makosa makubwa.
Tusirudie hayo makosa. Nasema tusirudie hayo makosa. Maana cha moto watanzania wamekiona.