The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Kinachotuponza sisi watanzania wengi ni unafiki na ukigeugeu
Nashukuru Mpina toka awe mbunge ana msimamo usiobadilika.
Huyu bwana anatimiza wajibu wa bunge kusimamia serikali. kwelikweli
Sijaanza kumsikia leo toka Enzo Za JK huyu bwana Yupo straight hamung'unyi maneno.
.Pamoja na Chuki na mizengwe ya wenzake hajatetereka Hata kidogo. Hongera Mpina wengine wamebaki watu wa ndio mzee na kulalamika pembeni.
UKWELI UTAKUWEKA HURU