The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Sasa Malaika tutawapata wapi mkuu?Wakiwa kwenye mirija
Wana mute
Ova
Luhanga mpina una ID ngapi mzee baba?Kinachotuponza sisi watanzania wengi ni unafiki na ukigeugeu
Nashukuru Mpina toka awe mbunge ana msimamo usiobadilika.
Huyu bwana anatimiza wajibu wa bunge kusimamia serikali. kwelikweli
Sijaanza kumsikia leo toka Enzo Za JK huyu bwana Yupo straight hamung'unyi maneno.
.Pamoja na Chuki na mizengwe ya wenzake hajatetereka Hata kidogo. Hongera Mpina wengine wamebaki watu wa ndio mzee na kulalamika pembeni.
UKWELI UTAKUWEKA HURU
Talkers are never doers.Kinachotuponza sisi watanzania wengi ni unafiki na ukigeugeu
Nashukuru Mpina toka awe mbunge ana msimamo usiobadilika.
Huyu bwana anatimiza wajibu wa bunge kusimamia serikali. kwelikweli
Sijaanza kumsikia leo toka Enzo Za JK huyu bwana Yupo straight hamung'unyi maneno.
.Pamoja na Chuki na mizengwe ya wenzake hajatetereka Hata kidogo. Hongera Mpina wengine wamebaki watu wa ndio mzee na kulalamika pembeni.
UKWELI UTAKUWEKA HURU
Unamuuliza nani, si uanze wewe?😂Hivi sisi watanzania hatuwezi kuandamana kushinikiza serikali kuwachukulia atua viongoz wote waliotajwa kwenye Report ya CAG?
Babu T amechangia ripoti ya CAG
Ova
Luhanga mpina una ID ngapi mzee baba?
Talkers are never doers.
Porojo na vitendo ni vitu tofauti.
Mpina anapayuka tu. Akitaka kuvuka mstari huwa CCM ina namna ya kumweka sawa.
Unamuuliza nani, si uanze wewe?😂