Bunge lingekuwa na akina Luhaga Mpina japo 50 tu, nchi ingepiga hatua kubwa sana

Amekosa kuramba Asali
 
Mpina huyu huyu ambae kipindi cha jiwe alikua anipima urefu wa samaki kwa rula jikoni au Mpina gani mpya, kama ni huyu ninae mjua Mimi hata umloweke kwenye pipa la mafuta atakua yule yule
 
Siku tukiacha kupambana na watu tukajikita kwenye hoja za watu, huenda tofaut ya kusoma na kutosoma ikaleta suluhu ya wapi tunataka kufika.
Tukubaliane tu, mpina anajua kujenga hoja!
Na ukweli ni kwamba ccm ina mtaji mkubwa wa wasomi, wataalam, wajuvi, wabobezi, wakongwe, wazoefu, aluwatani, n.k
LAKINI:
1. UZALENDO UMEKUFA KABSA!
2. NCHI IKO MIKONONI MWA GENGE DOGO IMARA.
 
Kwa hiyo unataka kusema kipenzi cha wanyonge, JPM, mtu makini alituinguzia magarasha tupu kule Bungeni?
 
Jiwe alituingiazia wanafiki na wachumia tumbo watupu kule Bungeni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…